Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwanza kabisa naanza kwa kutoa shukrani ziwaendee mabenki yaliyotayari kuwakopesha wanyonge na kuwalaani wanaowatenga wanyonge kuwa hawana vigezo kuwa na mkopo. Serikali ndiyo iliyozalisha ukosefu...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
"When wealth is lost, nothing is lost, when health is lost, something is lost; when character is lost, all is lost."
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Jamani baadhi ya hawa Mawaziri wetu wanataka kutupeleka wapi na kauli zao Bungeni? Jana nilimsikia Naibu Waziri- Kilimo na Chakula akiliarifu Bunge juu ya hatua za Serikali kufuatia Sakata la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Itafanya maisha yako kuwa burudani... It is very relaxing aisee.... it wil makelife better and make everything you do more fun and change your life... has alot of medicinal uses.....madokta wana i...
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania, majina ya first round /1butch yako tayari ya wata-release on 4-August 2011! Na kuanzia tarehe 1 August 2011 wataanza kupitia majina ya second...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Laiti ningekuwa najua ni aina gani ya samaki walioingizwa nchini kuoka japani ningekuambia usiwale hao samaki kwa mwaka mzima. Na ninasababu za msingi za kukuambia hivyo. Serikali ya JK sio...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Bwana wetu Yesu asifiwe sana kwa miujiza anayoifanya. Ninawashukuru sana Strictly Gospel kwa maombi yenu hakika hakuna lisilo wezekana kwa Mungu!Nilituma maombi ilikuwa tarehe 11/5/ 2011 nikiwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
kweli hawa watangazaji wa kipindi cha jahazi,sijui ndio kutafuta vyeo?leo wameibuka na hoja eti tatizo la kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme,ni wakulima wanaolima kando...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Pengine kutokana na mgawo wa Umeme wengi wenu mtakuwa hamjazisikia hizi habari ya kutisha. Wameingizwa hapa nchini samaki kutoka Fukushima ambao wanadhaniwa kuwa na sumu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wazanzibar wamengangania serikali tatu je wabara mnasemaje? mbili tu mko gizani, tatu mtaziweza? ona ktk attachment hii chin mchango wa wazenji kweny ka JF kao ka mzalendo .net
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kila mwenye ana swali kuhusu dini au quran ya wa islam ani email allyntamu@yahoo.co.uk lakini pia na mimi niko na maswali mengi tu.
0 Reactions
1 Replies
962 Views
ndugu zanguni wanafunzi vyuo vikuu,nasikitishwa na vijana wajiingizao kwenye wizi wa pesa za wanafunzi.Ndugu yetu KANYORO JUMA AMBAE NI MWENYEKIT WA SENET TAHLISO NDIE ALICHARAZWA FIMBO NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nimepata ujumbe wa simu ufuatao toka kwa member mwenzetu Derimto, ambaye kimakazi anaishi Arusha, namnukuu: "Bro PJ, I have lost my only Brother that i have! He passed away Yesterday...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa waliopitia magazeti ya leo kichwa cha habari sio kigeni,kama hujabahatika unaweza kucheki na mojawapo wa magazeti ya leo (gazeti la tanzania). Nakumbuka Mh. Mbowe alipotangaza kurudisha gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza pambano la ngao ya hisani kati ya simba vs yanga litatumia 10% ya mapato kuchangia matibabu ya saratani ya matiti.mchango huu utawasilishwa kwa chama cha madktari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wakuweza kuona TBC kupitia cim yangu iphone 4 or android phone nasikia kunavituko vya bunge sina mda kukaa kwenye computer au kutembea na laptop kwa mda wote..naomba procedure...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza,imegundulika kuwa kuna wabunge wanawaandikia wabunge wenzao vijibarua feki.Miongoni mwa wahanga wa upupu huu ni mheshimiwa joseph selasini na leticia nyerere.Mheshimiwa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mimi huwa ni mpenzi sana wa kipindi cha mapitio ya magazeti Chennel Ten. Leo nimeshangwazwa sana hawakusoma kurasa za mbele sa gazeti la Tanzania Daima, na badala yake wakasoma kurasa za nyuma tu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akili akidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowe hivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tumia mbinu zote chini ya uwezo wako, Umpate ngedere mmoja akiwa hai, ukifanikiwa kumpata mnyoe kipala kichwani, kisha mpake rangi nyeupe na nyekundu! mshonee shati la kiroba mvike, mvishe na...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom