Rais yuko kusini anaelekea nachingwea,msafara wake ni atleast gari 40 ivi. Mi natatizwa na suala hili. Kwani kuna ulazima wa kila mtu kuwa kwenye uo msafara! Kwa nini wengine msimsubiri kwenye...
Kila swali analoulizwa Naibu waziri wa Mambo ya ndani jibu lake ni Ufinyu wa Bajeti! Je, hii hali maana yake ni nini na hii hali itaendelea mpaka lini?
Paul Sarwatt
Arusha
27 Jul 2011
Toleo na 196
Waathiri ujenzi wa ofisi yake ya ubunge
Umepangwa kugharimu Sh. milioni 200
Wawili wasimamishwa kazi, wengine washushwa vyeo
TUHUMA za ufisadi...
Sisi wakazi wa Mivumoni, Madale na Wazo hili tulikuwa tunafurahia uzuri wa barabara zetu kuu zitokazo Wazohill kuelekea Mivumoni na Madale mpaka Mbezi, hizi ni barabara za vumbi lakini zilikuwa...
Kwa haya yanayoendelea bungeni kwa jinsi Spika Makinda na manaibu wake wanavyoliendesha bunge imedhihirisha ya kua hawana sifa za kumiliki nafasi hizo.Wachambuzi wa mambo walihoji na...
Assalamu alaykum yaa ikhwatu l,kiram.
Kwa waislam wote nawatakia mfungo mwema wa ramadhwani.
Hakika Allah atowafikishe tuweze kuudiriki mwezi huu kwa uslama na amani na kutuzidishia wingi wa...
Jamani huku kwetu mbagala tangu juzi umeme upo tena kwa muda mrefu sana. Hata ukikatika muda mfupi tu unarudi. Sasa sijaelewa mgao umepungua au? Kama umepungua how? Mana juzi tu songas...
Polisi Kilimanjaro walioshambulia raia waachishwa kazi 29/07/2011
0 Comments
Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari polisi wawili wa kituo cha Okaoni Kibosho Wilaya ya Moshi Vijijini...
Nasema wazi Anne Makinda hana la kujivunia na pengine hata wanahistoria hawana la kuandika juu ya mwanasiasa huyo ambaye ni dhahiri sasa nyota yake inazidi kufifia kila sekunde.
Yanayoendelea...
Cheki katika Nova Tzdream -
Katika hali isyo ya kawaida mbunge mmoja wa CCM anadaiwa kupiga magoti mbele ya watoto ili kumwombea msamaha diwani mmoja ambaye wananchi wanamtuhumu kujihusisha na...
Ukianzia kwenye mizengwe ya kuteua spika mpaka namna bunge linavyoongozwa katika Tanzania unatambua kuwa kama ni timu zinacheza mpira wa miguu basi timu ya ccm ina golikipa wawili. Licha ya kuwa...
Leo wakati wa mjadala wa kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani,kuna mbunge wa upinzani ameomba mwongozo kutoka kwa naibu spika,juu ya wabunge wa ccm,kuwaita wapinzani kuwa ni...
Nijambo la kuhuzunisha kama siyo kusikitisha,kwa kiongozi aliye aminiwa na wananchi kuwawakilisha katika serikali na kuwatetea,anageuka kuwa mwiba kwa walio mpeleka.
Mh. Mbunge mmoja wa moja ya...
Katika uchaguzi mkuu uliopita, nikiwa katika harakati za kumkampenia mgombea fulani wa urais ndipo nilikutana na kauli ifuatayo. "hata kama akichaguliwa huyo rais unayempenda, Tz haitaendelea...
"Polisi walinda maghala ya samaki wenye mionzi
Na Moshi Lusonzo
27th July 2011B-pepeChapaMaoni
Askari polisi wakilinda malori yaliyopakia samaki wanaohofiwa kuwa na mionzi ya nyuklia, yakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.