Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
*Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) amewataka wananchi kuwa wavumilivu wakisubiri serikali ipatie ufumbuzi suala la mgawo wa umeme unaondelea nchini ambao Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa,kaka yangu nnape kwanza nakupa hongera na ujasiri uliokuwa nao na ambao mpaka leo hii waendelea kuwa nao hakika kama mungu amependa kuibadilisha ccm basi itaanzia mikononi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau tujadili hii habari “Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa kweli silizishwi na utendaji wa baadhi ya wabunge kutoka kusini,nasema hivyo kwa kusini mh.baruan (cuf) alfani kutoka lindi mjini ndio akisimama unaona ajenga hoja wengne duuuuuu,kama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Sisi kama binadamu tunajipenda na hakuna awezaye kulizuia jambo hili. Lakini kujipenda kwa ziada kunaweza kuzuilika kama mtu ataamua. Kujipenda kwa ziada ndiko ambako kunapelekea dunia kuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika sakata la madai ya walimu,na serikali sijui kweli litakuja kupata ufumbuzi!kwani kila mwaka nasikia leteni nyaraka za madai yenu,inapofikia kipindi cha chama cha walimu(cwt)kuanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani kwa wanaolifwatilia bunge jana aggrey mwandi alikuwa waziri wa tatu kulidanganya bunge alianza na mkulo akafwata ngeleja alipohojiwa kuhusu kusambaza umeme na tena wanaowashutumu ni wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijiji cha Kaseke juu jimbo la Kigoma Kusini kimelindima kwa shangwe baada ya mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya CCM Naftari Bitonze kubwagwa chini na ABEL KENGANA wa CHADEMA kwenye kesi ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara kwa mara wabunge toka CCM wamekuwa wakilala bungeni. Sijawahi kushuhudia mbunge wa upinzani kalala kikaoni. Kama kuna mtu aliwahi kumwona mbunge hata mmoja toka upinzani aliyelala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo imezindiliwa treni iendayo kasi,ambayo kwa leo ni safari ya pili,maana walisazindua safari ya kwanza,treni ya leo inafanya safari kati ya johanesburg na pretoria,treni hii ina uwezo wa kubeba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waandishi waliotelekezwa ni Benjamini Rwegasira(TBC) na Raymond Owaman(Star TV) Watch this video-http://www.youtube.com/watch?v=jpgurweBNyM&feature=channel_video_title
1 Reactions
6 Replies
3K Views
chama cha mapinduzi a.k.a chama cha MAGAMBA..wanatarajia kufungua Tv yao..itakayo kwenda kwa jina la UHURU TV watu walioteuliwa kusimamia na mpk kukamilika kwa Tv hiyo ni 1.Abdalahman Kinana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
cc ya ccm yaitaka serikali kupunguza bei ya mafuta!ina maana serikali iliyopo madarakani inafuata ilani sera za chama gani?bajeti ya mkulo inafuata sera ilani ya chama gani?naona huku ni mwisho wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii ni kwa wale wenzangu wanaoendelea kusoma jamani nimekumbuka leo 99..nikiwa pugu boy aka pond boy<br /> nilipoanza nikawa na allerge ya ugali hivyo ikabdi nijipikie sana kwa muda ..sasa kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF tafadhali naombeni msaada wenu, Hii kauli mbiu ya Serikali juu ya kilimo kwamba eti tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele mimi inanitatiza sana maana sijui tuethubutu lipi, tumeweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A woman repeated gossips about a neighbor. Within a few days the whole community knew the story. The person it concerned was deeply hurt and offended. Later the woman responsible for spreading the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ameahidi kupeleka mbuzi kutoka katika shamba lake kwenda kushindana kitaifa kwenye maonyesho ya nane nane. Hiyo ni sehemu ya hotuba ya nane nane leo Dodoma My take; Kama Rais haoni matatizo kama...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
...utasikia huyu jamaa mchoyo! Au huyu jamaa bahili...je m2 anaweza kuwa mchoyo na asiwe bahili? Au awe bahili na asiwe mchoyo? "Bahili anasifa zipi? Na mchoyo je? Wanajamvi, naombeni mnipe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni imani yangu kuwa mtaniunga mkono kwa hoja zangu kuwa Dar ni eneo hatarishi kuliko maeneo yote nchini TZ. Ni eneo la hatari sana kwa sote kwa maana kwamba wale wenye nazo na kina sisi...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Shirika la kusambaza umeme hapa nchini Tanesco limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na kina kidogo cha maji ya bwawa la mtera baada ya kutoa mkakati mpya kabisa wa kuagiza mitambo ya kisasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom