Baada Ya Hotuba kwa Wazee wa CCM Mwenyekiti wa Wazee Brigedia Mbita alimwita Kingunge Kuja kuwashukuru Hotuba ya Jk Lakini ghafla Mwenyekiti huyo akasikika akisema Kingunge amekataa na...
Wakuu naomba mnijuza kama mtakuwa na jibu kwamba mwanzoni zilipotoka hela mpya kulikuwa na tetesi ziliibiwa kontana moja uwanja wa ndege, je zinawezakuwa ndizozilizosababisha inflation yote hii?
Mwenzenu nna tatizo kuhusu maajabu saba ya dunia naombeni msaada....Hivi leo hii maajabu yanahtaji kupigiwa kura? Ni propaganda tu au?Kuna wanaotaka hata ox bow lakes zao ziitwe maajabu kwakua...
PCCB DG says Africa losing up to USD 40bn to the vice
Experts say country`s tax regime weak, billions flowing out
Police, judiciary, lands and Tanzania Revenue Authority (TRA) have been cited as...
Iran inasema kuwa imeanza mazoezi ya kijeshi ya siku nne, ili kupima uwezo wake wa kulinda mitambo yake ya nuklia na sehemu nyengine muhimu, endapo ikishambuliwa.
Shirika la habari la taifa...
A criminal case is launched against citizens of Guinea and Tanzania for embezzlement of large sums of money and legalization of criminally obtained profits. Citizen of Guinea A.K. reached a...
Wana Jf,ubadhilifu wa mali ya uma sasa inaipeleka nchi pabaya.
Kamati ilioundwa kuchunguza fedha alizochangisha Jairo katika wizara ya nishati na madini sasa imeonesha wazi namna fedha hizo...
Mtoto wa Muammar Gaddaf aitwaye Saif al Islam amewekwa chini ya ulinzi na askari waliomkata wa kusini mwa Libya akiwa na watu wawili waliokua wanamtorosha kumpeleka nchi jirani ya Niger.
Chanzo...
Nimetazama upepo unavyokwenda kuhusu Mswada wa Marekebisho ya Katiba (Katiba Mpya: Masikhara haya), nimeona na kusikia maneno ya JK jana pale PTA, nimesikiliza mahojiano ya Deus Kibamba Channel...
Wadau! na wana_JF
Nimekaa na kutafakari sana juu ya mashwara kadhaa ktk mfumo wa utawala wa serikali yetu. Mathalani utamaduni wa nchi hii ni kupeleka vyuo vya ualimu wale wote wenye daraja la...
Taarifa nilizozipata toka eneo la ajari Lusaunga ni kuwa basi la Taqwa toka Dar es Salaam limengongana na roli la mizigo na watu zaidi ya 30 wanahofiwa kuwa wamekufa, shuhuda wa ajari ambaye...
Wana JF
kama tunakumbuka vyema baada tu ya kugundulika kuwa Mh Jairo alichangisha mamilioni ya pesa kwa ajili ya kukilimu wageni kinyume na utaratibu wa serikali, Ludovick S. L. Utouh MDHIBITI NA...
kwa kweli hi imezidi utakuta watu wanatembea na mashanging mjini ya meandikwa program ya maji .sasa ilo shanging lenyewe ni visima kadhaaa. Hatutaki stika kwenye mashangi zinazo someka program ya...
Leo anaongea na wazee wa Dar, lakini TV zitaonyesha ili watu wasikie na waone. Tatizo mi sina interest ya kumsikia , yani hata nikijilazimisha. Hili nahisi ni tatizo sasa...
Ukishangaa ya Musa basi utayaona ya firauni, haya ni maneno ya Nape Nnauye kule fesibuku.
Report/Mark as SpamNape Nnauye
Lazima ukuaji wa uchumi WA 7% nchini utafisiriwe katika maisha ya...
Mpaka wa tanzania rwanda na burundi si salama kwa sasa kwa tangu juzi mapigano makali yanaendelea mpakani ambapo vikundi vya wapiganaji vimejichimbia eneo hilo!
Taarifa za awali zinasema ni...
Wadau! na wana_JF wote!
Nimekaa na kutafakari sana juu ya mashwara kadhaa ktk mfumo wa utawala wa serikali yetu. Mathalani utamaduni wa nchi hii ni kupeleka vyuo vya ualimu wale wote wenye daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.