Makamu wa pili wa rais, Balozi Ally Seif, jana usiku alilazimika kuizuia meli ya MV Serengeti ambayo hufanya safari zake Unguja na Pemba, kuendelea na safari yake ikitokea Unguja kuelekea...
waziri mkuu Pinda amebeza kitendo cha Viongozi Kujumuika kwa wingi katika msafara wake ,hali inayopelekea kupgana vikumbo.
Amesema Anaitaji viongozi wachache Ili Nae ajimwage.
Wingi wa...
Hii ni kwa NHC....Hivi kupaka mirangi ya pinki nyumba zenu jiji zima la DSM mlishauriwa na nani?.........Fikirieni siku rangi itakapopauka jiji litakavyochekesha maana hamnaga kawaida ya repairs...
"MY GENERATION THE GENERATION OF THE INDEPENDENCE STRUGGLE MUST NOW GIVE WAY TO NEW IDEAS; IDEAS FOR THE 21ST CENTURY. FROM THIS DEFEAT, A NEW, YOUNGER MMD WILL BE RE-BORN. IF I CAN SERVE THAT...
A,alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Nakutakieni ijumaa njema yenye furaha na neema. Wana JF wote na Watanzania kwa jumla. M/MUNGU atuondoshee balaa za duniani na akhera, atuepushie na adhabu ya...
Ukiniuliza kati ya mambo matatu ambayo naweza kumwomba mungu kwa sasa moja wapo ni kumwomba uzima ili nishuhudie nchi yetu inaandika historia mpya, it will be a very important year wakati...
waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa...
Leo arusha imepata baraka za mwenyenzi mungu kwa kunyesha mvua ambayo haijanyesha zaidi ya miezi kadhaa vizima vya maji vilikuwa vimeshaanza kukauka maji kutokana na ukosefu wa mvua,
Ijumaa ya Fat-wah Mwanza; RC na RPC Si siku ya Kukaa Ofisini leo
Kanisa lachomwa Moto
Maandamano makubwa kufanyika kuelekea eneo laTukio
Uzembe wa kuchukua hatua mapema kwa viongozi wetu ni kansa...
Wakuu,...
Naomba kujuzwa kuhusu hii kitu inaitwa "WikiLeaks"...maake mara nasikia_Wikileaks..asemayo Kikwete kuhusu zanzibar,mgongano wa Kapuya na gen.Waitara,Kikwete aliwaombea Jairo na Makamba...
Ni wazi kile kikundi kilichopata kuwa maarufu cha Orijino Komedi kinachorusha vipindi vyake kupitia TBC1 kiko muflisi. Kwanza hawaonekani kuwa na mvuto wowote tena kama walivyokuwa enzi za Ze...
MGONJWA ANAWATAFUTA NDUGU ZAKE
Hospitali ya Taifa Muhimbili ilipokea mgonjwa toka Hospitali ya Mwananyamala tarehe 18/08/2011 akiwa mahututi na hajitambui. Inasemekana kuwa mgonjwa huyu...
Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari...
jamani jamani sasa imekuwa ni kero hapa tz sijui ni aina gani ya wizi tena nmb unalipia 1000 a.k.a buku kutuma pesa imekaajee hii jamani nijulisheni mbona benk zingine sijaona
ref:nmb mtwara...
Wakielezea mafanikio waliyoyapata toka mwaka 2005 hadi leo
Madaktari wakijerumani: kwao ujerumani alizaliwa mtoto asiye na macho wala asiyeza kuskia, lakini kwa juhudi zao huyo mtoto leo hii ni...
EWURA ambao ni mamlaka inayotambulika kisheria waliamua kuifungia kampun ya BP kwa sababu ya kugoma kuuza mafuta,,,,,hatimae jana BP wameiomba radhi EWURA kwa kosa walilolifanya,na pia EWURA...
Ndugu zangu wana jamii forums naomba kwa anaejua kuhusu umeme unatokana na vinu vya nyukilia,maana nasikia kuwa huko ulaya hakuna tatizo la umeme yaani upo wa kumwaga,sasa nawaomba mnaejua sababu...
Niliposikia tambwe hiza na cheo chake cha uenezi na propaganda kimefutwa nilifikiri jamaa wameliona tatizo na wamejitahidi kulitpatia dawa ya kulituliza kumbe walibadilisha majukumu hayo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.