WATANZANIA WENZANGU,
NAOMBA KUULIZA JE NAIBU WAZIRI WA TANZANIA (YEYOTE YULE IN TERMS OF WIZARA) JE HULIPWA BEI GANI UKIACHILIA MBALI MSHAHARA AS MBUNGE MAANA NINA BOSS WANGU BAHILI SANA AMBAE NI...
Heshima Wakuu....kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimesikia maneno ya Faraja na ya kizalendo kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Wilaya, Huyo si mwingine ni DC wa wilaya ya KISARAWE mama...
Habari za siku kadhaa wanaJF wenzangu?
Kwa huzuni kubwa napenda kuwapa taarifa za kifo cha kaka yangu mpendwa Justine Mdemu kilichotokea huko Kigoma.
Marehemu kaka Justine alikuwa kasuru-kigoma...
Dr. Slaa yupo hapa mahakama ya hakimu mkazi Arusha amekuja kufuatilia ile amri ya kuwakamata kwa kutokana na kutokufika mahakamani wiki iliyopita. Bado anasubiri kumwona hakimu mfawidi. NB...
Kumbe kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea wa BAVICHA kumetupa mwanga sana wa kutambua kuwa baadhi ya hawa wanaojifanya wafurukutwa/wakereketwa/walalahoi wa chadema ni mamluki. Kama kweli hata...
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Amina Saidi, amesema mgogoro wa kiutendaji unaoendelea kufukuta katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo umechochewa zaidi na baadhi ya viongozi katika Ofisi ya Waziri Mkuu...
Monday, May 30, 2011, 5:45
Habari kuu, Mtanzania
Ni Mkuu wa Mkoa Pwani na DC Bagamoyo
Wanatishwa na watumishi waliosimamishwa
Na Gustaphu Haule, Kibaha
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Amina...
Wana JF,
Huko Arusha Kumetokea na kituko kimmoja cha ajabu mtu anaongea kwa kutumia mtandao wa AirTel ghafla simu yake imekatika na kuja kucheki anakutana ma message inasema SIM CARD REGISTRATION...
JK yuko MZA na muda huu kaelekea kufungua barabara inayoelekea Geita kupitia Busisi'
Ila cha ajabu ni kuwa baadhi ya bendera za CHADEMA zimezagaa sana barabarani kuashiria kuwa ni ishara ya ngome...
Katika hali ya kushangaza Waziri wa Sheria Mh: Kombani amesema kuwa ili tume ya kukusanya maoni kuhusu mabadiliko ya Katiba iweze kufanya kazi vizuri inatakiwa isiundwe na wata wenye mitazamo...
Bongo flevaaa! Iyo wayo mama we iyo wayo.....! Ulikuwa wimbo wa dully ukitumika kutangazia mkutano wa mbunge aliyeshinda kwa kura moja Steven Masele best wa Riz1 huku raia wakiwa wanawapuuza...
Polisi 15 wa nchini Mexico wamesimamishwa kazi baada ya kumlazimisha mwanamke waliyemkamata avue nguo zake na kisha acheze uchi mbele yao.
Polisi 15 wakiwemo polisi watatu wa kike wa nchini...
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa...
Dear readers,
For the first time I had an opportunity to fly through KIA early this month. I arrived early at the airport so naturally I decided to quench my thirst at the place where all airports...
Hitilafu za Bajeti zaiangusha Wizara ya Afya Mei 29, 2011
Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2010/2011 imejaa mipango isiyofaa na isiyozingatia kanuni, uhalisia na ufanisi hali...
MoHSW Budget Discrepancies Counterproductive
The Ministry of Health and Social Welfares 2010/2011 budget is non-conforming, unrealistic, ineffective and inconsistent which is likely to...
Mnamo tarehe 20 Julai 1969, Mamilioni ya watu ulimwenguni waliweza kuangalia katika Televisheni zao mtu akitembea juu ya mwezi, na mtu huyo akiwa mwezini alisema maneno yafuatayo, "Hatua moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.