Lady's and Gentlemen,
It's universally known that most of the Hollywood movies are a product of not only some script writers thought but also the failed government plans and some new...
Nlikua naangakia aljazeera mara waka onyesha ile clip ya bush ambayo alirushiwa viatu toka kwa waandish wa habar. Kikicho nifurahisha ni jinsi jamaa alivyokua fasta kukwepa mpaka nikajiuliza au...
Kuna habari zisizo lasmi na zilizo sambaa mitaan hapa Mwanza ya-kwamba kamanda wa mkoa wa Mwanza amehamishwa.Kama kunamweye taharifa lasmi tunaomba atujulishe,kwani kama ni kweli hili litakuwa...
Kwa hali ninavyoiona tunahitaji kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza uwajibikaji.tujaribu kufanya kazi ya ubunge au uwakilishi wa wananchi iwe kazi ya kujitolea,hii itasaidia kutenganisha...
katika pita pita zangu mtandaoni nakutana a bendera za tanzania zikiwa zinatofautiana rangi..! huku nipo niliwahi kufika ofisi ya ubalozi wetu na kuchukuwa bendera niweke pambo kwenye meza yangu...
TBS amkeni Magari USED ya Japan nayo Balaa si Samaki wa TFDA pekee
Asubuhi ya leo nimefuatilia mahojiano kati ya Mkurugenzi wa TFDA Ramadhan Msuya na Idhaa ya Kiswahili ya BBC inayotangaza kutoka...
Kuna taarifa kwamba mgomo mkubwa wanukia IFM (nimepigwa simu na mupenzi wangu anaesoma Chuoni hapo).
kisa eti madai ya wanafunzi kutaka kufelishwa kwa makusudi. wanadai sasa wanfunzi baada ya...
Hatimaye jirani zetu wa Kenya nao watakumbwa na mgao wa umeme.Mgao wa Kenya unatokana na kampuni ya umeme ya kujipanga upya ili kuondokana na kampuni za kifisadi zilizopata tenda ya kuuza...
MWENYEKITI wa Bodi ya Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Rostam Aziz ameahidi kumlipa mjane wa mwanahabari marehemu Danny Mwakiteleko, Winfrida, mshahara aliokuwa akipokea mumewe kwa muda wa miaka...
WAFUATAO WANATAFUTIWA MAKOSA ILI WAFUKUZWE KAZI BODI YA KAHAWA.
Wafuatao wanatafutiwa au kuundiwa makosa ili wafukuzwe kazi na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania yenye makao yake makuu...
Naomba Kila aliwahi kutembelea au kusoma au mwanafunzi wa vyuo vikuu achangie alichokumbana nacho ili tuyapime na tuuangalie wasomi wetu wanaishi maisha gani:
i)UDSM.
Nilipotembelea Chuo kikuu...
Kwa mara ya kwanza natoa shutuma zangu, nazielekeza kwa Mamlaka ya udhibiti Usafiri wa majini na nchi kavu (SUMATRA), kusema kweli hawa jamaa wamelala sana na kazi kubwa wanayofanya ni kukimbizana...
Title yausika : source jungu kuu Tbc taifa! Anaitwa Benedict ngwenya Kahusika na ubadhirifu wa fedha (80million) kwenye kampuni (DAE LTD )aliyokuwa anafanya kazi Kama mhasibu! Pia ni katibu wa...
BAADHI ya wakulima wa zao la mpunga kata ya Kamsamba wilayani Mbozi wamekuwa na tabia ya kubadilishana zao hilo na pombe hali inayowafanya waendelee
kuishi katika maisha magumu kila msimu wa...
Leo asubuhi nimemsikia Mbunge wa Sumve CCM Ricahrd Ndasa akithibitisha kuwa hataunga mkono hoja ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika endapo serikali haitapiga marufuku matumizi ya mzani wa...
nani ana control biashara ya nyumba tanzania?? Ni kila mtu na uamuzi wake??
ni aibu tupu ukiangalia bei za nyumba za tanzania! Bei kubwa kuliko hata nyumba za ulaya! Bei kubwa hakuna barabara ya...
Kwa wale wote ambao jana walipata kuhoje Jf wanatumia Gmt ya wapi! Jibu ni kwamba wengi wenu hamkuset time wakati mnajiunga! Kuwasaidieni:
Adhere the following steps so as to get a righ time with...
Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi linauzwa. Lipo km 6 kama ukitokea makabe, Morogoro Road au km 8 kupitia mbezi mwisho. Lina faida zifuatazo:- banda unaloweza kufugia ng'ombe, bonde zuri unaloweza...
umeoa au umeolewa umeishi na mwenzio kwa miaka kazaa na mkajaaliwa watoto,cku moja uko namwenzako chumban ucku unamgundua kua co binadamu ni jini.je utchukua hatua gani?je Utaendelea na mahucano nae?
Rais umenisononesha kwenye BBC
Ama kweli kabla hujafa hujaumbika, rais wetu nilimsikia akijibu swali la mtangazaji BBC kuwa yeye hana uwezo wa kumwambia mungu anyeshe mvua ili tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.