Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kinachotendeka sasa hivi Mbeya, Dar na Arusha ni matokeo ya kuwa na serikali legelege na viongozi wasiomakini! Viongozi wetu wameingia madarakani kwa nguvu ya rushwa, kuiba kura/kuchakachua kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
asema KIMYA means mmekubali au bado mnajishauri juu ya shinikizo la kuruhusu vidume kushikishana Ukuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania haitafikia matarajio ya kujenga misingi ya demokrasia ya vyama vingi iwpo polisi watazidi kudumisha utendaji wa mfumo wa serikali za chama kimoja. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Wakati wa Bunge la bajeti wabunge wa CHADEMA isipokuwa Shibuda waligoma kuchukua posho za vikao, katika maswali ya papo kwa papo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipoulizwa kuhusu suala la posho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamni hivi jukumu la msingi la maafisa watendaji wa serikali ni kugawa Sukari? Imenishangaza kuona ofisi za kata ndiyo zinauza sukari? Naomba kuelimishwa kwa hili jamani. I stand to be correctedif...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapata pisha gani kama WAHESHIMIWA WABUNGE,wetu pale BUNGENI,wapewe zoezi la kuandika IMLA/DICTATION kwa KIINGEREZA kwa dakika 5 tuuuuuu???
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Siku ya jumanne tarehe 8/11/2011 kuanzia muda wa saa 9 ya jioni, kulitoka hewa yenye harufu nzito sana iliyosambaa hadi nje ya mgodi wa Buzwagi. Hewa hiyo ilisababisha wanakijiji pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa heshima na taadhima nawaomba waheshimiwa Mbowe na Slaa kusitisha mipango yao ya maandamano,Tanzania bado inataka hali yake ya amani na utulivu,maandamano mengi yanavunja utulivu na ni kero...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
My Dearest one Greetings my dearest one,my name is Ruki justin yak am 25 years old Girl from Southern sudan.I want to have a Good relationship with you, I need to tell you more things, but first...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Televission ya ITV imeshindwa kutoa majibu ya kipimajoto cha jana juu ya udhaifu wa jeshi la polisi, inaonekana wamechimbwa biti na policcm!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
hayo yamesemwa na mh anna kilango malecela mjengoni leo wakati akiuliza swali je kunaukweli wowote hapo? naomba wanajamii mnisaidie kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi tunaokaa huku Mbezi Morogoro road tunapata taabu sana kupita eneo la Mbezi mwisho hasa nyakati za asubuhi na jioni ndo usiseme ni balaa, kwa kufikiria kwa haraka stand mpya ilikuwa ndio...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
The World talk of Martin Luther King Jr, Michael Jackson, Jesse jackson, Jesse Owens and forget about the undergrounds like our late His Eminence Laurian Cardinal Rugambwa the first modern Africa...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Ndugu zangu nimekaa sana nikawaza yote haya natafakari tu eti waasi kama wa libya na kwingine wanatengenezwa au wanatokeaje? au ni watu wa aina gani au ni kina nani?na je hili huwa ni jambo la...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakati Tanzania tukisimama kidete kupinga swala la Ushoga, jiran yetu wa karibu Uganda wanapigia chapua kinachosemekana HAKI za mashoga. Akipingana na swahiba wake bwana Kikwete, rais Museveni leo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati wanajeshi wanakula kiapo cha utii mbele ya Rais, tafsiri yake ni kwamba wanasema hawatafanya jambo lolote lile lililo kinyume na matakwa ya Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Amiri jeshi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hilo ndilo utegemee siku ya kesho na hiyo ilikuwa ni sheria ya wizara sema aikuwa inaratibiwa mara kwa mara na waziri atakubali hiyo na mwisho wasivyo na dabu wakiongozwa na bi kidude wanaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaoshuhudia International Friend match kati ya Brazil na Congo wataona yale yaliyowahi kutokea Uwanja wa Taifa hapa DSM TZ, ndicho kinachotokea uwanjani nchini Congo! tofauti na siye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Kwa maoni yangu askari wa kutuliza ghasia anatakiwa alipwe zaidi ya viongozi wao wanaokaa maofisini na kutoa amri. Hii ni kutokana na risk (hatari) wanazokumbana nazo wawapo kazini...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Taarifa zinasema msafara wa makamu wa raisi dk gharib bilal,umepata ajari jijini dar leo baada ya gari iliyo kuwa ikiendeshwa na mama mmoja aliye kuwa akinywa maji ya dafu(nazi changa) kuuingilia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom