Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimesikia kutoka kipindi cha maswali na majibu cha bunge kuwa shule za al-Muntazir inayomilikiwa na WASHIA ina upendeleo kwa wanafunzi wenye imani hiyo.. Hii imekaaje?!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni good news ndugu zanguni nimepokea hii msg ni vyema niwashirikishe wenzangu ""kampuni ya ndege ya rwandair inapenda kuwatangazia kuanzia tar 21 mwezi huu unaweza kwenda darkgldxbdar direct...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu juzi watu wanaonipigia simu yangu ya kiganjani wanakumbana na ring tone ya Mizengo Pinda akijitambulisha na kisha kunadai kuwa watu wapigie kura Mlima kilimanjaro eti uwe ni moja ya maajabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninamkubali sana sokoine, aliamini mtu akiharibu lazima asimamishwe kwani ufanisi wake hauwezi kuonekana tena manake ashaonesha kushindwa kazi. Miaka ya mbele zaidi walikuja wapuuzi wanaojiona...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naleta kwenu jamvini wana jf naomba tujadili suala hili la viongozi wa kiafrika kutokuwa na utamaduni wa kukubali makosa wanayofanya na kuomba radhi na kama nchi za ulaya...nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kesho nitapiga ruti kimara mpaka manzese. kuanzia saa tatu. anayetaka aniunge mkono. serikali haiwez kunifanya mimi tahira. haki na wajibu wangu nafahamu. hoja ninayoitangaza kesho mtafahamu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mmeanza kikao kwa posho na maslahi zaidi,je hivi vitu vilikua kwenye ILANI ZA VYAMA WAKAT WA KAMPEN?NA SASA MNATEKELEZA HZO ILANI?kwa bahat mbaya mnadai mishahara minono kwa kutumia kigezo cha...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Wadau tumeshuhudia hzo nchi mbili zikiunga mkono maandamano yanayolenga kuleta mabadiliko ktk mataifa mbalimbali hapa duniani lakini cha kushangaza kwa tanzania wamekaa kimya kabisa,yani hawatoi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni kuimarisha ulinzi katika jiji na kujihami na machafuko yoyote yanayoweza kuhatarisha amani, polisi wameweka doria katika maeneo ya Kikatiti na Kia kwenye barabara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa ndugu wanajamvi juu ya wataalamu hawa huko mkoani Kgr..ni nini kinapelekea kuwepo kwa 'flow' ndogo ya habari kutoka kwa waandishi wa habari mlioko mkoani Kgr?mbona kuna vipindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.facebook.com/video/video.php?v=10150736396810251 watch and learn folks http://www.facebook.com/video/video.php?v=10150736396810251
0 Reactions
0 Replies
903 Views
The one who makes cows cry': Prince Charles gets Maasai title as he visits Tanzanian tribe with CamillaThe Prince of Wales, Duke of Cornwall, Prince and Great Steward of Scotland – Charles...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau,naomba mwenye kuelewa hili anisaidie kuelewa,ni kawaida vyombo vya vya bara(Tanganyika)magazeti,redio na televisheni kurusha matangazo yake visiwani zanzibar na pia magazeti kuuzwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii nchi bwana inakoelekea mi sipaelewi kabisa...Majuzi mkulu wa nchi yaani JK alikuwa anaendelea kuwashawishi watz watumie zile mashine za TRA ili kuongeza kodi, sasa imekuwa ni zamu ya Pinda na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani kwanin et M ugabe anagombea urais tena. Mara hii kata na single kama museven.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi nahisi hawa polisi wa Arusha wamechoka na manyanyaso wanayofanyiwa na wakuu kwa kucheleweshewa mishahara yao, mishahara midogo na kutumikishwa kama mbwa kwa maslai ya kisiasa ya watu wachache...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
My mom carried me in her womb for nine months... She felt sick for months with nausea, then she watched her feet swell & her skin stretch & tear; she struggled to climb stairs, she got breathless...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taifa la Vikombe vya Mwaisapile na Gamanywa, Makinda na India Askofu gamanywa wa wapo Mission ameanzisha huduma inayoitwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Vitabu vingi vya Historia na Fasihi viwe vimeandikwa na waafrika wenyewe au watu wa kutoka nje ya bara la Afrika, mara zote vinawataja Wareno,Waitaliano, Wajerumani, waingereza, Wadachi, na...
2 Reactions
144 Replies
14K Views
PRESS RELEASE Tanzania Professionals Summit to Celebrate 50 Years of Independence the Theme is 50 years of Independence, what have you done as a professional? Tanzania Professionals Network...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom