Salaam, nimefuatilia mwenendo wa siasa za sasa za africa na tanzania zinalenga zaidi watu kulipuana badala ya kujadili hoja kama ilivyo kuwa kwa wapigania uhuru walikuwa na agenda badala ya watu...
UONGOZI wa Ofisi ya Kata ya Kigogo umeifunga rasmi nyumba ya kulala wageni inayotambulika kwa jina la The Queens iliyopo pembezoni mwa Shule ya Sekondari ya Kigogo ambayo ilikuwa ikilalamikiwa na...
WATU watatu wamefariki katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam likiwemo la mwanamke mmoja kuuawa kikatili na mwanaume anayesadikiwa kutafutwa na polisi.
Chanzo cha habari kinadai kuwa...
Kama medical doctor nimejifunza umhimu wa glucose(sukari) kwa ubongo kuweza kufanya kazi vizuri na ndiyo maana mtu akiwa na njaa anakuwa mkali maana ubongo hautaki shida ya kuhitaji kufikiri zaidi...
hivi hii idara iko chini ya nani na ni nani director pale?
hivi lini tutaacha mambo ya kubahatisha na nusu nusu?
National Bureau of Statistics Tanzania - NBS
Wasalaam
Kwa habari za kiitelejensia kutoka ndani ya halmashauri ya wilaya ya ngorongoro yenye makao makuu katika mji mdogo wa waso,loliondo imebainika ya kwamba MHASIBU MKUU WA WILAYA HIYO...
Salaam wakuu,
Katika kupitia magazeti ya wiki,nilikutana na makala ya MSOMAJI RAIA kwenye gazeti la Raia Mwema yenye kichwa cha habari SAKATA LA CHENJI YA RADA,naomba tuitazame kwa jicho la...
jamani wana jamvi mwenye habari kamili nasahihi atujuze,
kuna kampuni inaitwa athi riva imenunua eneo kubwa sana kwa ajili ya kuzalisha saruji tanga na kuna wafugaji wa n'gombe wa maziwa katika...
Sijawahi kumtukana mtu na sitomtukana mtu na hapa naomba nieleweni
ndugu wapendwa mliosikiliza majuzi radio clouds ni tatizo tu gari zetu za siku hizi zinaishia na 90 ..else tungekuwa tunasikiliza...
Heshima kwenu wakuu!
Tido Muhando alipofanyiwa zengwe TBC wengine tulijua nini kinafuata! Shirika hili ambalo ni mali yetu sisi wananchi lilisimama katika kutoa haki japo lilikuwa likibanywa kwa...
Leo imeniuma sana. Umeme umekatika tangu saa 11 jioni, nimeuliza tanga hakuna umeme, dar giza, dodoma, morogoro pia gizani. Nadhani ni issue ya nchi nzima. Hv tunaelekea wapi jamani?
Hivi jana tu TANESCO walitangazo mgao umekwisha! Leo huku Mwenge kwenye saa kumi na moja wamekata umeme sisi tuwaeleweji. Mimi nachoka kabisa! Kinachonimaliza ni kwamba ukiwapigia emergency...
Jamani mimi nimeona website ya watu wanaojiita Strategic Future interventi - SFI Affilliation Marketing Program nika sign up. Wanasema wanalipa commission kwa kuelekeza wakajiunga. Sasa hivi hizi...
katika miaka ya hivi karibuni CCM illiamua kuanza kutumia mbinu mbalimbali ili kuendena na kasi ya upepo wa mabadiliko unaoikumba tanzania na Dunia kwa ujumla. lakini cha kusikitisha hawakufanya...
Alisema Profesa Lipumba
Katika maazimio hayo, alisema Baraza Kuu linalaani vitendo vya ukiukwaji na uvunjwaji wa haki za binadamu kwa mauaji ya raia yanayoendelea kuripotiwa mara kwa mara...
Nimeanzisha post yenye kichwa 'Nini Maana Ya Upinzani' na nimepata majibu mengi si chini ya kumi. Cha kushangaza nimeangalia sasa hivi ina majibu mawili tu? Je kuna mtu anafuta haya majibu hapa...
Jamani tunapoelekea ni pabaya kuliko, kama una mazoea ya kusali kila uamkapo asubhi mwambie Mungu awasamehe polisi wote wa Tanzania na kuwaondolea roho ya tamaa za pesa ngono na uuwaji.
Unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.