ukiacha yaliyomkuta bushoke kuna jamaa wa mbeya alikuwa na kibwagizo ...zomea tanesco watu woooooooo! Zile sauti ni balaa za kuzomea ila najua clouds hawana guts za kuiachia hewani ila in short...
Enzi ya Usichana wangu Tanzania ilkua NCHI NZURI sana hiyo ni kauri ya Mbunge kutoka Mwanza Mama Maria Hewa mwenye takribani miaka 60 na ushehe amesikika akiwaambia wabunge wa Jamhuri ya...
Wakuu,
Kuna mvua ya mikataba ya makampuni ya nje ya utalii in the name of promoting tourism.... it is a ticking time bomb if we are not careful; tunaliwa kidogokidogo
Hali imeanza kuwa ya...
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kumshukuru sana mama shelukindo kwa kutufungua macho juu ya yale yaliyofanyika wizara ya nishati na madini chini ya mwanna william, sina uhakika saana naka...
Tanzania kuangamia kiuchumi muda si mrefu.
Wana JF twambizane kwa nini kuna kitu kinaitwa EURA?
Kwanini kiwepo? na kisipokuwepo kuna hasara gain kwenye utandawazi wa sasa wa biashara?
TANESCO...
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani
Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
Pengine tunawahukumu bure serikali kuhusu folen za kila siku za kwenda mjini na sehemu nyingine
kuna mambo mengi kweli wanaitaji kufanya kuhusu miundo mbinu lakini kuna baadhi ya mambo tunaweza...
Nipo ndani ya ukumbi wa chuo cha ualimu mpwapwa, kuna kongamano la miaka 50 ya uhuru kwa wilaya ya mpwapwa. watoa mada ni ndugu Chiwanga ambaye ni askofu mstaafu kanisa la anglican hapa mpwapwa...
Katika kuonyesha kwamba shughuli nyingi za serikali zinaendeshwa kisiasa baraza la mitihani tanzania halijatoa matokeo ya mitihani ya ualimu iliyofanyika mwezi mei.Inaweza kuwa wanasubiri...
Hivi punde baada ya serikali kutangaza viwanja gezaulole - kigamboni na kulipa fidia wenyeji na wamiliki wa mashamba, sasa wahuni wamevamia na kukata miti kwa kasi ya ajabu manake wenyeji...
Kwa wenye vyombo vya usafiri wa jumuia...dala dala na malori kuna utapeli mpya umeibuka hasa Dar,wanawafuata ma dereva na kuwaomba no ya wamiliki,wanakutafuta na kukuomba kukutana wanakupa "deal"...
Mmh jamani kama si hizi kazi wengine ndio tunasoma magazeti mida hii naona kijana nnape
anazidi kuwaka na ari yake naamini mwisho atarudi chadema..kijana nimempenda alipowambia waandiishi aturudi...
Sikiliza ushauri wa Mh. Mallah (naibu meya FEKI wa sasa wa arusha-CHADEMA) alioutoa kwa Mh. Kivuyo (diwani pekee wa TLP Arusha) Mwezi January 2011 baada ya Kivuyo kugawiwa unaibu meya na madiwani...
Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa inatisha katika soka miaka ya nyuma na hivi karibuni, inakuwaje kwasasa Mbeya haina timu inayoshiriki Ligi kuu Tanzania? Ipo wapi kipenzi changu Tukuyu...
Yaani mpaka leo mna hotuba ya Mh Wazili Mgufuri ya Mwaka 2001/2002 kwenye website yenu badala ya hii latest ya juzi?
Ebu badilisheni wazalendo twaitaka iyo hotuba ili tufuatilie kandarasi za...
Wafuasi wengi wa Chadema kwa nje huwa wanajiweka karibu na falsafa za Mwalimu Nyerere. Ni mara nyingi tumekuwa tukiwasikia jinsi wanavyousifia utawala wake na falsafa zake ukilinganisha na marais...
Wana Jf naombeni ufafanuzi hii imekuwa inanichanganya sana, mimi nilikuwa naamini kwamba wenzetu Waislamu watakapoanza Mfungo itapelekea demand yaani mahitaji ya vyakula masokoni kupungua sana...
Habari wana jamvi,
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mingi mno kuhusu matatizo na kashfa zinazoikumba sekta ya nishati na madini, kipekee sekta ya umeme. Mambo mengi yamezungumzwa kuhusu sababu...
Nimekumbuka wakati tukiwa wadogo wanafunzi wa madarasa ya chini chini hivi tulipenda sana kutunga walimu majina.
Nakumbuka mwalimu wangu mmoja mkali kweli kwa hesabu tulimwita ALJEBRA sijuiiii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.