Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanajamvi hili nimeshindwa kulipatia majibu ya msingi naomba nieleweshwe ni kwanini hakuna umakini katika kuandaa hizi vitu halafu eti mkuu wetu anashika na anapiga picha na meno anatoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wandugu nilikuwa naomba kujuzwa gharama ya mbao za kupaulia ambazo ni treated siku njema
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kinaishi maisha ya kuonewa huruma. Kimeanza kuchoma moto nyumba za viongozi wao ili wananchi wajue wapinzani ndio wachochezi wa machafuko. Imetokea igunga jana vijana wa ccm...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wezi wa usiku hasa mitaa ya sinza madukani hadi kumekucha wameibuka na staili mpya ya wizi ambayo wanaiita chipsi mayai. staili hii jamaa huchukua jiwe na kulibeba kwenye mfuko mweusi kama chipsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ktk hali ambayo imenitia uoga leo asubuhi kumekutwa kitoto cha miaka kama miwili kikiwa kimeuawa na inasadikika muuaji alimfanyia ubakaji kabla ajamuua kutokana na sehemu ya kike na haja kubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii forum,mimi ni mkazi wa moshi kilimanjaro,huwa nikiumwa au ndugu yangu kuumwa huwa nampeleka kilimanjaro hospital,lakini huwa kuna kero kubwa hasa ukiwa unatumia bima kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ukweli ni kwamba DC aliweka kitambaa kichwani hakujifunga na pini. katika hali hii hata upepo unakirusha kila wakati. tukio la kitambaa kilichoegeshwa kumruka kinaonekana kibaya sana hadi bakwata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita member mmoja wa jf alileta mada kwamba picha iliyotumika kwenye vyombo vingi vya habari kuonesha meli ya MV spice islander haikuwa ya kweli, hata aliweka site ambayo picha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BAADHI YA RAIA ZANZIBAR HAWANA IMANI NA TUME YA KUCHUNGUZA MV SPICE ISLANDER, WATAKA IBADILISHWE22/09/2011 0 Comments Serikaliya Zanzibar imeshauriwa kuangalia upya tume iliyoundwa kuchunguza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF salute! Obama amehutubia umoja wa mataifa na kueeleza maana ya amani na hapa nanukuu " Peace is not just absence of war. True peace depends on creating the opportunity needs life worth...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
The best way to escape from a problem is to solve it.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
College admissions is a tough game. Even the most proactive, organized, and prepared students need help with their applications, essays, and financial aid forms. Add the complexities of applying...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Leo ni siku ya 3 tangu umeme ukatike Maeneo haya ya BUGURUNI, sasa tumeshindwa kuelewa Kuna Hitilafu, au Mgao siku tatu tatu au wamejisahau kuturudishia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi wamesema ukikutwa na shahada za kupigia kura hata mia moja sio kosa. Je sheria za uchaguzi zinasemaje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wednesday, 21 September 2011 21:03 Nyumba ya kiongozi wa CCM Igunga yachomwa Moto Katibu mkuu wa CCM, Wilson Mukama (mwenye miwani) akitoka kuangalia nyumba ya Katibu wa chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili ilipokea mgonjwa toka Hospitali ya Mwananyamala tarehe 18/08/2011 akiwa mahututi na hajitambui. Inasemekana kuwa mgonjwa huyu aliokotwa na wasamaria wema barabarani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Timu ya mpira wa miguu ya Nchi ya kidemocrasia ya Congo (DRC) imesubutu kumili ndege ya pili ili waweze kuweka mambo yao sawa.... Timu hii ina nini kikubwa kuliko Serikali ya CCM iliyoua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mambo wakuu! Jamani Benn Wa Saa nane yuko wapi? Kwa wale wasiomjua huyu jamaa ni jembe chapa jogoo ndani ya Bavicha. Siyo siri kijana huyu anaijua siasa nje-ndani, chini-juu....ni zao la CDM...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya wandugu naomba tujibu maswali yafuatayo:- 1.Katika purukushani za kumkamata muhalifu wa kike na ikatokea shanga,zikakatika,hijabu ikadondoka na saa ikapotea,kitendo hicho ni; (a)shambulio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jf imekaaje hyo. Source-TBC HABARI
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom