Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kila nionapo hali ya wanasiasa na vyama vya siasa Tanzania na haswa CCM its sort of like the new HBO's new series GAME OF THRONES And by the look of things, JK resembles Ed Stark by all means...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya Elimu ya Jimbo la Nyamagana linaloongozwa na Mbunge Ezekia Wenje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MTOTO James [14] mkazi wa kijiji cha Senani Wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti mtoto mwenzie mwenye umri wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jf mheshimiwa lema mbunge wa arusha leo yupo katika eneo la hosp ya st tomas akizungumza na wananchi wake live habari zaidi nitakujuzeni nawakilisha
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wengi wetu tumechoka kuburuzwa na CCM na kila siku hali ya maisha inazidi kuwa ngumu bila ya matumaini yoyote. Kwa bahati mbaya kura za 2010 hazikutosha kutuwezesha kuleta mabadiliko ya uongozi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kituko kimetokea Iringa, ambao Francis Godwin anaripoti katika blogu yake kuwa ilimlazimu mrembo mmoja kukimbilia katika studio za Photo Next katika stendi ya mabasi ya Miyomboni ili kujinusuru na...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
wanajanvi hivi karibuni nimepata kazi maeneo ya sinza hivyo ina nilazimu kuhamia maeneo ya sinza ili niwe karibu na kituo changu cha kazi, chumba kisizidi 50,000/Tsh. na kama ni chumba na sebure...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Last updated at 4:08 PM on 25th May 2011 Soap giant Dove has landed itself in hot water after an advert for one of its products appeared to suggest it can change a user's skin colour. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni saa mbili na dakika kadhaa, natoka Campus ya Mlimani kuelekea hostel ya Mabibo. Cha kushangaza ni kuwa Barabara ya Sam Nujoma kuelekea Ubungo hakuna foleni kabisa, haijafika hata darajani. Hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni vigumu kwa mtu kumkosoa kiongozi wa Imani yake hata pale anapofanya makosa ya wazi katika jamii. Lakini naamini kwa hili Mungu yuko pamoja na mimi, Kinachofanywa na viongozi wa dini ya kiislamu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu wapenda mabadiliko mambo yanayofanywa sasa hivi na hawa viongozi wetu yamekuwa ya ajabu sijui wanaongoza wanyama au wajinga gani jamani tuamke tupinge kwanguvu ahaya mambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakika picha hizi nimezitoa kwenye Issamichuzi.blogspot.com. Hapo mwenzetu HM Hafif alipokuwa likizoni akielekea Mtwara. Pole Sana Hafif na nafikiri Serikali ya huko Tanzania wataliona hilo na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Miili ya marehemu waliouawa na Polisi imezikwa leo bila mikusanyiko ya watu baada ya Polisi kupiga marufuku mikusanyiko. Wanasema kwa sasa hali ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii forum leo katika taarifa ya habari ya itv umoja wa chama cha magamba(ccm)baadhi yao wanaaojita viongozi wa kata za Arusha mjini na wajumbe wa wilaya wamefanya mkutano na kutangaza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania sasa imefikia mahali ambapo kila mtu (kiongozi) anafanya jambo analotaka bila ya wasiwasi huku akijua anavunja sheria za nchi na akijua fika kuwa hatachukuliwa hatua bali atapongewa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KAULI YA KATIBU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU VITENDO VYA JESHI LA POLISI KWA RAIA NA KUKAMATWA KWA WABUNGE WA CHADEMA Katibu wa Wabunge wa Kambi Rasmi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rosemary Mirondo 25 May 2011 The first convictions in the External Payment Arrears (EPA) account theft trials has revived calls to have suspects of other mega scandals arrested and charged...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Police Probe Africa Sex Abuse Claim A senior Police officer has been appointed to examine claims of clerical sexual abuse by Irish missionaries in Africa. A litany of allegations were detailed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Energy and Minerals minister William Ngeleja In the wake of pressure over delayed power projects, Tanzania Electric Supply Company Ltd (Tanesco) yesterday officially commissioned a private firm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Let's Pray to God for all time protection. This happened to a lady at the port of mombasa on saturday 29th January. A train run over her, while she was enjoying music...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom