Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wajameni, ni lini Tanzania tutakuwa na umeme wa nuclear, kwasababu tunazo resources zake yaani uranium ya kumwaga huko Ruvuma na Mtwara, mbona tungepata umeme mwingi sana tuwauzie hata hawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nilikuwa sombetini wazee wa arusha sasa wamegundua kuwa chadema ni chama cha udikteta,vijana na baadhi ya kina mama ambao bado wanawaunga mkono madiwani waliotimuliwa wameapa kuwafata katika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimepita kwenye blog ya Mkuu Kennedy Kimaro nikaona hili gazeti sidhani kama ni dhambi kuweka hapa jamvini.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani mvua hizi, mbona za kushangaza? Au ni kwa ajili ya kujaza maji Mtera kama na huko zanyesha? Au za kutufanya tuumwe tu tushindwe kutafuta ridhiki? Mvua gani za Agosti? Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani wakulaumiwa kuwa wahindi wanaimaliza nchi na wazalendo kukosa kitu?? Sisi ngozi nyeusi ndo tunajimaliza wenyewe, Mhindi anaongoza kwa kutoa cha juu. Tubadili tabia sote watz hasa ngozi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
8 Agosti 2011 11:28 ? BBC Panorama imegundua kwamba, kambi ya mateso inayosimamiwa na majeshi ya usalama ya Zimbabwe inafanya shughuli zake katika eneo lenye utajiri wa almasi, Marange...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wote walio ambao wanasapoti nato kuipiga libya ndio...uhaba wa mafuta.libya ni nchi ya nchi ya nne arica kwa uzalishaji wa mafuta, inagawaje mafuta ya libya yalikuwa hayaji Tanzania lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Neno JWTZ kama hujawahi liona, ukiliona kwa mara ya kwanza hakika utajisifu na kujitukuza utanzania wako! Laki tafsiri yake kivitendo imekuwa ni ya kutisha kama si kuhatarisha amani ya nchi hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwani mmerogwa,,tuchukue hatua...!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua uliomweengu wa...
12 Reactions
76 Replies
11K Views
Nimejifunza kitu kimoja: Kila uamuzi una matokeo yake, maamuzi hasi huzalisha tokeo hasi na maamuzi chanya huzalisha tokeo chanya. Baba wa Taifa alilizungumzia suala la Azimio la Arusha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
When I look by at my life, sitasahau enzi za Mwinyi (naongelea hali ya maisha ya watu binafsi, furaha, amani na upendo – life standard & peace of mind). Nilikuwa niko sekondari, sina bili sina...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao kutwa wanazungumzia daresaalam yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Maajabu ya manyanyaso ya wawekezaji yazidi kushika kas baada ya walinzi wa mgodi wa Geita gold mining kuwapiga na kuwaba wananchi wanaoishi jirani na mgodi huo! Chanzo ITV
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kwanza nitoe ufafanuzi wa neno "Dola ya Kiusalama", ambalo ni tafsiri yangu isiyo rasmi ya security state.Kwa kifupi,dola ya kiusalama inaruhusu bughudha na unyanyasaji kwa wananchi wasio na hatia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Last week it was 'crazy' at the national parks under TANAPA administration! Hundreds of tourists delayedTanapa's latest: insanity or a case of tourism murder-suicide Image via...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakili maarufu anadaiwa kuponza na ushauri Send to a friend Sunday, 07 August 2011 21:46 Mwandishi Wetu IMEBAINIKA kukamatwa kwa wakili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello jf!!hvi msimu huu kule kwenye ligi kuu ya england kuna timu inayoweza ku2simamisha ce Man U?
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Shamsi Atetea Maslahi Ya Zanzibar Au Bara? Written by Mrfroasty (Ufundi) // 06/08/2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zaidi ya wanajeshi 30 wanasadikiwa kuuwawa baada ya helcopter waliokuwa wakisafifia kutunguliwa na wanamgambo wa TALIBAN,kwa hakika ni habar mbaya kwa wana NATO,inasadikia wanajesh wa kimarekan...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom