Leo Rais Jakaya Kikwete ameonekana mwenye furaha zaidi na kusema wanaobeza utekelezaji wa Serikali kuwaletea Watanzania Maendeleo wana agenda zao za Siri na wana macho lakini hawataki kuona...
Mwanamuziki machachari katika sekta ya Raga, Sean Kingston wa Jamaica, ambaye alipata ajali mbaya siku ya Jumapili, anaripotiwa kuwa anaendelea vizuri.
Kingston alipata ajali hiyo...
Tuesday, 31 May 2011 21:48
Tausi Ally na James Magai
HATI ya kiapo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, jana ilizua malumbano makali ya kisheria mahakamani na kusababisha...
* How about TZ Gvt and what happened in Mara?
By In2EastAfrica - Tue May 31, 11:22 pm
East African Court of Justice at a past session
Uganda and Kenya governments are likely to be arraigned...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amesema serikali itatumia vitambulisho vya taifa kubaini wanafunzi wa vyuo vikuu wanaostahili kupewa mikopo. Nahodha alisema wapo baadhi ya...
wadau
Habari ya saa 2 usiku imeonesha wana magamba wapo rukwa wakieleza nini maana ya kujivua gamba ila mimi binafsi nashindwa kuelewa?
kwanini wasitembelee kama vile Iringa, Mbeya Kigoma...
Siku mbili sasa kumekuwa na taarifa za maandamano ya nchi nzima yanayoandaliwa na cha cha wananchi (cuf) kupinga ukikwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi ,nimeshaangaa kwa...
Wajameni..kuna jamaa yangu anasoma hapo chuo cha fweza IFM, kila siku ananiambia kuna kipindi saa 1 kamili asubuhi, hadi saa 3 usiku..hadi Jumamosi.... hadi Jumapili..Non - stop.... Mara lecturer...
MSENEGALI Mwakalambile [38] mkazi wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, amejichukulia sheria mikononi kwa kumchoma kisu cha tumbo mkwe wake na kusababisha kumuacha utumbo wake ukiwa nje na kupeleka...
miezi 8 baada ya uchaguzi watawala wakiendelea kuhimiza amani na utulivu huku wakikosa uzalendo wa kuitumikia na kuliendeleza taifa letu.
maliasisli,rasilimali na malighafi tulizojaliwa na...
SAN FRANCISCO (AFP) AIDS nearly killed Lou Grosso three decades ago, but that didn't prepare him for the latest news from his doctor: he has heart disease. Like many older HIV carriers facing...
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za vyombo vya kimataifa kuwa kutakuwa na hali mbaya ya chakula duniana, wenzetu wenye uwezo/akili wameona cha kufanya ni kuekeza afrika, kama tulivyo sikia...
Nilipata nafasi kama supporter kwenye mkutano wakimataifa ulifanyika dar es salaam ujulikanao kwa e-learning africa na katika tathmini yangu kwa machache niliyoyaona ni kama haya
fursa ya kuona...
Habari zenu great thinkers, naomba msaada wa mawazo mwenzenu, nina bibi yangu amegoma kula na hataki kuongea na mtu yoyote hapa nyumbani kisa kijijini kwao wazee wenzake wote wameenda kupata...
Na Martha Fataely,Tanga
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imehoji hatua ya kurejeshwa kazini kwa Ofisa Ardhi wa Wilaya ya Tanga, baada ya kufukuzwa kazi kwa tuhuma...
Nimekuwa nikiangalia kipindi cha growing up african kinachorushwa na EA TV, Kuelezea maisha ya watanzania wanaoshi marekani, kwa kweli inasikitisha sana, tunaonyeshwa nini hasa kwa manufaa na...
Malipo ya fedha ya kujikimu mwanzo ilikuwa per diem jumla ya siku 7 ikapanda kuwa siku 14 na sasa imeshushwa mpaka siku 7.kama kweli hatujaishiwa kwa nini imepunguzwa?
Je ni kwa nini serikali inatoa pesa kwa ATC? Kazi ya serikali haitakiwi kuwa kuendesha kampuni ya ndege badala yake serikali ingetakiwa kuzitumia pesa kwa mambo mengine ya manufaa ya nchi. ATC ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.