Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jana nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio hapa Arusha nikamsikia lema anasema mkuu wa mkoa ni mjinga asifikiri Arusha ni Bagamoyo vipi wana jf imekaaje hii?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Monday, November 14, 2011 8:35 AM Makahaba 14 wa nchini Malawi ambao walikamatwa na polisi na kulazimishwa kupimwa ukimwi na kugundulika wote wameathirika na ugonjwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wale waheshimiwa wetu walioenda nje ya nchi kwa matibabu walisharudi? kama bado mwenye update zozote anijuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maandamano yajayo tusiwaachie wamachinga na wapiga debe kwani kila maandamano yanapoitishwa machinga na wapiga debe hujitokeza kwa wingi na wasomi kama maprof, Dk, Phd huwa watazamaji tu. Sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanasiasa mashuhuri anayegombea tiketi ya urais ya chama cha Republicans nchini Marekani, amekanusha madai mapya kuwa alijaribu kumlazimisha mwanamke mmoja kufanya mapenzi naye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mwanafunzi kagongwa na kufa, wanafunzi wakakusanyika kwa wingi. walipokuja polic wakaanza kupiga mabomu & risasi
0 Reactions
238 Replies
19K Views
Igp MWEMA kada wa chama cha mapinduzi,tamko lako linamuhusu Nani JKT AU CHADEMA. Kikundi ambacho ungekipga mkwara huo Ni Police wako ndo wavunjifu wa Amani Hapa TZ. Pamoja na CCM kuwatumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi jogoo anapowika alfajir anamuamsha binadamu,kuku mwenzie au anafungua mapafu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba kujuzwa kwa wanaofahamu, baada ya haya machimbo kwisha mashimo haya yatakuwaje?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo La Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu km SUGU, Ametoa taarifa kwamba:- "MBEYA HALI NI SHWARI WANANCHI WANAENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA...NA WANANCHI WOTE 386 WALIOKUWA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye watanzania kupata uhuru kutoka...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Taarifa: Mbeya hali ni shwari wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida...na wananchi wote 386 waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi sasa wako huru,ambapo kati yao 34 wameachiwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzanian taxpayers are set to pay a Lebanese aviation company a total of Sh22.64billion ($12.58 million) for service that wasn’t delivered, The Guardian on Sunday can reveal today. The amount...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali ni mbaya CRDB kwa kushindwa kuwapa wateja wao ATM kadi zao kwa muda wa wiki tatu kama wanavyowaelekeza Kwa sasa nina listi ndefu ya wateja wa CRDB ambao wameshindwa kupata ATM card zao kati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
From PETER TEMBA in Moshi, 13th November 2011 @ 11:20, Total Comments: 0, Hits: 250 KILIMANJARO Christian Medical University College (KCMU) in Moshi will get a 130 million US dollars (about...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, ulinzi shirikishi una manufaa mengi kwa jamii – hasa kuwalinda wananchi na mali zao na kuwafanya waishi kwa amani. Hata hivyo, ulinzi shirikishi ukitumiwa vibaya utazaa kura...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Huyu Kandoro yeye ndo Mwiba wa kutengeneza fitina za wahangaikaji waliojiajiri kwa nguvu zao wenyewe.Yeye kwa sifa na sera ya safisha jiji basi ndo Kuwaumiza wengine. We kandoro unamatatizo gan?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la polis wakishirikiana na askari wasaidizi wa chuo kikuuu cha dar es salaam wameendelea na operesheni kamatakamata na hivi leo majira ya saa 4 asubuhi kiijana mmoja anaywjulikana kwa jina...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom