Ni kwa muda mrefu sasa TBC kama chombo cha serikali cha habari kimeshindwa kabisa kutii kiu ya watazamaji wao na si kwakutokujua wanafanya nini ila kwa makusudi makubwa mnabana au hamtoi kabisa...
Nimeipenda kauli ya BMW kuwa viongozi wengi wanapenda sifa za kuonekana ktk runinga marakwamara!!
Anasema alisita kidogo baada ya kualikwa ktk jubilee hiyo ya kiongozi wa kiroho huko songea...
Kuna kitu nimejiuliza sikupata jibu hebu nisaide, hivi kama ndege iliyomsafirisha Mbowe kutoka Dar kuja Arusha ingepata hitilafu za kiufundi na kuanguka na Mbowe kufa (mikononi mwa Polisi) ni nini...
Jamani naomba msaada wa kupata Phone Numbers za Ofisi za USPS (United States Postal Service) - Dar-es-salaa. Kuna Parcel yangu wanayo, nataka waitume huku Interior!
MASJID HIJRA: ndiyo msikiti damu ilimomwagika Mtoni Mtongani Dar..kisa?
Majeruhi akiwa hoi kwenye benchi la wagonjwa hospitali ya Temeke
Mjahidina au ?
Mapigano makali baina ya waumini wa dini...
Ndugu zangu,
AFRIKA kuna mambo. Na Afrika ukikuta jogoo wawili wanagombana, basi, hapo hapakosi mashabiki. Na kila shabiki aliyesimama kutazama mpambano wa majogoo hao, ujue, kuwa ana jogoo...
jamani kuna rafiki yangu,kulingana na imani yake ya dini kumbe hali kiti moto(msabato),nimekwenda naye maeneo ya mwananyamala kupata moja baridi moja moto,nikaagiza kiti moto wa poli,kama kilo...
By MICHAEL S. SCHMIDT
BAGHDAD - Even as the American military winds down its eight-year war in Iraq, commanders are bracing for what they fear could be the most dangerous remaining mission...
Siku ya ijumaa tarehe 3 niliwaomba ndugu wanajf kujua hospital nzuri hapa dar, nikaeleza kuwa mwanangu anaumwa anaharisha na kutapika. Pia nilisema kuwa nilimpeleka kwa Dr koya pale Lumumba jirani...
Serikali inapata wapi bei za madawa ya kulevya kama bangi na cocaine hadi kuutangazia umma kuwa madawa yaliyokamatwa yana thamani fulani? Li wapi soko la madawa ya kulevya hadi bei ya soko...
Nilikuwa nasafiri kuelekea kijiji fulani mpakani mwa Kenya na Tz. Njiani dereva aliweka Redio free, na kulikuwa na kipinda cha Mambo Mambo. Topic iliyokuwa redioni kama mdahalo ni juu ya uwepo wa...
Habari zenu Greaters T.
SI VIBAYA KWA WALE WANAOAMINI NA WAJUE MAMBO HAYA (KUJIKUMBUSHA)......
MATUKIO YA KILA NYOTA 2011.
MTABIRI: MAALIM ABALHASAN JUMAR.
1-Kondoo(Aries) Machi 21-Aprili 20...
Tumesoma katika Gazeti la Mwananchi la tarehe 6 Juni 2011 kwamba Mweyekiti wa Bodi ya Kahawa anamkingia kifua Mkurugenzi wake. Sisi wafanyabihashara wa kahawa tunashangaa sana kwani maelezo yake...
Napenda kwa moyo wote kutuma pongezi zangu kwa Clouds FM, tukumbuke wametutoa mbali, walikuja kipindi cha giza na kutuletea nuru kwenye ulimwengu wa habari.
Kuna thread zimekuwa zikija hapa ku...
Leo nimepata e mail hii, ikidai imeandikwa na Gmail na kuniambia nijaze password yangu. Tafadhali sana, kama ukipata e mail kama hiyo usifanye lolote. Usiandike na kutuma password yako kwa yeyote...
NANI KAKWAMBIA ATCL ITAKUFA,APANA
HUYO NI WAZIRI WA MIUNDO MBINU MH OMMY NUNDU AKIWA KTK MAZUNGUMZO YA KIPINDI MAALUM ITV KATIKA MAZUNGUMZO HAYO ALIWEZA KUJIELEZA NA NAZANI KAMA SIO SHULE YAKE...
If you want to - make serious money - belong to a new
organization with proven results - discover easy ways
to improve your health - have financial independence
and safety Then we can...
Jana kuna wadau walihitaji kupata contacts za yule fundi anayeshona VAZI la CHADEMA (MAGWANDA).
bASI NAWALETEA MAWASILIANO YAKE ILI KWA YEYOTE ANAYEHITAJI AWEZE KUWASILIANA NAYE.
Yeye yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.