tanganyika nchi yangu nzuri wamekugeuza shamba la bibi nilikuwa chunya wiki jana wageni wanajibebea dhahabu kama zao bila usimamizi wowote.....wachina waliokuwa wanatengeneza barabara...
Ndugu zng wana IGUNGA kutokana na kashfa za wizi wa fedha za umma zinazomkabili aliyekua mbunge wenu R.A (CCM) na kumpelekea kujiuzulu,ss zimebaki siku chache mpige kura kumchagua kiongozi wn...
Jana kwenye kampeni mwananchi anamuuliza kafumu mbona unayoahidi yashaahidiwa na watangulizi wako wa chama chako na hawakutekeleza na wewe utayatekelza vp?lilikuwa swali gumu sana na alibaki mdomo...
Mbunge Ismail Aden Rage amepigwa faini ya sh.100000 na kamati ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga.Msemaji wa kamati hiyo bwana Protas Magayane amesema faini hii ni kutokana na Rage kupanda...
Sijawahi kusikia maajabu kama haya yanayotokea tanzania, kuna balozi alikutwa na shahada za kupigia kura zaidi ya arobani alafu mimtu iliyopewa dhamana inasema sio kosa!nakumbuka mwaka jana kuna...
Maendeleo
"ili tuendeleee tunahitaji vitu vinne watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
Tanzania tunakosa nini hapa? Watu, hapana. Siasa safi, hapana na UONGOZI BORA sidhani. Wana JF hebu...
Dr Shein amuapisha shekhe Kabhi kuwa Muft mkuu Zanzibar.Written by 27/09/2011
Na Talib Ussi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha...
haya yanaashiria siku za mwisho za uhai wako ewe CcM mtoka pabaya
1.mnapopeleka msaada wa chakula kwenye uchaguzi baada ya maji kuzidi unga kwa lengo la kurubuni wapigakura
2.Siku chache zijazo...
mpaka leo najiuliza hivi wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa,kwa mfano kwa sasa kuna uchaguzi mdogo wa Igunga na kuna watanzania wana Igunga wataipigia kura C.C.M na mgombea wake!!
swali...
Kampuni ya Kibo Seed au Kibo Seed company ni kampuni ya mbegu kutoka nchini Kenya na ina ofisi yake kubwa mita kama hamsini kaskazini mwa stend ya hiace opposite na Annex Hotel hapa mjini Arusha...
Habari zenu members. Sijui hili kama limeshawahi kuongelewa humu. kwa wale madereva mtaniambia hili. Kuna wakati mtu unaweza ukafanya kosa barabarani, inaweza ikawa hata ni kwa bahati mbaya au...
Wana JF.
Kila siku kukicha shilingi yetu inazidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
Leo Dola moja ya Marekani imefika Sh1750 ya Tanzania, mwenye majukumu ya Uchumi wetu ni Waziri wa Fedha, Mustafa...
Wadau nipo Utete huku kuna bonge la bwawa ambalo wenyeji wanasema kuna mamba kama samaki,pia kuna viboko wengi sana nasikia wanalia sana kwenye maji ila sijamuona hata mmoja,hv wanauwezo wa kukaa...
Wakuu,mara ya mwisho kuckia habari za huyo mheshimiwa,nlickia yuko anahudhuria kikao cha UNO huko new york nchini marekani..hiv aliisha rudi nchini au ameamua kuendelea na ziara nyingne ya kikazi...
hi jf.
Nimepokea habari za kusikitisha kutoka sengerema inayoeleza kama ifuatavyo:-
huko kambi ya bugombe kata maisome tarafa kahunda (w) sengerema (m) mwanza.majambazi wapatao zaidi ya wawili...
Tangu aanze kuifanya kazi yake kama waziri mkuu pinda ameonyesha uwezo mkubwa wa kusimamia kilimo, ningekuwa Rais ningemteua awe waziri wa kilimo, hii inatokana na sababu kuwa mtu hufanyavizuri...
leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.
lkn tayari system hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.