Najaribu kutazama mienendo ya Mhe Zito Zuberi Kabwe na kukuta ndoto nyingi za kusadikika alizokuwa nazo.
Ukweli ni kwamba ni dhamira ya wazi ya ndg Zito kabwe kutaka kujenga historia katika nchi...
Kwa sasa nina miaka 50+ na nimekuwa na mawazo sana hadi kumlilia Nyerere. Nimejaribu kumuangalia nyerere na nimelazimika kulia kabisa. Hakika watanzania tumepoteza lulu. Wale watanzania wa kizazi...
TANZANIA imebarikiwa kuwa na UTAJIRI WA WASOMI WENGI ambao huzalishwa kila kukicha, WASOMI HAWA WA KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA wamegeuza SIASA KM MTAJI na kusahau jukumu lao la msingi ktk TAIFA...
Wana JF ktk magazeti ya leo nimesikia kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Saidi Mwema anategemea kupokea TUZO inayohusu AMANI hapa Tanzania,
Swali langu hapo ni kwamba ni lipi haswa alilofanya...
"Ni heri Dr.Slaa ashinde urais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge."
Maneno ya Rais Kikwete mwezi Septemba mwaka 2010.
Source: Tundu Lissu | Facebook
Comments Zilikua Kama Hivi:
Fasso Tumaini...
Wana JF naomba tuangalie kwa undani changamoto za kiutendaji za jeshi la polisi zinatokana na nini hasa.
Tumeshuhudia incidents nyingi zinazolihusu jeshi la polisi kutumia nguvu kupambana na...
Kwa dalili za harakaharaka, kuna kila ishara ya kwamba huenda uchaguzi ukaitishwa kabla ya wakati...! Swali langu ni kwamba, je kwanini NEC wasifungue vituo kwa ajili ya watu kujiandikisha ili...
Nimesoma habari moja kwenye Gazeti la Tanzania Daima na kukuta kitu kilichonishagaza kuwa waandishi wa wasichukue Habari mpaka wapate Kibali kutoka Polisi.
Nukuu kutoka Tz Daima:
FFU, wanafunzi...
waziri omary nundu aliyejichukulia umaarufu kwa wageni kutoka nje kwa kauli zake za kutaka kampuni ya atcl ife sasa imeingia sehem nzuri. Juzi waziri aliambiwa na kamati ya bunge akarekebishe...
Tembelea mtandao huu
YouTube - ‪Obama Gets Osama!! - Special Report by Adrian Salbuchi, 2nd May 2011‬‏
==============================
YOU CAN FOOL SOME PPLE SOME TIME...
Wanajamvi oneni habari zinazoripotiwa na magazeti yetu kwa nia ya kuwapa habari watanzania
"Polisi Dar es Salaam wamemkamata na kumfikisha mahakamani, mwenyekiti wa mtaa wa Yangeyange kata ya...
* It was the shame we never had a gold reserves deposits
By In2EastAfrica - Tue May 31, 11:25 pm
Parliaments Public Organisations Accounts Committee chairman Zitto Kabwe speaks during a...
Zitto, Serikali na hasara ya
BOT
HIVI wenzetu BOT watalipwa
bakshishi na maslahi yao kama
kawaida pamoja na kulitia taifa
hasara kutokana na kuachana
na utaratibu unaoaminika
kimataifa...
Wana "JF",leo tunazindua Rasmi sherehe za kueleke Miaka 50 ya uhuru wetu.Ukiwa kama Mtanzania,umefaidika nini katika Uongozi wa Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh JK Kikwete.
UPEPO wa kuswekwa rumande jana nusura uwakumbe Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na Aquelini Chuwa mkoani Arusha baada ya polisi kutaka kuwakamata...
Wazee wa JF!
Hivi Maajuzi vijana wa Tosamaganga Secondary Pande za Iringa Wamefanya maandamano ya Amani wakidai wanataka Haki zao.Chakushangaza walisindikizwa vizuri na Police mpaka umbali fulani...
Polisi wameendelea kuingilia kazi za wanahabari pindi wanapo ripoti habari zinazo wagusa wao moja kwa moja na kuamua kuziba mdogo. Mwandishi Francis Godwin wa Iringa anashikiliwa na polisi Iringa...
Wana JF naomba mnifahamishe kuhusu TBC hasa hasa TBC1 kwani nashindwa kufahamu kuwa hii televisheni ni ya taifa au ni ya CCM? Habari zinazohusu CCM zinapewa kipaumbele na zinachukua muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.