Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Uzoefu wangu kutokana na kufanya kazi sehemu mbali mbali umenionyesha kuwa watu "incompetent" ni hodari wa majungu na kujikomba. Na wakitokea kushika madaraka wewe unaejiamini kutokana na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, umeme haujakatika maeneo ya kwetu kuanzia jumatatu hadi leo. Siyo kawaida kwani tumekuwa na kawaida ya mgawo kila baada ya siku mbili. Wakati tunalijadili mitaani kwetu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama vile dar haiishiwi na vituko wiki iliyopita kulitokea msiba wa kijana mmoja anayetajwa kuwa ni mdogo wa mkurugenzi wa CLUb KAKALA pale Kigamoni! Kituko cha aina yake kilikuwa ni pale...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wagonjwa wa Ukimwi Wala Mavi ya Ng'ombe Swaziland Mfalme Mswati III wa Swaziland Friday, July 29, 2011...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa hali hii sielewi kodi yangu inakwenda wapi ndugu yangu majuzi alipata ajali tabora baada ya gari kupinduka la kazige kilochotokea baada ya kufika hospitali ya wilaya ya nzega kupata matibabu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wapi kibonde mzee wa vaii vaiiii embu malizien basi na nyie tupate wadhamani kidogo cloooooooooooudssssssssssssss fm the plp station
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kana kwamba nahisi uchafu unazidi kuiandama jjiji la dar habari zilizotufikia zinasema kampuni ilioshinda zabuni ya tenda ya kukusanya mapato ya stend ya ubungo inalipa jiji sh milion2.5 najiuliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chukua hata dk tatu tu kumshukuru mungu aliekuonyesha jumamosi ya leo tar 30 jul 11 jiulize umemhonga nini mungu usiwe icu umempa nini mungu usiwe mwaisela,kibasila bali ni neema ya mungu uko hai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukijua jambo jema unijuze ndugu yako...<br /> La kututia nguvu mwili sinifiche ndugu yako...<br /> Kama ni ilmu ya manufaa unifunze ndugu yako...<br /> Sinitenge kwa ulacho hata kidogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
"Allah Akbar!" cheered Egyptian Muslims while trampling the remains of dozens of Christians eviscerated in recent suicide bombing. Yet we're assured that the phrase has nothing to do with Islam...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi karibuni wa mheshimiwa mr ii amekaririwa akifananisha jeshi letu la polisi na lile la mkoloni hasa kwa makombati wanayovaa, na amesema walistahili kuvaa kwa mfano wa dactari, air hostess, nk;
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee nimejust witnes mwendesha pikipiki amepikwa risasi ya taya,sinza near meeda! Hadi now haijajulikana waliompiga ni mapolisi au watu gani coz wahusika wamerun away! Wazee hii tz ya jk vp...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wanajf wenzangu,mimi ni mmojawapo kati ya watanzania walio wengi ambao ninaamini kuwa hatuna ufahamu juu ya masuala ya hisa. Sasa jamani naombeni mnisaidie haya machache nisiyoyafahamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na huu wimbo mzuri sana: Naona wanasiasa wasiukose tafadhali fuatilia:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My Uncle Christopher is a good man, the kind of man you would struggle to find these days anywhere in the world. He has good heart. And I don’t just think that he has good heart: I know for a...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
baada ya wabunge wa3 wa cdm kutolewa nje baada ya kuongea bila kuruhusiwa nasubiri kwa hamu kuona kama hatua hii itachukuliwa endapo wabunge wa ccm watafanya kosa hilo.ni vyema swala hili la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa aliye na taarifa au uzoefu wa jinsi ya kuweza pata nyumba ya NHC dar es salaam maeneo yeyote yale naomba anijuze.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani kama una ndugu huko tfda najiuliza hivi hawa wa tfda wamezaliwa na binadamu ama nyoka jamani mbona hivyo?? Najiuliza mara mbili mbili kama mnakumbuka hawa wahuni walituingizia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi wote waliosoma Bwiru Boys Technical School Mwanza wanaombwa kujiunga na group letu la facebook kwa kubofya hapa: https://www.facebook.com/groups/bwiruboys/?ap=1 Nia yetu ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wandugu; Kwa kipindi sasa Tangu baada ya uchaguzi mengi yameonekana kwa macho; kubwa na ambalo mie nalitafsiri ni kuwa sasa kuna vita kali kati ya ukweli na uongo. Tumeona ufinyanzi wa matokeo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom