Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau wote kutoka Lindi na Mtwara anayeguswa na maendeleo ya watu wetu ningeomba tukutane jumapili tar 24th July 2011 saa 8 mchana pale Mlimani city. Naamini mna nia njema na mmejihamasisha vya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wabunge wa CDM ndani ya Bunge la JMT inayotolewa kila kukicha ama na Spika, wenyeviti na waendesha bunge ni kubwa mno na inakera wananchi wote. Tunategemea wabunge watetee wananchi na wapiga kura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
They are fairly represented in the government / parliament; I would even go as saying they are unproportionally favoured; Population of ZNZ is only 1m... Yet bungeni they are always whining about...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Katika kuumbua unafiki unaojijenga kuwa katika Muungano wazanzibari hawanufaiki, methibitika kuwa wao wenyewe wanajihujumu. Mwakilishi wa CCM,jimbo la Kwamtipura Ndg Hassan Juma, ameliambia Baraza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna tuliopata bahati ya kuyakumbuka tuliosimuliwa zamani. Ni mambo yenye elimu kubwa inayofaa maishani. Naam, palipata kutokea nchi kwenye bahari ya giza. Nchi hiyo ilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nikiwa Mwanza mtaani maeneo ya bandarini nimeiona gari ya polisi ikiwa imefika ikiwa na mwili wa marehemu tayari kwa usafiri wa meli wa saa nne usiku kwenda Bukoba.Kwa bahati nzuri kati ya askari...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mwenye kujua TV Chanel provider wa Kichina nadhani wanaitwa "Zing" wanapatikana wapi, wakala wao wako sehemu gani na bei zao za kuunganisha ni kiasi gani. Mnijuze mwenzenu.
0 Reactions
1 Replies
755 Views
  • Closed
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway...
1 Reactions
99 Replies
14K Views
30 days of free dinner!
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukweli itakuwa ni baada ya masaa machache kupita toka pale mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi kumtangaza rasmi DR Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mshindi katika mbio hizi ambazo zinashirikisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaJF wenzangu habari za jioni,natumai mu wazima woote.Mwenzenu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikisimuliwa na kusikia kwenye vyombo vya habari juu ya tiba inayotolewa na mch,mstaafu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiwaskia baadhi ya wabunge ambao hupenda kunukuu baadhi ya mistari ya kwenye maandiko matakatifu.Hasa katika vitabu vya Biblia na Qur'an,na wakat mwingine hupenda kuwataja baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanzia sasa abiria anayeshushwa sehemu isiyo na kituo rasmi atakamatwa na askari wa usalama barabarani na kuwajibishwa,adhabu haitakuwa kwa kondakta au dereva wa daladala(kifodi)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mbunge wa chadema hapa amesema waziwaz kuwa mrema na cheyo si wapinzani bali ni mawakala wa CCM,kaaz kwelikweli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna jambo linaendelea katika bunge letu ambalo wao wanaliita bunge tukufu. Leo hii wakati wa maswali kwa waziri mkuu naibu spika kamkemea Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa sasa kuna mgao wa mkubwa sana wa umeme Tanzania nzima lakini kinachonishangaza bili za umeme zinazidi kuongezeka kila mwezi, hii inakuwaje jamani??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA WANAOPITA NYUMA YA HILI JENGO KUKIMBIA FOLEN MTAONA KUNA CANTER MOJA LIMEJAZA MASAMAKI YAMEBANDIKWA KWENYE COVER YAKE AFCAST SIKUSOMA VIZURI LEBO YAKE ALAFU WAMEANDIKA MADE IN TANZANIA HUKU...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WAKAZI WA jiji la Dar es Salaam wameonyesha kukata tamaa kuhusiana na umeme wa uhakika na kufanya walilie nishati hiyo kutokana na uchumi na hali ya kifedha kuzidi kua ngumu siku hadi siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikifika wizara ya Ardhi ili kupata huduma mbalimbali. Kero kubwa ipo sehemu ya mapokezi ambapo amewekwa mtu mmoja ambaye hukuuliza jina na sehemu unayokwenda. Hilo ni suala...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
hawa tbc one siwaelewi kwa hili... wameongeza kipindi kingine cha lugha ya kiswahili sasa tofauti ya hivi vipindi viwili mimi siioni halafu vipindi vyote haviko interactive.... yaani huwezi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom