Kumekuwa na mjadala juu ya nyongeza kiduchu wanazopewa wafanyakazi pamoja na ugumu wa maisha. Waziri Ghasia (Utumishi wa umma) amekaririwa na vyombo vya habari akisema maamuzi ya nyongeza...
Who is the owner of parliament is wananchi, CCM or CHADEMA maana kila nikifatilia bunge nackia hoo serikali ya CCM imefanya hivi imefanya vile even if wakiulizwa mambo ya msingi wanadefend chama...
Mawazo yangu nilikuwa nafikiri maandamano ni mpaka yapangwe na kutangazwa siku ndio yafanyike, kumbe sivyo.
Jana wanafunzi wa shule mbili za msingi wilayani Temeka waliandamana , wakitaka...
Ni mwanachama wa jamvi pendwa la JF. Kuna mada ambayo ungependa uiweke jukwaani ili wana fikra pevu waweze kuichambua na kuchangia. Lakini kwa bahati mbaya, watu wengi wanaipitia na hawachangii...
Kuna kazi nasikia bi faraja anamwasga wimbo wake niko hoi naona nae yeye kaifwata cd yake sasa unaenda show unamkuta jd
unatarajia itakuwaje jamani hiyo show si bora uemde njenje pale...
Live S3 now.<br />
Nafasi ya Tanzania kombe la Dunia
Mechi ya Kwanza Tanzania atakipiga na Chad,tukipenya.Baada ya hapo ndo kunashughuli nzito tutaingia kwenye Group...
Ndugai anayejiita msomi na mzoefu aka mr misifa amedhihirisha hilo leo ktk mdahalo wa star tv!
Kwakweli inasikitisha sana kwa bunge lililokuwa na heshima afrika sasa limekuwa kama kitengo cha...
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao anasauti kuliko mumewe,na wanandugu wakaligundua hasa upande wa mume huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara karogwa au limbwata.<br...
Katibu wa Bunge amesema kuwa tayar wameshambain mbunge aliyegushi sain ya pinda,na waziri mkuu ndiye atakayepewa jina lake,wamesema hawatamchukulia hatua zozote ila Pinda ndo...
Nipo kwenye tamasha la miaka 50 ya uhuru lililoandaliwa na TBL chini ya udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager. Wapo Twanga Pepeta na wasanii mbalimbali wa music hapa Moshi wanatoa burudani. Pia...
In three words I can sum up everything that I learned about life, "It goes on." When the going gets tough, make yourself realize that no matter what your problem is, someone is and always will be...
Inasikitisha kuona mtu katumikia serikalini zaidi ya miaka 40 na amestaafu na anakula pension,ajabu sasa anateuliwa kuwa mkuu wamkoa! Wakati kastaafu jeshini na cheo cha kanali au brigedia!je hiyo...
a Mbunge mmoja wa magamba amesema kunahaja ya wabunge kupimwa akili kubaini wenye matatizo katika shughuli zao za kilasiku bungeni na nje ya bunge.sasa swali la msingi hapa ni je hawa wabunge wa...
Jamani sjui niseme ni ubunifu au uharibifu!?<br />
Imeibuka mbinu mpya inayotumiwa na majangili kuwaua tembo, na hii mbinu inatumika sana katika pori la hifadhi ya selous...<br />
Yanachukuliwa...
The price is right: The 99p Stores chain has emerged as a recession winner
How did one man conquer the bargain-basement market? Mat Snow reports on a shopping sensation
Christmas came early...
Najiuliza sana haya maswali pasipo kupata majibu ya kueleweka, kifupi mpaka sasa sijapata jibu la mahusiano yaliyopo kati ya vijana na uhalifu, nin husababisha haya? Je nikweli vijana wengi...
Ndg zangu wana JF, binafsi nakubaliana na wabunge wa CDM wanaosema kuwa maandamano ni lazima ili haki ipatikane. KUSEMA UWELI Kila mahali ambapo maandamano na migomo imefanyika, mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.