Nimetumiwa kitu kutumia USPS, lakini nimewahi kutumiwa vitu huko nyuma na havikufika.
Nimetumia tracking system ya USPS inaonyesha mzigo wangu uko in transit. Nimejaribu kupiga simu ya posta...
Mnaokumbuka sakata la Hans Kitine kuhusu madai ya hongo ile mwaka 2002 lilipigwa msumari na Bernard Membe alivyotos ushahidi mzito wa jinsi Kitine alivyohusika na madai yale.
Baada ya wiki moja...
Utaratibu uliotolewa na bodi ya mikopo mwaka huu umehisiwa kuleta mifarakano katika familia baada ya familia kadhaa kushangilia baada ya kuona watoto wao wamepata mfano 2,500,000 ambayo kwao...
Kila uchao kuna mapya kuhusu sakata la DC Igunga na Chadema.
Hadi sasa Bakwata washalaani huyo mama kuvuliwa Hijab lakini Chadema kupitia Tundu lisu wakadai si kweli,yule mama hakuvaa hijab,yani...
Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye amekuwa akisifiwa kwa uongozi thabiti na kuiendesha nchi vizuri kuliko Tanzania, sasa inaelekea ameanza kulewa sifa baada ya kufanya vituko huko New York...
Govt Dept Marekani imeingia kwenye maji moto baada ya kulipa $16 kwa muffin moja. Huu ndio ule ufisadi kwenye wizara zetu wa chai na maandazi.
Only if we had good media!!
US justice department...
Mara nyingi nikimwona Katibu mkuu wa CCM kwenye TV huwa nabadilisha chaneli mara moja kwani huwa sielewi kama anahutubia,anagombana, ni majigambo, mahubiri au amekuja pale kuchekesha kama wajukuu...
Tunajua sote serikali ni pamoja na Polisi.
Leo asubuhi makutano ya barabara ya AH Mwinyi na barabara ya Rose Garden nimeikuta "Serikali" imekwenda usingizi , tena mzito hata wapita njia walikuwa...
MICHAEL SATA
Taarifa zilizotufikia punde zinasema hali ya mpaka wa kuingia zambia imekuwa chafu na serikali kulazimika kufunga mpaka, baada ya wafuasi wa kiongozi wa chama cha upinzani MICHAEL...
Uchaguzi mdogo jimbo la igunga umenifungua macho na masikio na kuweza kutambua uelewa wa baadhi yetu, sijui kama ni makusudi au hisia tumeamua kuweka akili zetu pembeni. DC alituhumiwa na CHADEMA...
Nimefarijika sana na matokeo yanayoendelea kutolewa zambia
UPF inayoongozwa na Mr Sata inaongoza kwa mbali sana,sasa tuone hayo majizi yanayofanana na ccm watafanya nini,je watatangaza mshindi au...
Mufti: Waislamu acheni kulalama, tafuteni elimu
Na Faida Muyomba, Geita
MUFTI wa Tanzania, Shekhe Mkuu Issa Shaban bin Simba amewataka waumini wa dini ya kiislamu nchini waache kubweteka...
Zimesalia takribani siku 9 ambapo wananchi wa jimbo la igunga watakwenda kumchagua kiongozi ambaye wanadhani atawaletea maendele kutokana na sera zao.ni dhahiri kuwa cdm imepania kulichukua jimbo...
Katibu mkuu wa CCM bwana wilson mukama amekituhumu chama cha chadema kuingiza nchini hususani jimbo la Igunga Tabora,vijana 33 waliopewa mafunzo ya kikomandoo.Alidai kwamba vijana hao wameletwa...
Inasikitisha kuona nchi yetu ikizidi kuuangamia kwa uwekezaji mbovu. Tumekuwa na tatizo la umeme ambalo sugu solution yake wameona ni kuingia mkataba na kampuni ya kigeni ya aggreko . Ambayo...
Mwalimu mmoja katika shule ya msingi katika kijiji cha Lukukwe huko Lindi, amekutwa asubuhi akiwa amelala kwenye kibao cha shule akiwa uchi wa mnyama. Katika kuhojiwa amesema aliingia ndani kwake...
Watangazaji wa redio ya Kasibante inayomilikiwa na Balozi Khamis Kagasheki wamechezea sharubu za Simba baada ya kuendesha mada iliyojadili kesi inayoendelea mahakamani na kuruhusu wasikilizaji...
USULI .
Mhesimiwa Rais , nakupa pole kwa majukumu mengi na mazito ya kuendesha nchi yetu yenye matatizo mengi na kila mahali hatuonekani kufanikiwa ila matatizo na umasikini kwa watanzania...
Ninaanza kwa kusimulia Kisa cha kweli kilichowahi kutokea mjini Moshi eneo la Majengo. Majambazi yalivamia Bar yakiwa na silaha za moto, yaliwalaza chini Wateja wote na kuzima taa, jambazi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.