Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
ndugu zangu wana JF, nilitoka DAR ES SALAAM wiki mbili zilizopita na nikajaza petrol pale kituo cha mafuta cha RUVU sikumbuki jina lake lakini kiko mkono wa kushoto kama unakwenda CHALINZE...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
CDM cc has relieved 5 councillors party membership. It is very sad decision. At times organisations are forced to act, rightly or wrongly.
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Jamani wanaJF wenzangu mi ni mmoja wa wadau wa mtandao wa tigo ambaye nakerwa na utaratibu wa kampuni hii ya mawasiliano kunikata Tsh 30 kila siku kwa mlio unaosikika wakati mtu anakupigia simu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwendawazimu akimbiza watu Benki Friday, August 05, 2011 12:26 PM WAFANYAKAZI wakiwemo wateja waliofika jana Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe walijikuta wakikimbia huku wengine wakianguka kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The infamous Popobawa has struck again causing panic in the Zanzibar islands off the coast of Tanzania in Africa. The "creature", described as a cyclops dwarf with bat-like wings and ears, and...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani nimeckia kuwa NBC imeuzwa kwa barclays na hivyo wanampango wa kupunguza wafanya kazi. Naomba mwenye taarifa juu ya hlo anijuze jamani plz. Tanaguliza shukrani zangu.
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Nimeona mahali pengi watu wakiitumia neno hili pindi mpendwa wao akifariki dunia. Wakristo wa madhehebu ya kikatoliki pamoja na waislam hutumia zaidi neno hili. Kufupisha wingi wa maneno tumeamua...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Act on illegal foreign workers, MPs tell govt By Lydia Shekighenda 6th August 2011 Members of Parliament yesterday pressed the government to take action against foreigners who get employed...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Mkuu wa kituo cha polis tunduma mh wendo na mwenyekiti wa mtaa mwaka kati mh A.cheyo wametapeliwa na mtuasie julikana Mkuu wa kituo mh wendo alipigiwa sim na tapel akaigiza sauti ya mkuu wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wakazi wa dar es salaam leo ni siku ya kujitolea kufanya usafi katika maeneo yanayokuzunguka.usikose.tunataka jiji letu liwe safi.mia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Leo nimeikumbuka sana TRC, nimeikumbuka baada ya kusoma habari kutoka kwa wenzetu wa South Africa wamezindua Treni iendayo kwa kasi toka Johannesburg hadi Pretoria. Nikafikiria sana kuona...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Gasper Andrew ,Singida MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohamed Gullam Dewji, ameahidi kutumia zaidi ya Sh50 milioni kugharamia uwekaji wa mtandao wa intaneti (Internet) kwa shule zote 17 za...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Ama kweli sasa ndo utajua kama tumeshauzwa na kuwa serikali yetu inamilikiwa na watu ambao inawaita 'wawekezaji'. Jamaa hawa wamefikia hatua hata ya kuitusi na kuitishia hadharani Serikali kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TAFRANI imetokea katika Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe,baada ya kijana mmoja aliyehisiwa kuwa jambazi kurusha mawe kwenye vioo vya benki hiyo na kusababisha wateja kukimbia ovyo wakidhani...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
*7 JULY 2011: UGANDAN CONSTITUTIONAL COURT TO BEGIN HEARING ON GROUNDBREAKING CASE THAT CHALLENGES STATE FAILURE TO PROTECT MATERNAL HEALTH IN UGANDA *On the 27th of May 2011 the Centre for...
2 Reactions
3 Replies
895 Views
Wakati tukihangaika na shida ya mafuta jumuiya ya wauza kitimoto nayo yatarajia kugoma kuuza kitimoto kisa kukosa wateja..wakizungumza kwa masikitiko wamesema tangu aug1 wamekuwa kwenye hasara na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama hiki kinacho aminika kuwa ndicho chama kikongwe barani Afrika,kilicho acha sera za waasisi wake na kuwa chama Mufilisi huku kikijikita ktk mauaji ya wazalendo ndicho kimekuwa kikwazo kikuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huwa najiuliza nashindwa kuelewa confidence waliyonayo baadhi ya hawa raia wa India hata kufanya vitendo vya kibaguzi waziwazi bila hofu ya kuwapo ugenini. Leo nimeingia duka moja la vitambaa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana Jf, jaman hii imekaeje?, mwenye inputs alete hapa. Tuelewe nin serikali yetu tukutu imefanya kuhusu hawa rafiki zetu. NAWASILISHA!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali halisi inasikitisha viongozi wote CCM ni wezi,hakuna atakaye baki mungu tusaidie tuiondoe madarakani,EPA,UDA,RELI,ATC,MEREMETA.Hakika kila scandal ya nchi hii inahusisha viongozi wa serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom