Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
jamani hivi hii sela ya kilimo kwanza itafanikiwa? Huku kijijini kwetu,watu wamekopeshwa power tila,wanafanyia biashara ya kubebea mizigo kupeleka sokoni,hazilimi tena,wanadai eti,bila kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sat May 28, 9:10 pm Nyarugusu Refugee Camp A 2005-promise by the United States to resettle Burundi refugees in the country is considered as a snag to the closure of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SIMBA tumelala tatu bila jaman!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MFUGAJI aliyeua polisi kwa mkuki wa kichwa, Hango Masanja (19) amefariki dunia usiku wa kuamkia jana, baada ya kuvuja damu nyingi kutokana na majeraha ya risasi sehemu zake za siri. Masanja...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu thinkers leo hii bei ya dola ni 1540 kuuza kununu 1560 mpaka 1600 na pesa yetu haipatikani na ikipatikana haina thamani.Nani huyu katupeleka hapa idadi yetu haijulikana watawala wetu wanona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saturday, 28 May 2011 10:33 Waziri Omari Nundu Exuper Kachenje KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeyakataa mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yaliyowasilishwa jana mbele yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wachumi washauriwa kutafiti kuhusu pato dogo Saturday, 28 May 2011 10:54 Gedius Rwiza na Furaha Maugo Mwananchi MLEZI wa Taasisi ya Sera Afrika Mashariki (EPF), Dk Diodorus Kamala, amesema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hapa mtaani kwetu kila jobless anataka acheze sinema ili aweze kutoka. Amazing, hivi kweli mtaji huu tutapata sinema bora?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Findout here How to Apply
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkoa wa Tabora ni chimbuko la uhuru wa nchi ya Tanganyika kwa wakati huo, lakini imekubuhu na matatizo lukuki, train ya kusuasua, barabara ni za tope hakuna lami inayounganisha mkoa huu (shame)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
He's holding a certain position in gvt where he can manouvre vijisent. Ktk hali isiyo ya kawaida ameingizwa town na wafanyakazi wengine wa serikali/polisi eti gari lake lina outdated insurance...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hilo jambo limefumbiwa macho na wakuu wengi wa Africa, kila ikitokea mchina anakuja na idea anapokelewa harakaharaka. Sasa muhindi katia timu na dolabil 5. Ipo siku tutajutia kwa haya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yes, More Power to Ilemela Legislator, wakati wanajenga walituongezea bei za bidhaa pesa hazikutoka Mkononi Mwa CCM!!! By In2EastAfrica - Sat May 28, 2:10 pm Highness Kiwia Member of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Link hii hapa chini yaonyesha ni jinsi gani entertainment industry Uganda inavyolipa tokana na mafanikio kadhaa wayapatayo wasanii wa kule,je tuna mikakati gani hapa kwetu ili kunufaisha wale wote...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
:amen:JANA NIMESIKIA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA WAMETUMIA SHILINGI MILIONI SABINI(70M)KUJENGA VYOO VIWILI. AWALI WALIKADIRIA ZITUMIKE SHILINGI ZAKITANZANIA MILIONI 23 KUKAMILISHA UJENZI HUO...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Naona hali ya utawala wa JK inazidi kuwa mbaya, mambo haendi, mfumuko wa bei uko juu, viongozi wanalipuka, askari wanaua, wanafunzi wanafeli masomo, mishahara inachelewa. wafanyakazi hawajitumi...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Hivi karibuni tumesikia juu ya vifo vya wananchi Mgodi wa Nyamongo.wawekezaji wanasababisha watanzania kuwa kama watumwa kwenye nchi yao.Serikali yetu itabadilika lini ili wananchi waweze kufaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kuwasiliana na CHADEMA kama chama, siyo mtu binafsi. Ningependa kuwaambia jambo, lakini sina namna ya kuwapata moja kwa moja. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivyo!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko ktk foleni ya kuvuka toka kigambon kuja posta 4 more than two hrs now! Queue ni ndefu mno!These ferry people sucks!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom