KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) liko hatarini kunyanganywa leseni ya biashara ndani ya miezi sita endapo litashindwa kufanya kazi zake...
Ukienda kwenye official website ya chadema unaweza usiamini kuwa unatembelea website ya chama
kikuu cha upinzani Tanzania na unajiuliza kama ni kweli chadema inashindwa vipi kuanzisha kitengo...
Leo ni siku yakulienzi bara la Afrika. Afrika ikiwa ni bara lililobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ila limejikuta likikabiliwa na umasikini wakupindukia viongozi waliojaa uchu wa madaraka...
SHULE YA AZIMIO SEC YA MJINI DODOMA AMBAYO IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA KUCHAPA WANAFUNZI VIBOKO MPAKA 48,NA KUPIGA NGUMI WANAFUNZI,MKURUGENZI WA SHULE HIYO AMEBUNI MRADI WA KUWALAZIMISHA WANAFUNZI...
Kuna swala najiuliza kila siku sipati majibu, nani yuko responsible na kuajiri wafanyakazi katika balozi zetu nje ya nchi? Nimetembelea nchi kadhaa na kwa bahati niliweza kufika katika ofisi za...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Kigogo ya jijini Dar es Salaam, wameadhimia kuandamana hadi Ikulu kumuona Rais Jakaya Kikwete kwa kupinga uwepo wa nyumba ya kulala wageni iliyokuwa ndani ya eneo...
Usiku wa kuamkia jana wanachuo wa Taasisi ya Afya cha Bulongwa Hospitali (Maarufu kama chuo cha Dental na Nursing) wamemvamia, kumpiga, kumjeruhi na hatimaye kumuua daktari wa hospitali ya...
Raisi mstaafu wa Zanzibar ndugu Karume atazungumza na shirika la habari la reuters juu ya changamoto za kiuchumi kwa bara la afrika.
Source: twitter
"@Reuters: Is #Africa open for business...
Wakuu,
CCM ni chama cha msimu wa uchaguzi tu, hiki chama hakiwajali watu maskini, watu wanaokandamizwa na watu wanaudhurumiwa haki zao. Mtu yeyote anayetokea anamtetea mtu wao wanachukulia ni...
Wana JF mimi nimekuwa nafuatilia kwa makini matukio mbalimbali hapa nchini namna polisi (watanzania wenzetu) wanavyochinja watanzania wenzetu kwa visingizio mbalimbali. Tunakumbuka haya mauaji ya...
Jamani sasa tumeshachoka, kila wakati tunapata mgawo wa umeme halafu wahusika hawakosi visingizio mara maji yamepungua mara mitambo inatengenezwa, kwani watanzania tuna laana au? kwanini...
Siku hizi, wataalamu wengi wanazungumzia dhana ya utawala bora. Imekwua midomo haipumziki, bila kuitaja utawala bora. Lakini, kusema kitu chengine na kufanya jambo nyengine kabisa. Aghlabu...
ndugu zangu katika jf, mie nimekuwa nikiona watu wanaandika ujumbe wakisema ni pm tuwasiliane, sijui ndo mnafanyaje ili kuwasiliana kwa ku pm. naomba msaada ili nami nielewe!
Nimekuwa na wazo la kuanzisha tawi la Chadema hapa Uingereza,sio kwa vile CCM wana matawi yao nje ya nchi bali imani yangu kwamba Chadema as a formidable opposition party na ambacho kimeweka mbele...
Navipongeza sana vyombo vya sheria nikimaanisha MAHAKAMA pia vyombo ya USALAMA nikimaani Police kwa jinsi wanavyoendelea kusimamisha MHIMILI mkuu wa Utawala bora na Utawala wa Sheria kwa jinsi...
Ndugu zangu Wakristo na Ndugu zangu Waislamu,
siku hizi wameenea kila sehemu mayahudi weusi hasa hapa TZ wapo, na nia yao na kazi yao kubwa ni kuwachonganisha wakristo na waislamu ili...
Kwa habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa mbunge Tundu Lisu ametiwa nguvuni na jeshi la polisi mkoani mara pamoja na mbunge mwingine wa chadema akidaiwa kutumia nguvu pamoja na wanachi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.