Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
UFISADI MALIASILI NOVEMBA 26, 2010, saa saba usiku, wakati idadi kubwa ya Watanzania wakiwa usingizini, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kulikuwa na pilikapilika kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamu matokeo ya michezo iliyochezwa jana katika vituo vyote vya mashindano.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKIMU, Karani akiwemo na Mhasibu wa Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya kushawishi kupokea rushwa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kweli nilichokiona leo,sikuamini!wengine wanalilia ulijali kumbe kuna watu hawana shida nao!leo maeneo ya magomeni,kuna teja[mtumiaji madawa ya kulevya}mmoja,sijui kama atapona! amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajukwaa,ni bora tupeane taarifaa hii, barabara ya morogoro inamsongamano mkubwa kiasi kwamba nimetumia masaa mawili kuendesha gari kati resort na kimara mwisho. Magari yameshonana vibaya sana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wajemeni kiukweli chumo nimeipenda sana waweza sema haijachezwa na watz yaani jinsi ilivyo mandhari, story,language,subtitle, yaani kila kitu mia 100% kama hata filamu zakibongo zingekuwa vile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Nova Kambota Ingawaje mimi sijawahi kusoma maswala unajimu wala utabiri naomba leo nitabiri mambo matatu kuhusu maisha ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Bw Edward Ngoyai...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana JF Hivi majuzi waziri wa fedha akisoma budget alitaarifu kuwa posho zitakazolipwa wafanyakazi wa serikali hazitakatwa kodi. Pamoja na ukweli kwamba hazijawahi kukatwa kodi je kuna sababu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WALIMU wa shule za msingi wa kata ya Olkokola, wilayani Arumeru, mkoani hapa wametishia kugoma kwa kitendo cha diwani wa kata hiyo, Joseph Laizer, kudaiwa kumkaba koo Mwalimu Mkuu wa Shule ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki moja baada ya raia wa Burundi kuwaua Watanzania sita wilayani Ngara mkoani Kagera,CCM kimesema viongozi wa serikali wameuza nchi kwa raia wa kigeni. Hiyo ni kauli ya Mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani sana waungwana. Nimewahi kununua kitabu kimoja kiitwachwo -NDOA YANGU, NINGEJUA ambacho kwa hakika mtunzi alinisaidia sana kujua kwa nini ndoa nyingi za siku hizi hazina amani. Kutokana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo katika kusikia mjadala wa budget, nilisikia msemo ulionifanya nitafakari, japo haukunistaajabisha:, "Nchi itajengwa na wenye moyo, na italiwa na wenye meno"!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kosa la uhujumu uchumi lililotokea Novemba 26, 2010 la Ndege ya Jeshi la Qatar kuingia nchini na kubeba shehena kubwa ya wanyama hi, ni wakati sasa wa mawaziri kujiuzuru kwa kuifedhehesha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BBC News - 'East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed''East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed' Fazul Abdullah Mohammed, suspected of having played a key role in the 1998 US...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Jamani kuweni makini siku hizi hasa mitaa ya Posta na Kariakoo kumeibuka mtindo wa aina yake ya uporaji kwa abiria kwenye Taxi. Kinachofanyika hasa mida ya jioni kuna Taxi huwa zinasanya abiria...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kumsikiliza slaa kwa utulivu last saturday pale tegeta road kwenye kongamano la chuo kikuu cha ardhi! Nasema kwa utulive bcoz tulikuwa watu wachache and wengi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, AFRIKA kuna mambo! Kuna picha niliyotundika jana bloguni; mjengwa.blogspot.com iliyozua mjadala mkubwa kuhusiana na matumizi ya Serikali na hususan matumizi ya viongozi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The rising tide of gold prices has lifted the market value of Tanzanian Royalty Exploration (TRE) to ridiculous levels. The stock has gained over 350% from a 2008 low of under $2 to a current...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS, HAPA NCHINI. JAKAYA KIKWETE ANACHEZEA NA AKILRI ZA WATANZANIA KWA KUENDELEA KUMULEA EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZI AMBAO...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JAMANI, hivi nyumba za national housing wanaostahili ni watanzania wachache tu au ni watanzania wote? KWANZA KABISA NI NYUMBA ZA WATANZANIA WOTE, lakini, mbona wakati wa kupanga, wapangaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom