Wadau salamuni.
Tarehe 14.11.2011, IJP Mwema aliongea na vyombo vya habari na kutoa alichokiita PRESS RELEASE kama tahadhari lakini pia katika kuutumikia umma wa watanzania kama kazi yake ilivyo...
Kama ni msomaji mzuri wa JF utagundua kwamba zaidi ya 95% ya waandikaji na wachangiaji hoja ni malalamiko ya kila idara ya taifa letu Tanzania. Hiki ni kipimo kizuri na cha awali kujua wananchi wa...
Najitolea kufa ili Tanzania iondokane na udhalimu.
Naamini damu yangu italeta chachu na ari mpya ya mabadiliko.
CCM lazima ing'olewe madarakani, Kikwete lazima ashitakiwe kwa kukandamiza na...
Baada ya madreva wa daladala za kigogo mburahati kugoma kutokana na ubovu wa barabara, hatimae serikali ameanza kurekebisha sehemu korofi.
Madreva wameapa hawataingiza magari yao barabarani hadi...
hiv kweli tusherekee sote nusu karne (miaka 50) ya uhuru? Au tulie sote kwa miaka 50 ya magamba ya unyonyaji ukandamizaji wa maskin,mfumuko wa bei ,elimu mbovu. Tushirikiane sote wanaharakat...
mimi jamani nashindwa kuelewa jinsi hii nchi inavyoendeshwa! Kwa mfano nataka kujua ni sheria gani hutumika kumkamata mtu mathalani amenunua sukari arusha mjini na soko lake liko namanga ambayo ni...
Kwa Kuwa Wananchu tuna wakilishwa na Wabunge na Kwamba sasa tunataka katiba mpya iliyo na maslahi yetu na sio kuchakachua !!!
Upo ukweli kwamba CCM wamepora Ushindi wa Upinzani katika nafasi...
Mfanyakazi mmoja katika kituo kimoja cha redio ya kiongozi mmoja serikalini, anaendelea kunyanyasika kwa kuchukuliwa vitu vyake vya ndani katika nyumba aliyokuwa akiishi kabla ya kufiwa na mkewe...
Hello
A QUICK PRAYER
Please do not break. Just 27 words
"God, our Father, walk through my house and take away all my worries and
illnesses and please watch over and heal my family in God's name...
Mie natumia Mtandao wa TIGO Leo majira ya saa kumi jioni simu yangu ilipoteza network ghafla baada ya kuongea tu na baadhi ya simu. Imekua ni kama desturi toka niingie Jiji la Mwanza wiki...
Kila kukicha utasikia mara UDSM ,Mara Makumira ,Mara CDM
TUNATAKA KULALA VIWANJANI VYOTE HIVI VINAISHIA KATI
SASA INABIDI TUJIANDAE KWA MECHI ITAKAYO LETA MSHINDI SIO
TUNAISHIA KATI BANA...
Katiba ya nchi ni kwa faida ya wote. Wakati Chiruba akiingia Madarakani iliundwa katiba ili kumlinda yeye , chama chake na washirika wake, huku ikiwakandamiza wapinzani kama kwamba nchi ilikuwa ni...
Ndg zanguni!! Samahanini sana kama ntarudi nyuma kukumbusha yaliyotokea na si mbaya kwa mwenye kujua kinachoendelea na akatukumbusha wengine humu ndani wenye kutaka kujua yanayoendelea kuhusu ule...
Hongera broda!! kwa kuwachana wanabodi wote walikuwapo rasmi kwenye bodi ya kuutangaza mlima kilimanjaro katika maajabu 7 ya dunia.
Kawachana mno, na kadai bodi ilikuwa inakaa kimyakimya. Wizara...
Kuna tetesi kuwa mwanafunzi mmoja wa Chuo cha SAUT jijini Mwanza amejinyonga juzi. Habari zinasema marehemu aliacha ujumbe ukileza kuwa sababu za kujinyonga ni wenzake kumwita Cameron. Mwenye...
Zenith Teachers Junction
bado tunahitaji walimu.
Hususani wa Grade A
na Nursary wako wapi.
Tuna demand kubwa ya walimu kwenye Data base yetu.
Piga
Kuanzia tarehe
17.nov 2011
simu namba...
Rostam Aziz ahusishwa ufisadi mabilioni ya Japan
Ni za Mfuko wa Chakula
Zilizochotwa ni bilioni 200
Toleo Na. 090
Rostam Aziz ahusishwa ufisadi mabilioni ya Japan
Na Waandishi Wetu...
Leo niko Ubungo Terminal hapa najiendaa kwenda kwa akina Ta Muganyizi kula senene ila kwakua ni wajibu wangu kuna mambo ambayo nimejaribu kuangalia hapa Ubungo Terminal.
Kwanza nimefatilia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.