Siku ya 5/2/2011,ilikua siku ambapo CCM ilitimiza miaka 34.
Katika hotuba yake mwenyekiti CCM taifa alisema mengi likiwemo la kujivua gamba.
Alipoanza kuzungumzia umeme alichekesha aliposema...
Bibi ambaye hakutaka kutaja jina lake kwa madai kwamba sharti apewe chochote amekutwa akiwa ameweka kizuizi kwenye barabara inayopita mbele ya nyumba yake eneo la Mabibo Hostel, Ubungo jijijini...
Kati ya mambo yanayoudhi wakazi wa jiji la Dar es Salaam ni kero ya foleni ambayo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na udhaifu wa kikosi cha usalama barabarani kushindwa kusimamia sheria zilizowekwa...
Kwa wale mnaotumia barabara hii nashauri msiitumie, ukiwa tayari kupoteza masaa 3 kufika Ubungo toka Buguruni basi itakufaa.
Hata kutoka Ubungo kwenda TAZARA haiendi kabisaaa
Ndugu zangu,
PICHA ya jeneza lililotelekezwa barabarani imeongea zaidi ya maneno milioni moja. Kwa Watanzania, imetutia simanzi, imetutoa machozi. Ndani ya jeneza hilo pichani kuna mwili wa...
Najua kwa sasa chama ambacho kinasimamia kuona kwamba watanzania wapata ukweli kuhusu nchi inavyoendeshwa ni chadema.ombi langu hasa kwa makada walio vijana ndani ya chama hicho,fikra zenu...
Kwa Watanzania wengi sasa hivi wimbo ni siasa. Hakuna jambo jingine linalojadiliwa zaidi ya siasa kila uchao. Lakini siasa hizi licha ya kuaminika kuwa ndio suluhu ya baadhi ya matatizo katika...
Wanajamvi habari za kwenu:
Poleni kwa majukumu ya kulijenga Taifa ambalo limejaa wajanja ambao wanauwezo wa kuzichezea akili za Raia jinsi wanavyoweza.
Hivi mwakilishi wetu(mbunge au diwani)...
Rais wangu Kikwete, na Mwenyekiti wangu wa chama cha Mapinduzi. Kwanza kabisa pole na mawazo, kwani najua ni wewe pekee unaeteseka na hali ya kisiasa na uchumi wa nchi yetu ilivyo sasa, hao...
Serikali imeshindwa kuongoza wilaya Tarime.? . na badala yake sasa imekuwa kama ni visasi kati ya wananchi na DOLA. hivi kweli hawa wakuu wa jeshi la polisi hata kama unatumika...
Taarifa za hivi Punde kutoka News room ya RFA ni kuwa kituo cha redio Free Afrika kilichoko Mwanza,Tanzania kitaomba radhi kwa kutangaza habari ya uongo dhidi ya waandishi wa Habari na Mbunge wa...
Kiama hakikutokea jumamosi mei 21 kwakuwa Mungu aliwaonea huruma watu wake lakini oktoba 21 mwaka huu kiama kitatokea kweli na kuua watu wote ambapo watu wema watapaishwa mbinguni kuonana na Yesu...
kwenye taarifa ya habari ya saa 2 jana usiku, Spika (bi Kiroboto) wa bunge la JMT clearly alisikika akisema kwamba once waziri (mathalani) wa fedha akiisoma hotuba yake ya bajeti ambayo...
Citizens Brace for Unprecedented Construction Boom
Gabby Mgaya
24 May 2011
TANZANIA has seen unprecedented massive construction boom in recent years in all aspects of the activity. For the past...
Wadau naomba mnisaidie jambo hili, sisi wateja wa tanesco wa nyegezi kona mwanza tunaotumia mita za luku tumekuwa tukiibiwa nyaya za umeme NYEUSI zinazofungwa kwenye mita za luku na "watu" ambao...
Hi great thinkers.
In africa and to be specific in Tanzania why is politics the best paying or rewarding career?
Where could kigoma be developmentwise if people like Ziito kabwe were...
Nashangazwa sana na hali ya rais wa nchi kuwa safarini kila kukicha,hivi ndivyo inavyotakiwa? Mbona hatuoni marais wengine wakisafiri hivyo?
Hivi walewasaidizi wake hawawezi kumwakilisha kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.