Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Unajua hivi sasa akuna haja ya kupeana mahbiri ya kuuana tukiwa dunian ama mahubiri ya kusubiri sadaka za watu jamani nimeona makanisa mengi wanapeana imani ukifa unaweza kutubu utubu wapi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
'Maiti' ameamka Afrika Kusini Jeneza...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kana kwamba mishaharaa aitoshi sasa polisi wameamua kuendelea kutia aibu jamani..natoka kwa ofisi napita huku chini baharini wamewakamata wanada wawili na mwanaume mmoja wamejikalia wanapata hewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kampuni ya tigo nahisi kuna deni wanalodaiwa sasa wameamua kulilipa kwa kuwapora wateja. Kwa mara ya tatu leo nimeweka pesa kwenyi line yangu ya tigo na kesho yake kukuta imekombwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Idara nyeti ya usalama wa usafiri wa anga imetia aibu kubwa baada ya kukosa umeme katika jengo lao jipya baada ya kupata hitilafu ya umeme kwa siku nne mfurulizo, tangu ijumaa huku Generator zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pengine kuna maneno amesema kibonde ukiyasikia utaishi maisha mazuri kwanza amekupongeza pili akauliza naamini wazo la kumpongeza mtarajiwa bday yake leo tatu akasema anaamini wazo la kutangaza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman wa tz wenzangu,bachelor ya sheria imekua si kitu bila law school,mtanzania halisi amesoma shule za kata ,chuo kapata mkopo lakini law school hakuna mkopo hivyo degree yake ya sheria inakua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zanguni jana nimeibiwa wallet ndani mlikuwamo kadi za bank na kitambulisho cha kura ,nifanyeje kupata kingine!? Manake ndo id pekee nlonayo
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Kumezuka dhana ya watu wenye elimu ya kawaida wakifanya mambo makubwa wanabezwa na kuitwa hawana shule nauliza nani anastahili kuitwa msomi, kwenye hii nchi !usomi ni elimu ya university tu??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa zilizothibitishwa: Kesi imefunguliwa katika mahakama kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam dhidi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Muhimbili (MUHAS) ni baada ya kukifuta chama cha wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasikitisha, inashangaza, inahuzunisha na kutia huruma katika nchi ambayo inadaiwa kuwa ni ya kidemokrasia kama Tanzania kufanya mambo ya aibu chini ya uongozi wa CCM bila ya kiongozi wa taifa la...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hivi jamani kupewa urithi wa mzazi au ndugu yako ni suala la lazima au hiari?
0 Reactions
2 Replies
815 Views
The protest leaders say they will stay the course if the president does not meet the August 16 ultimatum The main organisers of anti-government protests in Malawi have announced an ultimatum...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani nimepita posta mpya yaani kunanuka sana, yaani kinye........i kwa kwenda mbele, yaani ni zaidi ya kule kwa tumbo au mtogole,,ebu wadau piteni hapo posta mpya karibu na hiyo sheli yaani ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH! ALLLAH S.W anasema katika kitabu chake kitukufu ya kwamba " kumbushaneni, hakika ya ukumbusho utamfaa mwenye kuamini." Wengi wetu tunasahau miongoni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Leo n uzundiz wa sikukuu ya wakulima nane nane na nimemsikia wazir wa kilimo Pr. Magembe akidai kuwa pamoja na kushuka kwa bei ya tumbak kwenye soko la dunia lakn kushuka kwa thaman ya Sh n kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nichukue fursa hii kwa dhati ya Moyo wangu kuwatakia waumini wote wa dini ya Kiislam mnashiriki jamvini kudumisha wingi wa ibada na kujikurubisha kwa Muumba ili kupata radhi zake. Hakuna tofauti...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Wana JF, Baadhi ya nchi zimetangaza kuwa leo Jumatatu ni tarehe Mosi ramadhani. Je Afrika Mashariki nakusudia Tanzania, Kenya Uganda na Zanzibar kuna mwenye taarifa za kutangazwa mwezi kuandamana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, napenda kujua kama ni kweli NGOs zinazotoka bara la Ulaya kama Netherland, Uswiss,UK ni bora sana kwa kuwajali wafanyakazi wake kimaslahi kuliko NGos kutoka Marekani ambazo zingi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Laiti mambo yote yangefuatwa kama inavyotakiwa nadhani makampuni mengi yangekuwa ni mfano wa kuigwa. Lakini nia njema ya kuingiza good corporate goverance kwenye haya makampuni pamoja na taasisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom