Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba...
2 Reactions
150 Replies
13K Views
Ndugu zangu wapenzi wa JF, huyu rais wetu kipenzi cha wa-tz milioni 5, kwa nini haendi ziara za mikoani tangu alipochaguliwa mwaka jana? Je anaogopa kuulizwa kuhusu utekelezaji wa ahadi alizokuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wiki chache baada ya Zitto Kabwe(mb)kudai serikali ya JK imefirisika,Naibu Waziri wa mambo ya ndani Khamis Kagasheki amesema serikali ililazimika kukomba mafungu ya fedha katika halmashauri za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa India kesho atafungua kituo cha Teknolojia na mawasiliano(TEKNOHAMA) katika Taasisi ya Twknolojia DSM (DIT) ambapo kuna mojawapo ya supercompyuta kubwa Africa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika siasa zetu za Tanzania, labda ni kwa sababu ya kuwa chini ya chama kimoja kwa muda mrefu, vyama vya upinzani vimekuwa vikionekana kuwa ni vyama vya uchochezi na kuleta vurugu. Kwa kifupi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imeutimua uongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa mji wa Dodoma (CDA), baada ya kubaini madudu ya matumizi ya fedha pamoja na watumishi wake...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
WAKATI sakata la mauaji katika Mgodi wa North Mara likiwa halijapoa, Jeshi la Polisi limezidi kuingia katika tuhuma za uvunjaji wa haki za binadamu kwa kufanya mauaji kinyume cha sheria, Ripoti ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nimejionea Khanga moja imeandikwa UWMAKU/OAFLA hivyo ni vifupi vya maneno, umoja wa wake wa marais Africa. Khanga hii ilikuwa na maneno yanayoeleweka yanayosomeka, "Mtoto wa mwenzio ni mwanao...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Fri May 27, 2:31 pm Former EAC Secretary General, Juma Mwapachu Failure to seriously address the many problems facing youth in East Africa is one of the reasons for...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanzania. Anayekerwa na hilo asage sumu anywe au ajitie kitanzi. Sisi tutakula ubwabwa. Kutokana na mamlaka waliyonayo CHADEMA kisheria ya kuwa chama kikuu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mazingira ya kazi ndiyo hayo, mmiliki wa kiwanda cha Jambo Plastics awajibishwe.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau habarini za leo, Nilikuwa natafuta tovuti ya tanroads na kugundua kuwa wana tovuti mbili kwa wakati mmoja - Tanzania National Roads Agecy (TANROADS) na Tanzania National Roads...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The 15th of Shaaban is near. Many leaves may fall and this may be the last year of my life, I'm sorry if I ever brought a single tear to your eyes. Kindly forgive me. Prophet Sallalaahu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama so jukwaa lake modes forgive me men HAVE FUNNY AT THE END OF THE WEEK. A NICE ONE !! A long time ago in China , a girl named Li-Li got married & went to live with her husband...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Nimekuwa nashangazwa na tabia yetu wa Tanzania ya kuaacha kutumia misamiati sahihi kwenye kutaja ulemavu unawakabiri binadamu wenzetu. Kipofu=asiyeona; Kiziwi=asiye na uwezo wa kusikia; Bubu=asiye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Citizen Reporters Dar es Salaam. Business leaders yesterday called for the privatisation of Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) as part of a long-term solution to the chronic power...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijui ndio lilikuwa jina lake au mimi nimechanganya; alikuwa kichaa pale soko la Songea. Alikuwa na sifa moja ambayo wachache wanaikumbuka. Nimeiona picha fulani nikamkumbuka. Hivi bado yupo hai?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
A SCHOOL has banned pupils from giving each other high-fives, handshakes - or even HUGS. Governors imposed the "no contact" rule as they say it prevents fighting or bullying. Dayna Chong, 15...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Najaribu kuangalia mazingira yaliowatoa wanasiasa hao hapo juu ccm na kujiunga na upinzani. Mrema aliondoka ccm akiwa ni mbunge and waziri,akaacha hivyo vyeo vikubwa hapa nchini vilivyokuwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom