Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Aibu hii ambayo ni kielelezo kisichofichika Ikulu ya Dar es Salaam langu kuu la kutokea baharini bada ya kuvuka barabara (ocean road) unakumbana na mmommonyoko huu. Hata kutunza mazingiara...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kumekuwa na wimbi la Vituo vingi sana vya Afya vinavomilikiwa na wa Asia kufungwa, Muda huu kituo kingine ni cha kigoma na Kimeshafungwa!, Mi najiuliza Kweli mpaka Mtu anaanzisha kituo cha afya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
For sale: Nice house, large kitchen, several thousand snakes included. Watch the video on snakes in the house. They say there are snake pits on Wall Street.Chase has learned there are snake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku. Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni kawaida kwa watu kupigiana cmu then wakaanza maongezi kwa salamu nk kamailivyo jadi yetu. cha kushangaza ni kwamba kama mmojawapo anadaiwa mathalani hela, utashangaa kusikia akisema; umesema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
:peace::peace: Na Salome Kitomary 1st June 2011 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Madiwani 23 wa Manispaa ya Moshi,wa Chama cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda ametakiwa kubomoa uzio aliouweka kuziba barabara inayounganisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
*Kamati ya Ulinzi na Usalama yasaka watuhumiwa Na Theonestina Juma, Bukoba WATANZANIA sita ambao ni wakulima wa Kijiji cha Murbanga Kata ya Mursagamba wilayani Ngara mkoani Kagera wamevamiwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu JK amewahi kutamka hadharani kwamba ana Ng'ombe 400 na shamba la mananasi ekari kama sikosei 20 (I stand to be corrected on this no.). 1. Well kwa biashara ya maziwa na hata ng'ombe wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Edward Moringe Sokoine ansifika kuwa alikuwa mmoja wa viongozi wapenda haki na uwajibikaji. Lakini alikuwa pia na silka ya utawala wa ki-imla, nakumbuka jinsi alivyolishughulikia suala la wahujumu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Potential 2012 Republican candidates President Barack Obama has officially launched his campaign for re-election in 2012 and has begun raising money in earnest. Meanwhile, the Republican field...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Chato mkoani Kagera imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja dereva wa gari dogo la kusafirisha abiria maarufu kama vipanya, baada ya kushindwa kulipa faini ya shilingi 600,000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wapendwa, kuna mtu yeyote anjua JK Twitter account? Nina maswali kadha wa kadha nataka kujibiwa!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Send to a friend Wednesday, 01 June 2011 21:09 0diggsdigg Tumaini Msowoya, Iringa HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete, imeamua kuwasimamisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada na hata kabla ya kujitenga na Sudan, mji mkubwa wa South Sudan - Juba, unaongezeka kuvuta wawekezagi na umati wa watu kila kukicha. Ndege nyingi sasa zimeanza International flight...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tue May 31, 2011 12:50pm GMT * To drill a new well and expand existing one * Move to nearly double daily output DAR ES SALAAM, May 31 (Reuters) - Canadian energy firm Orca Exploration...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauri ya ndege Tanzania imeanguka marudufu.Hata wale hamjawahi kupanda midege,ni zamu yenu sasa.Aangali kwa hii mtambo Uhuwiana wa Nauri za ndege nje na ndani ya Tanzania
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hamjambo wana JF? Naomba tukumbuke ustaarabu wa daladala, miaka ya zamani kulikuwa na UDA-(Shirika la Usafiri Dar). Ukienda kituoni, unapanga mstari. Ustaarabu ulikuwa mkubwa!!!! Mtu aliyetangulia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la NIPASHE la jana jumatano tarehe 1, Juni 2011, lenye kichwa cha habari "Tibaijuka ategwa nyumba za NHC." linatia kichefuchefu, eti wapangaji wa nyumba za shirika hilo zilizopo upanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nimesikia BOT imetumi shilingi millioni 500 kwa ajili ya kupiga picha za vigogo wake, Hapa nashindwa kuelewa ni picha gani walizokua wanapiga. Source: Tanzania Daima Leo
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom