Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Baada tu ya TANESCO kuanza mgao wao wa siku 9,ghafla kampuni ya kimarekani ikaibua na kununua mitambo ya Dowans.Huu ni mchezo wa kuigiza ambao hauhitaji elimu yoyote kuushtukia,TANESCO kama vile...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikifatilia habari za viongozi na familia zao kwenye magazeti/radio mda mrefu lakini sijawai kusikia watoto wa hawa viongozi wakiongea au wakibishana na wanasiasa...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
is that true, Tanzanian citizens can't compete with other members in east africa on job qualifications??
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Hivi ni kwa nini watu na hata Ndugu wa karibu na mgonjwa hamsaidii wakati anaumwa, ilihali ikitokea akafariki wanaitisha vikao na kutoa michango kwa ajili ya msibai? Mbona wangetoa ili kuokoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nami mbaya kwa raia wa libya..kat ya gaddaf na nch za magharib (marekani)?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Nyaumata, Kata ya Somanda wilayani Bariadi, mkoani Shinyanga, Mayunga Mteremko ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mkewe. Inadaiwa kwamba, Mteremko alimkatakata mapanga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wanajamvi, jumamosi na jumapili nilikuwa Dodoma, nikasikia tetesi kuwa CHADEMA kitakuwa Dodoma siku ya jumapili jioni, na nililazimika kuondoka kurudi Dar mchana, je kuna mtu yeyote mwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi imefika wakati kuzungumzia uongozi wa kitaifa, utamaduni wetu, Katiba yetu na hasa udanganyifu wa demokrasia ya Tanzania. Hatuwesi kila wakati kuacha kuzungumzia hali mbaya ya Taifa letu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ktk maisha mtu lazima upitie hatua mbalimbali then ufikie utu uzima, nakumbuka nikiwa mtoto tulicheza michezo mingi ya heshima tofauti na watoto wa cku hizi mzazi ucpokuwa makini mchezo wao niwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mfanyakaz akiagiza gar hupata msamaha wa kod,je mkulima mbona hana,hiyo si rushwa kwa serikal ya ccm ktk uchaguz?
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Jamani ndugu zangu nauliza hivi hapa TANZANIA kuna siasa za uchochezi:dance:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mi nawashangaa viongozi wengine wa chama eti now wamejifungia na wake zao vyumbani uchaguzi ukifika eti nagombea urahi hii ni fair?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Muda huu nimepata Breaking news kuwa kuna Lori Moja linalosafirisha abiria kuwapeleka mnadani limepata ajali na watu wasiopunguo wanne wamepoteza maisha maeneo ya pawaga mkoani Iringa. kama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mlidhania nichama cha chamchezo? Nichama chenye weredi tazama sasa CCM mnavyo hangaika mnarushiana makombora mara huyu aliniambia hili mara lile,Hata huyo Katibu Mkuu aliyechaghuliwa naona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa maombi; Rudi kwangu uokoke, Niangalieni mimi mkaokolewe, enyi nchi zote za dunia, maana mimi ni MUNGU hapana mwingine.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya uchafu uliokithiri nchini hasa Mkoani Dar es Salaam, napendeza Serikali iiteue siku ya Jumamosi kuwa siku Maalum ya kufanya usafi nchi nzima kwa kuwahusisha na kuwashirikisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kufungwa kwa wezi wa sh bilion 1.8 za EPA, Rajabu Marando na Hussein, kutasaidia kupunguza uwizi au ndo changamoto kubuni mbinu mpya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom