Najua uko busy lakini sitoacha kukuhimiza wewe mwenye nafasi kwenda kanisani
siku ya kesho kumshukuru mungu kwa ukarimu wake wote aliokupa mpaka leo
ukiwa unahema na auko icu..je mimi na wewe ni...
Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 August, 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja
Source: Star Tv
" KIKWETE KIGEUGEU"
Mwandishi Saed Kubenea
Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka...
Halmashauri ya jiji la Dsm imekithiri kwa Ufisadi kiasi ambacho wamemmilikisha Yusufu Manji Ufukwe wa Coco Beach kuanzia Police mess mpaka karibu na American Club. Document iliyopo ya mkata feki...
Wanajf najua nchi yetu kwa sehemu kubwa bado inapata machungu ya mgao wa umeme kutoka gridi ya taifa, hapa kigoma generator mpya zilizozinduliwa kwa mbwembwe na Raisi Kikwete mwezi wa tano 2010...
Kwa yanayoendelea kujiri nchini kwa sasa hakuna ubishi kuwa nina serikali legelege,,,,,yapo mengi sana yanayonifanya niamin hivyo,lakin mojawapo ni hili la MKURUGENZI WA KAMPUN YA ENGEN aliyeipa...
By KEVIN KELLEY
Posted Sunday, August 7 2011 at 12:09
A newly published State Department history volume includes a record of a 1976 meeting at which then Tanzanian leader Julius Nyerere and US...
Mazoea hujenga tabia,imekuwa kawaida kwa haya mashirika yetu leo nizungumzie haya ya NSSF na PPF,nianze kwa kuhoji kazi yao ni nini?,maana unakuta mfanyakazi unakatwa pesa zako kila mwisho wa...
hadi dk.45 kipindi cha kwanza man city wanaongoza kwa 2-0! Dhidi ya man utd! Magoli yote ni uzembe wa kipa,na mimi toka wakati anasajiliwa nilitia shaka sana.wapenzi wenzangu wa man utd kazi...
baada ya kufichua uozo wa UDA,Meya wa jiji dar masaburi ameomba apewe muda kidogo ili afichue zaidi ufisadi mwingine ktk mashirika ya jiji kama DDC,KIBUKU etc!source ch10
MANUNG'UNIKO YA SARAKIKYA: TAIFA LISILO NA SHUKRANI[/h]
Na Lula Wa Ndali Mwana Nzela
MWEZI mmoja uliopita, mkuu wa kwanza wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tunavyolijua sasa...
Ridhwani Kikwete anbaye ni motto wa rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya kusherekea kwaya ya Mbiu ya Kanisa la Wasabato Usharika wa Tandala, Manzese...
Sababu kubwa inayosemekana kupelekea mgomo huo ni kitendo cha serikali kumtimua meneja wa uwanja huo kwa tuhuma za kuvujisha siri kwa baadhi ya wabunge!
Leo hakuna ndege itakayotua wala kuanza...
Askari wa jeshi la wananchi JWTZ wilayani Ngara wanadaiwa kuwanyanyasa wananchi wa wilaya hiyo. Inadaiwa wanajeshi hao wamekuwa wakiwanyanyasa wananchi hao kwa kigezo cha kuwaita wanyarwanda...
Maelfu ya watu nchini Israel wameandamana kupinga ughali wa maisha nchini humo. Imekadiriwa kuwa kati ya watu 250,000 hadi 350,000 walikusanyika katika maandamano makubwa kabisa kufanywa mjini Tel...
Limekua ni jambo la kawaida kuona vyombo vya habari vikiongezeka nchini. Hii ni kutokana na kupanuka kwa sekta ya uwekezaji kwa wawezekaji wazawa au wa kigeni. Chombo cha habari ninachotilia mkazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.