Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamekamatwa na wanashikiliwa na Polisi Mkoani Kigoma wakiwa na risasi 1,200 za silaha za kijeshi aina ya SMG wakizisafirisha kwenda Mpanda mkoani Rukwa...
Eti waungwana huyu jamaa mvumbuzi wa kwanza Tanzania kutengeneza gari (Mr.Sugu) mbona hasikiki tena?
Mara ya mwisho kumsikia ni baada ya kutoa toleo jingine;
Mr.Sugu na gari na toleo jingine...
leo nimekumbuka sana maisha niliyopitia wakati wa utoto na ujana wangu, nimetokea kwenye familia ya wakulima na wafugaji, ama kweli yale ndiyo yalikuwa maisha halisi ya mwafrika. Nilichunga...
Tanzania yangu ya kesho sielewi itakuwa vipi, kama ya leo inautupu wa mwongozo, siasa imepewa asilimia 80 kama ndio mfumo wa kuongoza na kuendesha nchi, mfumo wa sheria, uwajibikaji na utawala...
Nimekuwa nasikia nakuona baadhi ya watu wakimsema vibaya Dr Wilbroad Slaa kwamba hafai kuwa rais wa nchi kwasababu amewahi kuwa Padri.
Sasa najiuliza Katiba inasemaje kuhusiana na watu kama Mufti...
mishahara ya wafanyakazi wa serikali haijulikani italipwa lini kwa mwezi huu, kisa ni mvutano kati ya serikali na chama cha wafanyakazi, sababu ni kuwa serikali inataka kumkata kila mfanyakazi sh...
Hebu chukulia kwamba mtu aliyekunyanyasa mpaka ukaamua kuacha kazi wakati akiwa Bosi mahali fulani, umekutana naye hivi sasa akiwa anatafuta kazi mahali ambapo wewe ni Bosi na ukiwa na maamuzi ya...
Ndugu zangu wanajamvi kama katiba yetu inavosema kila mtanzania ana haki ya kuwa na dini yake, kujiunga na chama anachopenda na uhuru wa kuishi mahali popote, leo mimi najitokeza kuwambia...
Vijana wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu mwaka huu, jana wametishia kulala nje ya makuu ya wizara ya elimu yaliyoko posta, mkabala na ikulu ya nchi hii. Vijana hao ambao ni sehemu tu ya vijana...
Mimi ni miongoni mwa abiria wanaosafiri na mabasi ya MJ ya Kondoa to Dar. Haya magari kwa nje yanaoneka bomba lakn ni mabovu kuliko hata DCM za Mbagala 2 Kivukoni. Kwa usafiri wenye uhakika basi...
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI YA UWEPO WA DAWA BANDIA KWENYE SOKO
1. Utangulizi
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa...
Tuesday, 27 September 2011 19:47
SERIKALI imeonya kwamba haitavumilia na kutishia kufuta udhamini wa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini watakaoshiriki...
Kwa sasa Kenya na dunia nzima wanaomboleza kifo cha mwanaharakati na mshindi wa zawadi ya Nobeli, Professa Wangari Maathai. Huyu mama alikuwa ni mwanaharakati na mwanamazingira mahiri sana. Hapa...
Habari zenu wana jf. Katika hali isiyo ya kawaida baba mmoja amejikuta anasota wodini masaa 36 hapa hospitali ya mkoa morogoro akiwa na majeraha yasiyoshonwa na hana dawa. Mtu huyu ambaye alikuwa...
Ndg wana jf-bei ya gesi kg 6 dar ni elfu 19000,ruaha-kilombero ni 25000.Cha ajabu ifakara ndani ya muda mfupi sana bei iliruka kutnka 30000 ikaenda hadi 35000 kufumba na kufumbua 40000.jamani hii...
POLISI mkoani Singida inawashikilia wakazi watatu wa Manyoni kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Mwanzi ya mjini humo, kwa madai ya kuiba simu ya Sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.