Naomba MOD utuwekee ki button cha UNLIKE kama kale ka like, kwa sababu kuna posts au comments ambazo zinaboa kweli, badala ya ku-reply with history, unabonyeza hiyo UNLIKE.
Infact hii...
majuzi nilisikia habari kutoka bbc idhaa ya kiswahili kuwa kampuni ya kompyuta ya kimarekani IBM ambayo imefungua tawi nchini inataka kusaidia kupunguza foleni jijini dar kwa kutumia teknolojia ya...
Kutokana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa mjini bukoba ,wakazi wanaoishi maeneo yaliyokaribu na uwanja huo hususani eneo la shule ya msingi tumaini, nyumba zao ziko hatarini kuwadondokea kutokana...
Hivi punde uongozi wa Manispaa ya Ilala pamoja na Baraza la madiwani wamejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kupewa taarifa kuwa kampuni ya MACS&SONS ilikuwa imejikwepulia kiasi cha sh...
Wanajf, ninauchungu sana kuona jinsi TZ Kikongo na manyanyaso tunayofanyiwa wanasema ni nchi ya amani lakini sio kweli ni utulivu tu.
Na Wa TZ walivyombumbu ndiyo nchi inazidi kudidimia, uonevu...
Ndugu zangu wana jf mpo juu, nashindwa kuwapa sifa ile itakayo watosha kwa kazi nzuri mnayoifanya. najuwa tumekuwa tukiandika lisala kuwa ndugu mgeni lasmi popote penye mafanikio hapakosi kuwa na...
Sijawahi kuona post yeyote ya Mwenyekiti wetu John Heche kiasi kwamba ningemtumia email ya kuchukua contacts zake ili nikimuhitaji kwa shughuli za kichama nimpate,Mwenye namba zake naomba aziweke...
Ndugu zangu wana jf mpo juu, nashindwa kuwapa sifa ile itakayo watosha kwa kazi nzuri mnayoifanya. najuwa tumekuwa tukiandika lisala kuwa ndugu mgeni lasmi popote penye mafanikio hapakosi kuwa na...
Jamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina...
huyu mama anakataa kuwapakiza majeruhi waliopata ajari jijini Dsm tarehe 1 june
ukimwangalia vizuri huyo mama anamwonyesha askari saa kuwa anawahi,lakini nguvu ya umma kutoka tabata imelazimisha...
Habari wanaJF,
Kuna tabia nimekua nikiendelea kuiona ya madereva wa magari ya serikali ku-misuse viyoyozi vya magari hayo.Jana nikiwa maeneo ya posta nilushuhudia gari STK 3620 VX likitumia...
Karibu mwezi sasa tunaangalia kwenye vyombo vya watu matapeli wa huduma ya afya,wakorea,wchina,waarabu,wahindi, wakifoka na kuwafukuza wataalamu wetu toka wizara ya Afya,kwa maneno...
Baa gerezani
Mamlaka katika gereza moja nchini
Mexico wamekuta wafungwa
wamefungua baa ndani ya gereza.
Mtandao wa China Daily umesema katika baa
hiyo wamekuta vinywaji vikali, bia na hata...
Nimefuatilia matukio ya wiki na kuyatafakari kwa undani kabisa. Sasa nakuja na haya. Jamani watanzania tunalazimika kuikomboa hii nchi sasa hakuna mwingine atakaye kuja ikomboa na ile kauli ya...
Wakati watu wengi wakipewa nafasi ya kumkaribisha Rais wa Tz wanaanza na maneno kama vile, ... Ndugu, Mh, Dr. ....... Leo kwenye sherehe za kumsimika Askofu Ndimbo pale jimboni Mbinga, kiongozi...
WanaJF,
Kwa taarifa zilizotufikia sasa, ni kwamba Wanyarwanda walihamishia Ng'ombe wao Bushubi (Ngara) na wanalisha mashamba ya wenyeji kwa jeuri kubwa. Inaonekana uongozi wa serikali za vijiji...
1. Inaibua chuki na hasira kati ya wazawa na serikali yao
2. Inaibua chuki kati ya weusi na wahindi
3. Inasababisha na kuongeza hisia kuwa nchi imeuzwa.
4. Inatuongezea machungu na kutukumbusha...
Wapendwa wana JF napenda kuwajulisha nipo Bongo tena kwa mara nyingine,Wapenzi wangu na mahasimu wangu wote ni vema mjue tusije onana mkasema sijawaambia.Kijiwe changu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.