Watanzania mazuzu tunapigwa changa lingine la macho. Safari hii ni bilionea mtoto anchuku, alafu mnaambiwa wa marekani, kwa kuwa wa Tz wakisikia mmarekani wanajua Mungu mdogo kaja. Kwa nini...
Ukiona
Ukiona watu wazima wa jinsia ya kike kama wanavyoonekana pichani wanajiunga kwenye maandamano na mikutano ya aina ya harakati za Chadema ujue moto umekolea jikoni, kuuzima si rahisi maana...
Wakati akikimbia kutoka Misri Nabii Mussa alikutana na wachunga wanyama mjini Mediani. Hawa jamaa hawakuwa na busara hata kidogo, na walikuwa wakiwanyanyasa mabinti waliowatangulia kwenye malisho...
HATIMAE KOCHA BORA DUNIANI ANAZIDI KUONEKANA,POLENI WAPINZANI,MTATIMUA SANA MAKOCHA,Wapenzi wa Man u,hongereni sana,bado moja 28/5.ndio tutakamilisha kazi
Only in blessed country like TZ The fashion forward hippo that looks like she's wearing pink boots
By Daily Mail Reporter
She looks like a well-heeled hippo with a penchant for pink boots as...
Kwa mujibu wataarifa Aliyeachiwa kurithi mikoba/utaalamu wa sheik yahaya ni mwanaye mkubwa aitwaye Hasan. Kijana huyu kwa mujibu wa zito kabwe kupitia gazeti la mwananchi ni KADA wa muda mrefu wa...
Nape Mnauye, Katibu Mwenezi wa CCM
Na Saed Kubenea
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye sasa amebeba "gunia la kokoto" na hajui...
Heshima kwako mheshimiwa.
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati kwako, kwa hamasa kubwa uliyoileta kwenye siasa za Tanzania hasa kwa vijana. Wewe ni kiongozi shupavu, ninaposema...
SINA ugomvi na kaulimbiu ya zamani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zidumu fikra za mwenyekiti.
Katika maisha ya sasa ya CCM hii inayoporomoka, inayotapatapa, inayojivua gamba na inayoishi...
From MARC NKWAME in Arusha, 22nd May 2011
DAILY NEWS
KENYAN authorities have started promoting the herbal 'magic cure' at Samunge Village in Loliondo Division, Arusha Region, urging foreigners...
Ukiweka credit unatumia muda mrefu lakini usizime computer. Ukizima computer unapokuja kuwasha na kulog in inakula balance yote iliyokuwa imebaki hata kama ni nyingi kiasi gani. Lengo lao ni kila...
hali isiyo ya kawaida jana jioni wanafunzi wa mwaka wa kwanza kitivo cha misitu ( wanafunzi wa wildlife na forest) ambao jumla yao ni zaidi ya wanafunzi mia mbili (200) katika chuo cha kilimo cha...
Wadau za Leo,
Naomba kujua wapi wanapatikana ma editor na bei zao, kwa ku edit dissertation ya page 125.
Kazi iko tayari ila inahitaji kupita kwa editor kwa ajili ya Ngeli tu na si vinginevyo...
NDUGU WATANZANIA WENZANGU , YULE MTABIRI, MGANGA,MCHONGANISHI NA MCHAWI MAARUFU TANZANIA NA AFRICA MASHARIKI AMEFARIKI JUZI
NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI BAADHI YA VIONGOZI WAKE AKIWEMO MH...
leo ni siku ya tatu tokea mgomo wa daladala uanze mjini morogoro. watu wamekuwa wakitumia usafiri wa tax na pikipiki zijulikanazo kama bodaboda kama njia mbadala kutatua tatizo hilo ambalo kwa...
Arusha sasa hivi ukitembea mjini kwenye kuta utakuta matangazo yanasema kuanzia tarehe 4/5/2011 siku ya tangazo hilo lilipowekwa hadi kufikia siku 60 mtu au watu au vikundi vilivyojihusisha kwa...
Hi" kuna kampuni moja ya uwekezaji ipo wilaya moja kanda ya ziwa, hii kampuni haitaki wafanyakazi wake wajiunge na chama cha wafanyakazi i mean chama cha kutetea maslahi yao, ukionekana una sapoti...
Wana Kigoma wanadai kua Mtu akipangiwa kazi Kigoma ana goma kuja kufanya kazi, akifanikiwa akaja kuanza kazi basi atagoma pia kuhama.
Wanadai kua ukishakula kichwa cha samaki maarufu Kigoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.