Kwa muda mrefu nimeangalia kusikiliza na kushiriki mijadala anuai ya kuhusu mustakhabali wa nchi yetu and kugundua kuwa kuna unafiki na uhafidhina mkubwa katika maslahi ya nchi. Kimtazamo hadi...
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA...
Nimesikitishwa sana jana na kauli ya tanesco kuhusu huu mgao wa umeme usiojulikana kikomo chake.
tanesco inawashangaa wananchi kwa kuwatupia wao lawama kuhusu mgao wa umeme,bila kujua nani...
Nchi yetu inahitaji watu watakao jitolea kwa dhati kwaajili ya ukombozi wa taifa letu, Vijana watakaosimama katika ukweli na kupigania haki na kulisimamisha taifa letu liwe imara, ili kulinda...
Mnamo mwaka 1996 nilifukuzwa chuoni. Lakini kilichonifukuzisha chuoni, ni kufuata mkumbo. Wenzangu waligoma kwa sababu ya posho, kwa upande wangu niliona dhahiri sababu ya kugoma kwao haikuwa na...
hiki ni kituo kikubwa sana cha mabasi yaendayo mikoani na hata nje ya nchi ya nchi yetu.
Na kwa utaratibu ulivyo, mabasi huweza kuingia hata usiku wa manane. Na ukifika pale usiku utashaangaa...
ile foleni kubwa inayotokea nyakati za asubuhi , kumbe dili kati ya matrafiki na waendesha piki piki a.k.a. bodaboda, nikiwa nimebebwa nilijaribu kudadisi nikapata ukweli wake. Dili liko hivi...
Baraza la mpito la Libya limegungua kaburi la pamoja ambalo wamezikwa watu wapatao 1200 ambapo limetangaza litatumia vipimo vya kutambua vinasaba (DNA) ili kujua ndugu wa wafu hao. Ilipotokea...
Tanzania ni nchi ya ajabu na watu wake ni wa ajabu sana, nimeexprience mambo mengi tangu nipo field na sasa nafanya kazi, nimepita mashirika mengi kidogo na nimejifunza kitu,kuna baadhi ya...
Jamani Ndugu zangu wana JF sijui nikimbilie wapi.Nilinunua Hisa za Tanga cement mwaka 2003 ,niliweza kupata Gawio mara tatu baada ya hapo sikupata tena.Mwanzoni ulikuwa unatakiwa kutoa acount yako...
wakuu,nimepata kusikia kuwa kuna habari ya mwanamke kuolewa na umbwa kwenye gazeti la mwananchi.nimejaribu kutafuta sijapata kwa yeyote wenye habari hii naomba atujuze. ASANTENI
Jana kwenye mchuano wa wagombea ubunge Igunga vurugu za malumbano ziliibuka na hivyo kusababisha kutokusikilizana, lakini kumbe vurugu hizo zilikuwa zinatokea eneo ambalo walikuwa wamekaa wabunge...
HISTORIA ya dunia hii imesheheni ushahidi wa kutosha kabisa kutuonyesha kwamba mambo makubwa makubwa ya kutisha chni ya jua yameanza kama masihara na katika vitu vidogo vidogo tu ambavyo watu...
Ndugu yangu mpendwa
maneno hayo yesu akiwapa wanafunzi wake..yawezekana umekuwa na mfadhaiko
wa kila aina ,,umekuwa na shida mbali mbali magonjwa,ajira,biashra zako aziendi
sawa...umewaza mpka...
Monday, 26 September 2011 20:51
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Aziza Masoud
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua mkutano wa uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa Tanganyika unaotarajiwa...
Raisi mpya wa Zambia Michael Satta a.k.a King Cobra amesema kuwa utawala wake utaendesha serikali ya nchi hiyo kwa mujibu wa amri 10 za mungu. Katika kutekeleza amri hizo amesisitiza zaidi katika...
Jamani hii imetokea jioni hii pale Magogoni, nia inayopita Ikulu kutokea Ferry kuelekea Upanga! Mtangajika mmoja amepita akiendesha gari muda mfupi baada ya saa 12 Jioni, cha ajabu FFU waliokuwa...
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia kikao cha baraza la usalama, ulipanga pia kuongea na watanzania waishio huko kama ilivyo ada. nao walikuwa kwa hamu wanakusubiri wakuonyeshe msimamo wao kuhusu...
tigo
nimeongeza buku,wakanipa dakika mbili na secunde 30 kupiga mitandao mengine,nimepiga kwenda voda wamenikata na leo sio mara ya kwanza.jamani tukifungia macho wizi kama huu(ambao sio mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.