Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tanzanian Cyber Crime Specialists Attend U.S.-sponsored Workshop in Nairobi Four cyber crime specialists from Tanzania are participating in a "Cybercrime Legislation and Capacity Building...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Survey: 59pc of Tanzanians believe in Mwasapila ‘cure’ Send to a friend Thursday, 04 August 2011 00:17 digg By Polycarp Machira The Citizen Reporter Dar es Salaam. More than half of...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni, kipindi cha mwezi au miezi miwili iliyopita kulikuwa na mjadala uliopamba moto kwenye vyombo vya habari, wanasiasa na hata humu JF kuhusu malipo ya dowans na gafla...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
huu,msemo leo jana ndio nimeona una ukweli! Ktk eneo la mbagala kuna dispensali moja kulikuwa na kijana mmoja anajifanya ni dr tena ana malingo kweli,ukimkuta kazini utadhani dr bingwa!na watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga. Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie...
10 Reactions
135 Replies
12K Views
jamani naomba kufahamu halmashauri zingine vipi huko au ndio serikali imefulia mbaya.kama serikali haina pesa kwa nn inaajiri?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hakika kila tukio ktk maisha ya binadamu lina sababu zake, zaweza kuwa njema au mbaya lakini mbele za mungu yote ni mema kabisa! Mungu amenisaidia nimerudi tena hewa kwa daraja la juu zaidi! Yani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau salaam! Nimepata ufadhili wa kujenga ukumbi wa kisasa wa mikutano (conference facility) wenye uwezo wa kuingiza wato 300-600.natakiwa nipeleke michoro na ghrama za ujenzi.nimejaribu kuomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi alosema akina Mattaka wameua ATCL ni nani? Utauaje kitu kilichouliwa na SAA?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naomba mnifahamishe mtandao wa simu wenye kasi ya 3G ktk maeneo ya Mbagala. Huwa natumia sana simu yangu kuperuzi Internet, na hasa kwa kupitia mtandao wa Tigo ambao siwezi pata kasi ya 3G...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania ni maajabu sana ukiona Nchi kama Tanzania yenye uhuru miaka 50 iliyopita haina Ndege,Meli,Mabasi,Malori,Taxi,Hospitali,Shule,Bajaj,Boda boda Mgahawa hata Pharmacy ya serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchezo huu umenifanya nitafakari mara mbili, CCM wameagiza serikali itafute njia kushusha bei ya Mafuta hasa ya taa, SIKU moja BAADA ya agizo hilo EWURA WAMETANGAZA KUSHUSHA BEI. HUU MCHEZO...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
juzi nilikuwa naenda mwanza na precision kwa bahati tukatua musoma kabla ya kufika mwanza, nilishangazwa na hali ya uwanja lakini cha kustaajabisha zaidi ni pale nilipoona ndani ya uwanja hamna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mjuavyo wanaJF, Nane Nane mwaka inafanyika Dom kitaifa. Hata mwaka jana na mwaka juzi ilifanyika hapahapa. Nia ya maonyesho haya ni kujaribu kukuza kilimo kwa wakulima kuonyesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekuwepo ndoto mbalimbali juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali, lakini usiku wa kuamukia asubuhi hii nimeota ndoto ambayo ni tofauti na ndoto za baadhi ya watu waliowahi kuota...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Petroli bei chini Na Sharon Sauwa 3rd August 2011B-pepeChapaMaoni Yapungua kwa Shilingi 201.37 kuanzia leo Tozo za Ewura, TRA, Tiper Sumatra zakatwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa alie sikia vituko vya Mkulo na Ewura jamani bei za mafuta zimeshuka mpaka ngapi maana wengine tunafikiria kufufa magari yaliolala kama si kununua betri upya nasema ni vitukpo maana huyu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA Mkurugenzi wa halmashauri anawatangazia wakazi wote wa manispaa na umma kwa ujumla kuwa:- 1).Ni kosa kuingiza gari zaidi ya tani 3.5 katikati ya jiji bila kibali...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Back
Top Bottom