Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jana Tuliona jinsi Mkulukulu alivyosikitishwa na watu wazima Kujisaidia Vichakani, baada ya kulinganisha hali ile na maisha ya nyumbani kwake, akamuagiza mkuu wa bajeti kutenga fungu la kujenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..jamani jeshi la marekani linaruhusu ushoga waziwazi. ..wameondoa ile sheria yao ya "dont ask dont tell" ..itakumbukwa kwenye wikileaks, JK na Kapuya, walikuwa wakimpinga Gen.Waitara aliyekuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Anazungumzia juu ya kujivua magamba!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kwa siku za hivi karibuni, karibia kila siku kwa nama moja au njingine inaonesha kuna tatizo la nishati hiyo. Ninapata mashaka kidogo ninapowaona viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mungu awabariki,Napenda nizungumze wazi nionavyo mimi na wenye akili wataniunga mkono kwa hili,Hebu kumbukeni CCM ilitumia mbinu gani kuidhoofisha NCCR, CUF na sasa CHADEMA pindi vinapotokea kuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wanajamvi wenzangu, hapa tzie tunayo mifuko kadhaa ya hifadhi za jamii nssf ikiwa mojawapo. Nawapongeza sana wafanyakazi mpaka mkurugenzi wake kwa weledi wao na kasi yao ya kuwekeza katika nchi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau wa jf mim nilikuwa na wazo kuwa yaitishwe maandamano ya nch nzima kupinga ushoga tz. Wana jf waliopo kila mkoa na wilaya wafanye mchakato wakukutana na kuomba kibali cha kufanya maandamano...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
John Bwire gazeti la raia mwema 9 - 15 novemba, 2011 DALILI za wazi zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya wanasiasa kuanza kudharau Mahakama. Baadhi yao, wamekuwa wakifanya hivyo kwa sababu za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na tukio la juzi la wakazi wa Arusha kuamua kwenda kukesha uwanja wa NMC unga ltd. Nilikuwepo uwanjani mpaka saa TANO nikiwatazama watu hawa na nikawaona wanaelewa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Gay MP Stuart Andrew has spoken in Parliament about being targeted by a homophobic attacker Published: 12:22pm, 10th November...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
IMETIMIA MIAKA 22 TOKA ALIPOFARIKI BABA YETU MPENDWA MAREHEM JOSEPH JAMES MSOFFE, TULIMPENDA SANA BABA YETU LKN MUNGU ALIMPENDA ZAID. DAIMA TUTAMKUMBUKA KWA UPENDO WAKE KWA FAMILIA YK NA JAMII...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu JF, Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema. Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Poleni na majukum ndugu zangu za ujenzi wa taifa hili ingawa walio wachache wametumia mwanya walionao kubomoa kwa kadiri wanavyoweza, ni kazi kubwa sana mbele yetu na lazima tuwe na moyo wa chuma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imeonekana Zitto Kabwe kuwa brain nyuma ya chama hiki kikubwa cha siasa ambacho ndicho kinacho unda upinzani halali katika nchi ya Tanzania. Hii ikitanabaisha ni tofauti na chama cha CUF ambao...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
CC Utadhani bongo peke yake lakini kwingineko duniani kumbe hali inatisha? DHARAVI SLUM INAKADIRIWA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE DUNIANI WAKATI,KIBERA SLUM INAONEKANA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
CHADEMA ikae njoo kiama chao kipo jikoni,tunamalizia kuwatimua mafisadi ndani ya chama.....wanatumia huu mwanya kujifurahisha wakidhani itasambaratika.RAI yangu kwa wapenda amani wawe watulivu ktk...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
sikutegemea kwamba mtu kama Ansbert Ngurumo angaweza kuandika habari za kumchafua Rais Kikwete na kubeza yote yaliyofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi tutakumbuka baada ya uchaguzi mkuu...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom