Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
baada ya kuwa umeme wa ccm unasumbua wananchi wanaotumia huduma hii sasa hata mie kuna haja ya kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo hadi hii serikali ya kifisadi....................................magamba
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanaJF, hasa wakazi wa Dar es Salaam Mnazi Mmoja wameanza maonyesho ya WIZARA YA NISHATI NA MADINI katika kufanikisha maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru waTANGANYIKA! Haya, nimewawekea na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni baadhi ya matatizo ya aibu kabisa wabunge tumezoea kuwaona nayo! Mbunge mzima, mwakilishi wa wananchi, ulienda kutoa na kutetea hoja mjengoni unalala waziwazi!! Hapa wahusika mnawajua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Africa zinzokabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanoishi katika mazingira magumu . Utafiti ulliofanyika ulitambua makundi mbalimbali ya watoto hao ikiwa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Mwili wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la Rai na Mhariri Mtendaji Msaidizi wa New Habari Corporation Limited, Danny Mwakiteleko, aliyefariki dunia juzi alfajiri katika Taasisi ya Mifupa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
VATICAN CITY, July 18 (CNA/EWTN News) - The Vatican cemented a diplomatic relationship with Malaysia on Monday, as Christians within the majority Muslim country help push for governmental...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Unafanya kazi gani? Kweli unabeba maboxi? Ningependa kuona unaniambia kazi gani unafanya huko nje ya nchi.mfano kama wewe ni chef. Utaandika MIE CHEF Basi tu maaana wabeba maboxi bado...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Najaribu kutafakari Bunge letu na kukiri kwamba limechangamka sana lakini linaanza kukera kwa kelele ambazo mimi naona hazina maana sana. Angalieni usomaji wa kanuni kila dakika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhari naomba kujua gazeti hili DIRA ni la nani? Mhariri wake ni nani? Mlengo wake ktk siasa za tz ni upi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgao wa umeme unaolikumba taifa hili ni adui yetu sasa, hadha zimekua ni nyingi. Uchumi unarudi nyuma, maisha ya kifamilia nayo yanazidi kuwa ya gharama maana mafuta ya taaa ndio utoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu jamvini, imekuwa desturi na mazoea pale tunapopata taarifa ya kifo/vifo kuhuji nini basi kimepelekea kifo/vifo! Je lengo haswa ni kujua uzembe ama staili ya kifo ili nasi tujifunze siku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
katika mwendelezo wa kufuata sera za upinzani,jk kwa sasa amepunguza maofisa anaosafiri nao nje kufikia 34 kwa safari.hayo yalisemwa na waziri membe.source gazeti habarileo la leo
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kama kuna kitu kinachonikera ni hii tabia iliyoanza ya baadhi ya mitandao ya simu kutulazimisha kusikiliza matangazo yao. Yaani kwa upande wangu naona kama imekuwa ikiniongezea stress na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete keshokutwa (25/07/2011) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya kumbukumbu ya Mashujaa itaayofanyika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Timu ya taifa ya uruguay wametwaa taji la copa america 2011,kwa kuwafunga paraguay{wazee wa viatu} mabao 3-0,suarez [adui wa waafrica]wakati wa kombe ta dunia 2010 kule bondeni,ameifungia uruguay...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma kunapotokea tatizo la ukame tena ambalo halina madhara kama la hivi sasa viongozi wa kikristo na wasio wakrsto hukutana kwa nyakati tofauti kuombea mvua. Wengine husoma albadiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimekutana na hii issue mara mbili watu waki-debate. Nikaona si vibaya nikaleta kwa great thinkers tupate mawazo na mitizamo yenu. Medical marijuana: Kuna baadhi ya states huko U.S na MExico...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hali ninayoiona hapa mahakama kuu ni kwamba wafungwa wote wamegoma kushuka kwenye karandinga lile la police. Na wanacholenga ni kutaka haki yao isikilizwe. Na wanataka mwandishi wa habari aletwe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau kwa siku mbili zilizopitz nilikuwa katika mji wa Geita Mwanza habari zilizoenea ni kwamba mbunge wao Reonard Max amezuiwa kuhudhuria vikao vya bunge kutokana na kashfa ya kufumaniwa na mke...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau nimeishi mjini zaidi ya miaka 20 lakini barabara naiogopa, ajali naziogopa usipime sasa najiuliza hawa vijana wetu waliojiajili kwa kuendesha bajaji na bodaboda sheria za usalama barabarani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom