Jamani wandugu hivi mshatafakari haya ya mmarekani kwa undani zaidi? Hivi ni hawa mataifa ya europ kwa nini hawakumpiga mugabe? Ulishajiuliza kwa sababu nchi yake haina dili. Na kwa nini wamemuuwa...
I had never thought to be politician in my life, however I wish one to have an opportunity to represent the people of my mother land in the law making body as they had never been represented...
Kwa mara nyingine tena,Polisi wameibuka kidedea katika mashindano ya taasisi mahiri kwa kupokea rushwa,wanafurahi na kupongezana kwa ushindi wao,hawa ni wale ambao wamepewa mafunzo ya...
Wameacha kuripoti kinachojiri dodoma kwa ni zamu ya wabunge wa upinzani waanza kuchangia. hii ni nini jamani kwa chombo hiki kinachoendeshwa kwa kodi zetu?
tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa wanafuata mkumbo! endapo angeanzisha mmoja tu kumuunga mkono LISSU au kupinga mswada huu kusomwa mara ya pili, ninaamini wote wangemgeuzia upepo waziri wa...
Leo EWURA wametoa tangazo kwa umma katika vyombo vya habari ikiwa ni wito wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu ombi la Tanesco kupandisha bei ya huduma ya umeme.Tangazo ni full page ambayo naamini...
"I've been seeing some really unusual and disturbing pictures on my facebook news feed over the last 24 hours. Lots of pornographic pictures and really violent images have been showing on my...
MWIGIZAJI na mchekeshaji maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere' ameandaa filamu inayoitwa Mr. President ambayo ndani yake inachambua maisha ya kifamilia na kikazi ya Rais Jakaya...
ilikua siku ya jumatano, maandamano yakiwa yamepamba moto..wanafunzi wakiwa wamegoma kuingia darasani kushinikiza wanafunzi wenzao waweze kutoka maabusu,maandamano yalianzia eneo la revolution...
Salaam , ndg zanguni , yamenikuta jana mwandani wangu alikwenda tabata kumsalimia rafiki yake, kwa bahati mbaya hakuwa na mtu ktk gari hivyo alipofika kwa mwenyeji wake...
Nimeshindwa kumuelewa mh.Mrema wanasimamia lipi katika Mswada wa katiba
mpya,Jambo ambalo limebeba utaifa wa tanzania ya sasa na ijayo jana nimemsikiliza mh. Mrema nkashindwa kumuelewa bwana huyu...
Mfungwa mmoja wa gereza la tarime amepanda juu ya mti na shuka na kuanza kupiga kelele ya kwamba wananyanyaswa gerezani humo kwa kupigwa na kutopata chakula na kuna wenzao wawili teyari wamekwisha...
Nimejaribu kupitia one of magazetiz online nikakuta Mtanzania Daima ikikohoa. Inawezekana Webmaster wao sijui kasinzia, kaweka story ya sijui miaka mingapi iliyopita. Nawashauri kuwa waangalifu...
Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu Deus.jumapili iliyopita alitangaza maandamano nchi nzima iwapo bunge litapitisha mswada na kuwa sheria leo hii mswada umepitishwa na upande mmoja hali...
wakuu nilikuwa naangali tv nikaona mji unaitwa dar es salaam huko yemen,yaani nilichukia kweli yaani kumbe wale waarabu waliokuja hapa karne ya 18 na kuwachukua babu zetu kwenda kuwauza walikuja...
Ndugu zangu,Nimeangalia TBC1 usiku huu. Nilikuwa na kiu ya kufuatilia kilichoendelea bungeni leo kwenye suala la Katiba. Maana, kuna wengi miongoni mwetu, kutokana na majukumu mengine, tunashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.