Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
After the Igunga district commisioner saga,the Mahakama ya Kadhi,kujitoa mhanga and some disturbing and very irritating words from Muslims socities in our Country,is it the time now for a moslem...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
http://youtu.be/eiPseEq7ONQ
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Inadaiwa sababu za kusimama kwa ukarabati wa tuta la mto mkondoa ni mafuta. Mtoa mafuta amesitisha hadi malipo ya awali yafanyike. Hivi taratibu za ukandarasi zikoje ?.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna watu wa nne wamepandiswa kizimbani kwa kosa la kuchoma korowani.msafu. Uko mwanza.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
South African rugby journalist arrested because he looked like drug dealer New Zealand police arrested and strip searched a black South African rugby journalist drinking with white colleagues...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Netanyahu anasema aliambiwa na Rabbi kuwa UN body ni 'house of many lies'? Hivi hii inaweza kuwa kweli? Msikilizeni JK halafu tuitazame tena hii statement ya Netanyahu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshtushwa na matraffic wa Mbeya leo hii mchana nikiwa safarini kwenda boarder kuwahi usafiri wa Lusaka. Nikiwa katika kiti cha mbele karibu na dereva, basi lilisimamishwa eneo la Tazara Iyunga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na suala la mgao wa umeme, tanesco na mawaziri wamekuwa wakisema utaisha mwezi wa kumi na mbili, nawashauri watanzania wenzangu ili kuonyesha hii serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
The video is not related to the story below, though it appears to be systemic, Afghanistan's dancing boys notwithstanding. These accused devout Muslims teach "Islamic lessons" at the centre. It...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf ni wazi kuwa demokrasia TZ itadhoofishwa na inaendelea kudhoofishwa daima na chombo tunachokiita TBC. UPENDELEO WA WAZI NDO DHIMA YAO HASA LINAPOKUJA SUALA LA KAMPENI mfano mzuri ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye taarifaa yenu ya leo usiku wa saa 3.30 mmeinena KNCU kuwa ni Kilimanjaro National Cooperative Union kitu ambacho siyo sahihi. Kirefu cha KNCU ni Kilimanjaro Natives Cooperative Union...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katele calls on all political parties to work together TIME PUBLISHED - Monday, September 26, 2011, 7:59 am 21 Comments 1118 views Email Print Dr...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wanaofatilia kesi inayowakabili Muthaura Uhuru na wenzie kutoka HEGUE wekeni KBC1 sasa hivi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam wetu Tanzania ni fake jamani? Mbona umeme imekuwa balaa? Sasa ngoja niulize swali,je ni lazima umeme upatikane kwenye mabwawa na maporomoko? Mbona tuna maziwa yenye maji mengi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jengo liliungua floo ya kwanza tu na zimamoto wamefanikiwa kuuzima moto ..hakuna majeruhi Source: JF
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Huu utitiri wa vyama vingi sasa nimejua wahusika walikusudia nini,ni kuwa na vyama ambavyo havitakuwa na nguvu ili chama tawala kiendelee kutawala.leo kwenye taarifa ya habari toka tbc chama cha...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Gari tajwa apo juu imeibiwa mwenye taarifa za kuweza kupatikana kwake dau NONO litatolewa,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni takribani wiki ya nne sasa tangu kusuasua kwa mtandao wa VODACoM na mara nyingine hakuna mawasiliano kabisa. Wiki mbili zilizopita nilibahatika kuwapata kwa kuwapigia namba yao ya Huduma kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kana kwamba wamechoka kuona rais akipigiwa vingora sasa watanzania kadhaa wakiwa na pikipiki wamepora mabox zaidi ya sita kutoka kwa wahabeshi kwa kumwaga bastola angani kadhaa...habari zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuliambiwa huko nyuma na ninyi, Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne 1. watu 2. ardhi 3. siasa safi 4.uongozi bora sasa leo imetimia miaka 50 ya uhuru Nchi iko ktk giza, hospitali madawa hakuna ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom