Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MWALIMU Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi ya Nyalubanga, Zingula Omari (48) wilayani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa panga ubavuni na kisha kufyekwa vidole usiku wa kuamkia jana na watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wa JF! Nimekuwa najiuliza watanzania tuna nini? What do we miss that our countries have. Just look at Rwanda and Uganda. they have fought civil wars, but look at their economies! We are proud of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani DOWANS mbona hatuwasikii tena? wameshalipwa? Isije ikawa ni mbinu za CCM ku divert vuguvugu letu la kupinga Dowans kulipwa kwa kutuletea hadithi za magamba:mod: Jamani tukikaa kimya...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Na Mwandishi Wetu, Mbeya IMESHAURIWA kuundwa kwa chombo maalumu kitakachomshauri Rais wa Tanzania hasa katika uteuzi wa viongozi ikiwa ni hatua inayotakiwa kujumuishwa katika katiba mpya ijayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mateja wameongezeka kwa kasi,watoto ombaomba wamejaa tele, wananchi wanapigwa risasi bila sababu za msingi,hospitali hazina madawa, pesa yetu inashuka thamani kwa kasi,bidhaa bei juu,elimu duni,yy...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanasiasa na Wabunge wote mnatombea jamvi hili wa upinzani na wa chama cha magamba. Katika suti na mavazi mnayozovaa mjengoni ni ngapi mmeshonesha kwa mafundi wetu au madesigner wetu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali ya hatari imejitokeza hivi karibuni jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka mwanaume mmoja anayedaiwa kuua wanawake. Mwanaume huyo ambaye anasakwa na polisi, anadaiwa kuwa ndiye aliyewaua...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi umewahi kujiuliza siku tanzania itakapo chafuka kwa sababu wajinga wachache wanaogombea madaraka (ikulu) ? Maana hali sio mzur kwa nchi zetu za afrika....mi naona kabla hayajatukuta ni bora...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti unaambiwa hawana mpango wa kusomesha walimu, wala hawahitaji kutengeneza budget ya kusomesha walimu, hata ambao wako masomoni hawapewi nauli wala ada ya masomo, walimu wengi wameanza kukimbia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile sakata la kesi ya rushwa iliyokuwa inamkabili Fredrick Mwakalebela mahakama ya mkoa Iringa, limehitimishwa leo baada ya Mwakalebela kumshinda tena mwanasheria wa TAKUKURU mahakamani. Kesi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana mahakama ya wilaya ya tarime ilitoa mpya baada ya kuwanyima kina Tindu lisu haki yao ya kikatiba ya kutotembelea baadhi ya maeneo ya Tanzania(nyamongo na barick) haya maamuzi ni batili maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani kupitia cha tawala cha kujivua magamba kwa kutuletea mradi wa maji tena mkubwa katika bonde letu la Mwakaleli. Pia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu Wana JF Niekuwa nikilisikisia neno fisadi suku za nyuma kidogo Hasa idhaa ya BBC na KBC ya Kenya! Baadae likaingia Tanzania!Mkanganyiko naoupata kwa hapa kwetu TZ unakuwa kama wimbo badala...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
MAMLAKA za vijiji, kata na wilaya zimeagizwa kuhakikisha vijana wanajiunga katika vikundi vya uzalishaji mali kwa kuwawezesha ili waondokane na umasikini unaowakabili na wengi wao kutokuwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je Wajua kwamba chini ya Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Serikali ya MKAPA Tanzania ilisamehewa Deni la Sh. Trilioni 3 (tukashangili na kufurahi sana kama Taifa; LAKINI Ndani ya Miaka 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe kwenu. Nimelazimika kuandika ukweli huu kwamba huko duniani ( katika nchi nyinginezo) wana marais ambao wananchi wao wakikumbwa na dhahama wanawajulia hali na kuwafikia mara...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Takwimu hizi za Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi zimekaaje? Ng'ombe 600,000 wanakamuliwa na wanazalisha lita 110,000 kwa Siku. Haiingii akilini kabisa hivi ng'ombe nao wamekuwa mbuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Regia amekuwa akijitahidi sana kutoa habari na matukio muhimu ya chama cha CDM. Namwona anajua nini umuhimu wa habari kuwafikia wananchi kwa wakati na muda unaohitajika. Ameonyesha ari na nia ya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni special kwa wale woooote waliosoma Mawenzi Sec School. Tukumbushane story za mama Mkiramweni, Y-Paul, Babu Mashingia, Bibi Matemu (a.k.a balbina) na mama Minja bibi wa O-level. For real...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
A coffee farmer in Rwanda, a hungry child in a Tanzanian classroom, a young mother in Haiti, an aspiring entrepreneur in Harlem. They are all connected by one common thread: you. The goal of all...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Back
Top Bottom