Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wana JF, Hivi hapa DSM hakuna radio inayotangaza live session za bunge ukiacha Tv. Au radio zetu ni kupiga miziki tu wakati kuna masuala muhimu ya Kitaifa yanaendelea?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzanian Al Shabaab under arrest in Somalia Send to a friend Wednesday, 16 November 2011 22:55 digg The group is an off-shoot of the...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Star tv ni kati ya chanel ambazo zinajitahidi sana katika suala zima la kuwafungua macho watanzania. Hi ni kwa kujitahidi kurusha vipindi ambavyo kwa kweli ni mwanga kwa jamii mfano kipindi cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hofu kubwa vikao vya CCM Send to a friend Thursday, 17 November 2011 21:37 0digg Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama Mwandishi Wetu, Dodoma...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mimi ni mtanzania ambaye ni mzaliwa kanda ya ziwa, niko kikazi arusha. Leo nilikuwa nasafiri kwenda nyumbani mwanza. Ajabu ni kuwa baada ya kufika katika hifadhi ya taifa ya serengeti...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimegundua kuwa baadhi ya wafanyakazi (Pharmacists?) ktk Pharmacies za madawa ya binadamu(private Pharmacies), hawana taaluma yoyote ya madawa ya binadamu! Baadhi yao wamekaririshwa tu na wakati...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tanzania Professionals Summit to Celebrate 50 Years ofIndependence, the Theme is 50 years of Independence, what have you done as a professional? TanzaniaProfessionals Network (TPN) presents...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takribani siku mbilli mfululizo kumekuwa na ukatikaji wa OVYO wa umeme na jambo la kushangaza hakuna maelezo yoyote yale kutoka TANESCO! Kwa siku ya leo pekee umeme umekatika na kurudi zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Minister accuses them of `helping` illegal immigrants Home Affairs Minister, Shamsi Vuai Nahodha yesterday served one-month notice to eight immigration officers helping illegal immigrants...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu wanachadema wote ni heri kutokuangalia bunge maana chadema imetukanwa sana na wabunge wa ccm A na ccm B. Kweli Mungu turehemu sijui tunakoelekea.
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna vurugu kubwa katika viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hasa Mdigree(karibu na jengo la Utawala) hapa UD ambapo wanafunzi wanashinikiza kuachiwa mara moja kwa wenzao walio...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Ninasikiliza TIMES FM sasa hivi [ clouds nimewabwaga, matangazo mengi sana ], eti kuna majambazi barabara kuu ya Dar - Moro. Na kuna mwanamama mmoja aliuawa juzi na bendi ya Twangapepeta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna taarifa Kuwa CCM walimutumia JEMIS MBATIA ambaye aliandaa mtandao wa Wabunge wake kuhakikisha wanaunga mkono Kusomwa kwa Mswaada wa katiba kwa mara ya pili ili CHADEMA waonekane Wanafiki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Niko Geita kwa shughuli binafsi lakini toka nimefika hakuna umeme. Wenyeji wanasema ni saa la 34 mpaka muda huu hakuna umeme hakuna taarifa. MSEMAJI KAMPUNI YA UGAVI WA UMEME KULIKONI?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jf ama hakika nchi haitamaniki lkn kama ningekuwa rais mambo hangekuwa hv.[BARAZA LA MAWAZIRI].>Waziri mkuu-John Pombe Magufuli.>Waziri wa Fedha-Zitto Zuberi Kabwe.>Waziri wa katiba na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau JF,nimeangalia mtiririko wa vichwa vya habari magazetini na luningani tangu jana.ninachokiona ni waziri nahodha na mkakati wa kutuaminisha wananchi kwamba tuko katika hali ya hatari kuvamiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Safi sanaa kijana (MIRAJI) kwa kuusema ukweli,kwani tumekuwa tukitupa lawama kwa chadema mda wote kwa kila jambo baya, kama mtoto wa Raisi kauona ukweli basi hata Raisi nadhani atakuwa ameuona...
1 Reactions
66 Replies
10K Views
Muhimbili National Hospital (MNH) has received the World Quality Commitment Award (gold category) in recognition of its commitment to quality services, leadership and utilisation of technology...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nora Damian KADA wa CCM, Rajabu Maranda anayetumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa Sh1.8 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa), jana aliunganishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii mi kuna kitu kinanichanganya maka sasa. wanaharakati na cdm wanasema ktk mswaada huu wa kuunda mchakato wa katiba, rais kapewa mamlaka ya kuunda hadidu za rejea kwa wajumbe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom