Pamoja na Serikali kutangaza vita na madereva wazembe lakini ninahakika kuwa hiyo vita hawawezi kushinda maana vyombo vinavyosimamia usalama barabarani vinaudhaifu mkubwa katika suala zima la...
Sio kama namchukia napenda
niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na MUNGU
huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai...
Enzi za Mwalimu. J.K. Nyerere.
Kipindi cha baba wa taifa akiwa Rais, kila baada ya kikao cha baraza, alikuwa na tabia ya kumwambia waziri mmojawapo abaki. Waziri huyo aloambiwa alikuwa anakuwa na...
Did you just drop your cellphone in water? Or maybe you'd like to know what to do if that happens! This week on Upgrade Your Life, Yahoo! News' Becky Worley shows us first aid techniques for...
leo hii pamoja na wengi tulimbehua yule bwana ,kwa wakati ule alikuwa ndiye Mkurugenzi mkuu wa shirika la umeme Tanesco , alipotoa tahadhari , kwamba ni heri serikali...
Mkuu wa Wilaya Ayacharukia Madhehebu
Imeandikwa na Joachim Nyambo, Ileje.
MKUU wa Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya, Ester Wakali ametishia kuyafungia madhehebu yanayoshawishi waumini wake...
Habari za leo wadau, kuna hili swala la kulipa sh 200/ au kuonyesha tiketi wakati wa kutoka ndani ya stand. Wanapokuuliza tiketi wao wanadhani uliingilia wapi? Ni lazima uwe umekuja na bus toka...
Na Igamba Libonge, Kilombero
MKAZI wa kijiji cha Muhola, kata ya Ifakara, Idd Juma (34), aliyekuwa akitoa tiba ya asili kwa kutumia kikombe amerukwa akili. Juma aliyekuwa akitoa tiba ya magonjwa...
Anayetoa kikombe arukwa na akili
na Joseph Malembeka, Morogoro
MGANGA aliyeibuka hivi karibuni akitibu magonjwa sugu kwa kutoa kikombe cha dawa katika kijiji cha Muhola...
Dar es Salaam. Police yesterday released the names of two suspected Kenyan drug dealers who were arrested alongside two Tanzanian female counterpart with 5kilogrammes of drugs believed to be...
Kwanza huyo mtuhumiwa na wenzie hawakukamatwa na cocain kama anvyo sema , wao walikamatwa na heroin. Pili thamani ya heroin waliyokamatwa nayo ni billioni 2.8 ambayo ni sawa na kilo 18 (Kilomoja...
How did Tanzania overcome this disease? Ninasoma hapo wikipedia ati more than 120 ethnic groups and still no tribalism. Is it the Nyerere effect? Just a hypothesis.
Jamani leo kidogo yanikute,Nimekwenda kutoa pesa kwenye ATM,ya bank ya NMB maeneo ya chuo cha uhasibu[TIA] karibu na kambi ya jwtz,nilitaka kutoa 250,000,nikafanya kama inavyotakiwa,nikasubili...
Kwa kweli na kama kweli CHADEMA mmeamua kufanya kazi naomba huyu mbunge wetu wa Ukerewe aangaliwe au afundwe maana ndani ya muda mfupi amekuwa hajiheshimu kwa kulewa ovyo na kugombea wanawake baa...
Ninaamini kabisa wataalamu tunao wa kutosha katika baadhi ya website za taasisi kubwa hapa TZ ni lazima uwe zaidi ya mwehu ili uweze kukubaliana na unachokitazama mfano ni huu....
1.link Huyu naye...
Nimepokea kwa masikitiko sana taarifa ya bodi ya mikopo baada ya kutuma barua kwa mwajiri wangu juu ya marejesho ya pesa niliyokopwa wakati nasoma
ni jambo zuri kulipa lakini ugumu wa suala hili...
Kweli pombe si maji na unapoiendekeza basi inaweza kukuaibisha kama sio kukutoa roho kabisa, mwanaume huyu wa nchini Uingereza alikuwa miongoni mwa waalikwa katika sherehe ya kugawa tuzo kwenye...
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa jana wamekutana kwa ajili ya kuchunguza tuhuma mbali mbali zilizoelekezwa kwa kanisa hilo hasa...
Members
Napenda kutoa hoja kwamba kunahitajika kurekebisha jeshi la police liende na wakati. Ukitazama jinsi ambavyo jeshi la poice linavyofanya kazi hasa katika mambo yanayohusu haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.