Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kamati imegomea budget ya wizara ya miundo mbinu kwasababu hakuna fund allocation kwa TRL, ATCL na wakala wa meli. Wizara inadai hakuna pesa wakati huo huo wizara ya fedha yenyewe ina allocation...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
KESHO TAREHE 4/06/2011,JUMAMOSI.KUTAKUWA NA KIKAO KITAKACHO FANYIKA KATIKA UKUMBI WA DDC MILIMANI,MKABALA NA MLIMANI CITY KUANZIA SAA 10:00 JIONI.WAGENI WATAKAO KUWEPO NI WABUNGE WOTE WA MKOA WA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jf.kwa mtazamo bila tuition MAPACHA wanaelekea kushinda kwa kuwa uvccm na washirika wake wamekosa ujasiri wa kuthubutu! So ishakuwa tusubiri programu ya kuondoa magamba ngazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetempea sana nchi za nje na kuona wafungwa wanahudumiwa kwa ustarabu na amani. Lakini hapa kwetu au nchi za afrika wafungwa wanakua treated kama wanyama kwa nini ? Ya pili polisi atakiwi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 1975 Baada ya kurudi kutoka katika Vita vilivyomwondoa Mreno Msumbiji tulikusanyika pale Lugalo Jeshini ambapo Mwalimu JK Nyerere alikuja kutupongeza kwa Ushujaa uliomwondoa Mreno . Katika...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Maskini wee wameanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe mmh kma hivi huyu jamaa kafika mbali anyway kwa ufupi tu habari kamili nunua tanzania daima ili wapate mshaara wa kulipa wafanyakazi wao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mh. Freman Mbowe,mwenyeki wa Chadema taifa na mkuu wa upinzani bungeni mchana huu ametinga mahakama ya hakimu mkazi Arusha kujua hatma ya dhamana yake. Anamngojea hakimu mfawidhi kwa ajili ya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
:smow:E. coli that has sickened thousands in Europe has become the deadliest outbreak of the bacteria on record as a rare strain is causing kidney failure in unprecedented numbers, U.S. health...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Arrest Buhemba gold mine investors, govt urged Musoma Rural MP Nimrod Mkono The government has been advised to arrest investors at Buhemba Gold Mine in Musoma, and order them to return...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
moja ya vituo vya television ninavyopenda kuangalia taarifa ya habari ni TBC1, lakini juzi nikiwa naangalia taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku nikiwa ninafuatilia habari kwa umakini mkubwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bandugu, naomba kama kuna alieona tangazo la tra la mnada wa magari lilotoka kati ya wiki hii au wiki iliyopita anijuze mnada huo utakuwa tarehe ngapi na ni wapi na wapi utafanyika. senkyuu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Namuona Baba wa Taifa kweny TV Sibuka akiwaponda viongozi ambao nchi imewashinda kutawala na badala yake wanakimbilia makando kando. nyerere ni kiboko bwana huyu ni kiona mbali maana mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani hili wimbi la vituo bubu vya afya nchini na madaktari wasio na sifa,inakuwaje? Kweli hii nchi ni shamba la bibi,na ni kweli wahusika hawajui?au ndio kutuzuga.na mbona wengi ni wale jamaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
EALA has committed to planting 50,000 trees in the Partner States over the next one year. At the same time, local communities have been encouraged to grow and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu wa Tbc1 ukweli mnanikera sana pale mnapotangaza kwamba mtarusha matangazo ya michezo inayokuwa inafanyika nje ya nchi yetu, mathalani mpira na michezo mingine, lakini badala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*Wasuka mipango mizito kutwaa eneo hilio. *Watumia "Waswahili" kutekeleza azma hiyo *Waziri Tibaijuka sasa akubali kukutana nao. Watanzania kadhaa wenye asili ya Kiasia wameibuka kupitia kundi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani nataka kubadili user name yangu nimejaribu nimeshindwa na nimejaribu kuweka picha /avatar nimechemka, msaada tutani!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom