Ndugu zangu nimestuka sana baada ya kuona jana kwenye TV wakati mwakilishi wa New Habari alipokuwa anatoa salamu za rambirambi toka kwa Rostam Aziz.
Alipotamka kuwa mke wa marehemu Danny atalipwa...
Wamekaa kishamba sana kama kushabikia Kutolewa kwa mbunge Wenje ni tabia ya ulimbukeni ,Kwa yanayoendelea bungeni ,chadema kinawakilisha mahitaji ya wananchi kwa juhudi zote hata kama inawacost...
Chuo kikuu Cha Ardhi bado hawajatoa vyeti vya "GRADUATES" Wahitimu wa kuanzia mwaka 2007 na kuendelea.
Nimesikia kuna mgogoro kati yake na chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
Mimi ni mhanga mmoja...
Jamani nimeikuta hii topic humu link hii chini inasikitisha sana
Kuna mtu huko anajua shule ilipo awape print out labda watabadili mawazo au wenye sheria saidieni
This is sad...
Katika gazeti makini la Mwanahalisi toleo la leo 27/7/2011 kuna habari iliyo jaa ukura wa mbele inasomeka "JK amuangukia Rostam Azizi"
Mwandishi wa habari hii ni mpiganaji mahiri tz ndugu Said...
Wanafunz 8 ambao walikamatwa na Polis wakiwa wamelala kwenye nyumba ya kulala wagen ya Vatican huko mkoani dodoma inasemekana kuwa walikuwa ni wageni wa waziri wa Elim dr Kawambwa...
Nianze tu kusema nimebakiza 5% kusikiliza vipindi vya CloudsFm na hii ni kwenye PowerBreakfast tu na nasikiliza sehemu
ya Jicho la ng'ombe(), Bonge na habari za magazetini(PJ) na badae naizima au...
Katika kikao kilichokaa majuzi cha madiwani wa jiji la dar..waliongelea swala la kituo cha mabasi cha ubungo
katika hilo waliongelewa sheria ya kupandisha kodi kwa wanaoongia ndan ya uwanja huo...
Wakuu habari zenu?
Naomba kuuliza hivi huyu JAKSON MAKWETA bado ni mbunge? Sijamsikia muda sasa,nakumbuka aliomba kipindi cha kwanza cha JK amalizie,mwenye taarifa naomba anijuze.
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu...
Jamani hapa Arusha leo daladala zote zmegoma ili kushinikiza madai ya madereva na wamiliki kwa selikal hususan traffic. Yaani ni karaha juu ya udhiha hakuna daldala since saa 11 alfajili.
Jamani kwanza kwa heshima na tadhima naomba niwasalimu wana JF wote halafu mi ndo mgeni bado nina kamba mguuni,sasa jaman mi ni swali huwa limeniumiza kichwa mda kidogo.Hivi ni kweli zile mashine...
Mtoto agongwa na gari, atupwa ufukweni Dar
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 26th July 2011
Habari leo
POLISI jijini Dar es Salaam wanamtafuta dereva aliyemgonga mtoto, Ally Shabani (7)...
Habari zenu jamvin!
Kwa utafiti ulofanya na tume Man & Psychological behaviours ya everest university U.S wamepata 3major groups of man in psychological perspective! Nayo ni kama ifuatavyo...
Ndugu wana jamii, nimesukumwa kuwaandikia wenzangu katika forum yetu, kuwataarifu na hasa kumtaarifu Bw C. Misango ambaye ni mtunzi wa kitabu kiitwacho NDOA YANGU, NINGEJUA kwamba jana mchana...
Tanzania ya leo imevamiwa, wasomi wetu wamesahau role yao katika jamii, wameamua kufumbia macho matatizo ya jamii, wameamua kugoma kuwa wa kweli, wameamua kukaa kimya nakusahau kuwa wana kazi...
Nina mgeni toka Italy , amekaa siku 3 akishuhudia mgawo wa Ngeleja. Jana amezunguka kitaa. Kaanzia Kariakoo, Kisutu, Mwananyamala na akarudi Hotelini kwake. Kwa survey hii amenipa finding hii-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.