Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
YouTube - ‪afumaniwa live na mume wa mtu,akutwa na hirizi tele‬‏ Wakuu ni kaazi kweli kweli
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Said Njuki, Arusha MGOGORO ndani ya CCM Mkoa wa Arusha umeshika kasi mpya baada ya Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati ya Siasa za chama hicho mkoa kudaiwa kumvua uanachama Mwenyekiti wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko hapa Mwanza , tangu asubuhi nasubiria nakala za gazeti la Raia Mwema lifike toka Dar. Jibu la wauza magazeti likawa gazeti hilo halijatoka leo. Nikapiga simu Dar kwa mdau wangu mmoja...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
YouTube - ‪MREMA ATOA USHUHDA‬‏
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiyo sauti imesikika ikisemwa na moja ya mafahari wagombanao. Jaribu uone! Thubutu ukione alichokiona mtema kuni! Huyo mwenye pembe ndefu akawaambia'' hakika nitakufukuzeni humu peponi maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la polisi la Tanzania pamoja na mbwembwe zote wanaishi kwenye mabanda kama bata mzinga, wanazidiwa hata na askari polisi wa somalia
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WanaJF Kuna mjadala unaondelea kuhusu proposed road ya serengeti mimi inanikanganya kidogo, maana naona sasa wanamazingira na wanawananyama kama kina Goodall wameingilia kati kumtaka raisi abadili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka 1970, Tanzania (Chini ya Nyerere) tuliwahi kupigana vita fupi sana na Malawi (Chini ya Banda) kutokana na mgogoro wa mpaka, halafu mwaka 1979 tena chini ya Nyerere huyo huyo tukapigana vita...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Look in the eyes of the Homeless, Tell me what u see in the eyes of a jobless man, tell me what u see What about the eyes of a Prisoner Now u have seen it all. It is time to make up your mind...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ndio ujumbe unaopata ukishamuweka yeyote yule kwenye ignore list yako kila unapokutana na ujumbe wake. This message is hidden because FaizaFoxy is on your ignore list.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Unajua tangu nlipokua mdogo nlikua nikisikia kuhusu madeni ya taifa eti budget haitoshi kwa kutegemea mapato ya ndani, mpaka leo hii bado, yaani bado hatuwezi kujitegemea. Hv sisi tuna nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza sababu ya kukaa kimya Viongozi wa dini serikali inapofanya uonevu kwa raia na kutotenda haki. Mmekuwa mkishindwa kukemea maovu mengi ya serikali. Sasa serikali imewageuka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari yenu wana jamii forums , Mie ni miongoni mwa watu ambao ni wenyeji wa mkoa wa Mwanza na ni mda mrefu kwa kweli sijaenda nyumbani. hivyo nime amua kutengeneza special group kwenye facebook...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwandishi wa Gazeti la kila wiki la Mwanahalisi Ndugu Joster Mwangulumbi ametishiwa kuuawa na mmiliki wa simu namba 0652916931 Siku ya jumamosi, june 4, 2011. Mara ya kwanza aligiwa simu kumueleza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipatwa na hali ya mshangao kwa raia wenzetu wa Tanzania hususan wale aidha wapo serikalini, ama wameshastaafu au ni watumishi wa umma (wabunge, madiwani...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nimeuuliza muuza magazeti kaniambia gazeti la Raia Mwema halikuchapishwa na halitatoka leo. Kweli? Mwenye habari za ndani atupakulie!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
WALIMU wastaafu waliofanya kazi kwa mikataba katika shule za sekondari kwenye Manispaa ya Singida wanaidai serikali sh. 45,759,336.80 zikiwa ni mishahara yao pamoja na makato holela waliyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umaskini wa kupindukia wa kipato (ufukara) unaowasumbua wananchi wengi vijijini na mijini hapa nchini,wanawake na wanaume, huenda usipatiwe ufumbuzi wa kudumu kwa kutumia ushindani wa sera za...
0 Reactions
3 Replies
20K Views
1.NAMNA YA KUKUZA NA KUENDELEZA BIASHARA Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 21:04 0diggsdigg Na Staphord Kwanama BIASHARA yoyote si majaribio, hakikisha umeibuni vizuri ili iwe endelevu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
" Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia; Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia" Mithali 24: 24-25
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom