Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wandugu wa JF msaada tafadhali. Naomba keleweshwa au kufahamishwa ni nani katika manispaa haswa za Dar es salaam anahusika katika upimaji na utoaji hati za viwanja? Kwa uelewa wangu mdogo naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka Mh. Rais Alisema maafisa habari wa Wizara wapewe kazi na wafanye kazi zao, Lakini nashangaa kwa Upande wa Mh Maige, yeye kila siku unamkuta anazungumza kwenye Media sasa nashindwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Itakuwaje kwa viiongozi wa serikali wanaoabudu CCM siku CDM ikishika dola. Wataendelea na tabia hii ya unafiki ya kutosimamia ukweli katika jamii kisa CCM iko madarakani. Au wataanza unafiki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anaitwa Emmanuel Mbaule,kwa mwaka mmoja amefanikisha mkakati wa kuwatimua wafanyakazi tisa kwenye redio Kasibante inayomilikiwa na Waziri Khamis Kagasheki.Cv yake inasomeka eti alikuwa kiongozi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana Janvi....kweli ilinisikitisha sana jana nilipokuwa napitapita mahala basi nikakuta wanafunzi wa shule moja hapa arusha ya Secondary. Nikawa napiga nao story za masomo na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
bodi ya miaka 3 yakaa miaka 11: CCM itajenga nchi kweli??? Wabunge waibana bodi feki, Zitto aitimua BODI feki ya Wakurugenzi katika Shirika la Masoko la Kariakoo, mkoani Dar es Salaam imekaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nachukua fursa hii kwa niaba ya wanahabari wote kumtaka Ras Jah atuombe radhi kutokana na matusi mazito aliyotufurumushia kuwa tumenunuliwa na PPF ili tusiandike madudu yatakayofanyika huko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa za Hivi punde zinasema kuna mwanafunzi wa Chekekea Shule ya Msingi Mabibo Dar es Salaam ametumbukia kwenye shimo la Choo Shuleni hapo..Kwa sasa Vikosi vya Zima moto na Majitaka Dsm...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wahenga walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, katika kipindi cha mwezi Mei waziri wetu mkuu amekuwa kimya kiasi cha kutia shaka, kulikoni????? mshindo mkuu unaosubiriwa utakuwa hasi au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimeshtushwa sana na habari hii, inaonekana serikali ya awamu ya nne haijajifunza kitu chochote kutoka makosa ya uuzwaji wa nymba za serikali uliofanyika wakati wa awamu ya tatu. kweli tuna safari...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Tanganyika, tbc1 wameweka kipengele cha habari enzi hizo kwenye taarifa ya habari ya sa2 usiku huu. Wameahidi kufanya hivyo hadi kilele chenyewe. Kwa kuanzia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Find the attached document for six key tips to become an effective supervisor.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,huku watz maskini wakilia ugumu wa maisha.Wana-jf kwa wabunge hawa 2tegemee nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, nimesikia kuwa kuna wanachama wa CCM wametakiwa wajiondoe katika chama chao ikiwa ni moja ya hatua ya chama chao kujisafisha, mimi kwa mtizamo wangu nauliza ni lini mwenyekiti wao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
harakat za kupiga X kwenye nyumba zilizo jiran na barabara ni MITA 15 kutoka usawa wa barabara....ukiuliza unaambiwa ni maandaaliza kwa ajili ya matengezezo ya bandari uko bagamoyo...sawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Police in Nigeria free 32 pregnant teens from 'baby factory;' newborns sold into labor, sex markets BY Philip Caulfield DAILY NEWS STAFF WRITER Thursday, June 2nd 2011, 9:12 AM Bennett...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MI ni mjasiria mali mdogo'nna vijisenti vyangu nafikiria jinsi ya kuviendeleza nikaona kwenye biashara ya burudani inalipa kimtindo'JF mnasemaje msaada kidogo'.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Please members assist the following areas; 1. How to post a footnote which will be appearing in all my posts? 2. How to post animated images? 3. How to post big images or photos? Thanks in...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mheshimiwa Zitto yuko katika kipindi cha asubuhi njema channel ten anaelezea Bajeti ya Upinzani 2011-2012 inavyomsaidia mwananchi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JWTZ imethibitisha kuwa hakutokuwa na ulipuaji wa mabomu katika ghala la gongo la mboto kama ambavyo uvumi ulianza kuenea!Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi hilo alipokuwa akihojiwa na TBC jana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom